Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS AZINDUA KITENGO CHA MOYO MUHIMBILI

Mwakilishi wa Rais wa China, Hon. Chen Changzhi akipeana mkono na mmoja wa madaktari wakuu wa kitengo cha magonjwa ya moyo mara baada ya kuwasili kwenye uzinduzi huo.     Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na madaktari kabla ya uzinduzi.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

JK azindua kitengo cha moyo

>Rais Jakaya Kikwete jana alizindua kitengo cha Tiba ya Moyo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH)  na kuutaka uongozi kuhakikisha kinakuwa taasisi inayojitegemea.

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete azindua rasmi kituo cha magonjwa ya Moyo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar

h1

Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete akiongea na mmoja wa wagonjwa watoto waliofanyiwa upasuaji kwenye kituo kipya na cha kisasa cha Moyo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kukifungua rasmi jana April 27, 2014.

h2

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu Mwenyekiti wa chama tawala cha China cha National People’s Congress Mhe. Chen Changzhi (kushoto) wakioneshwa moja ya vifaa vya kisasa vya kuchunguzia maradhi kwenye kituo kipya na cha kisasa cha Moyo katika hospitali ya Taifa ya...

 

11 years ago

Michuzi

JK AZINDUA KITUO CHA MOYO KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI LEO

: Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete na Makamu Mwenyekiti wa chama tawala cha China cha National People's Congress Mhe. Chen Changzhi wakipata maelezo ya utendaji wa mashine katika chumba cha wagonjwa mahututi  (ICU) pamoja na chumba cha uchunguzi kwenye kituo kipya na cha kisasa cha Moyo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kukifungua rasmi leo April 27, 2014

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AZINDUA UJENZI WA HOSPITALI KUBWA NA YA KISASA YA CHUO KIKUU CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI MUHIMBILI KISASA KIJIJINI MLOGANZILA

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Balozi wa Korea nchini Mhe. Chung IL wakikata utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Hospitali kubwa na ya kisasa ya Chuo Kikuuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili kijijini Mloganzila maeneo ya Kwembe, Kilometa 24 kutoka jijini Dar es salaam, baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa hospitali hiyo itakayokuwa kubwa kuliko zote nchini leo April 24, 2014. Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Balozi wa Korea nchini Mhe. Chungh...

 

9 years ago

Habarileo

JK azindua kiwanda cha kupasua kokoto B’moyo

RAIS Jakaya Kikwete amezindua kiwanda cha kupasua kokoto za ukubwa mbalimbali kwa wastani wa meta za ujazo 2,000 kwa siku katika kijiji cha Pongwe, Msungura wilayani Bagamoyo mkoani Pwani.

 

5 years ago

Michuzi

Wataalamu kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na Muhimbili watembelea Kituo cha COVID-19 Hospitali ya Amana

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akizungumza jambo wakati alipotembelea  kituo cha watu waliopata maambukizi ya virusi vinavyosababisha  ugonjwa wa Corona (COVID – 19) cha Amana jijini Dar es Salaam  kwa ajili ya kuona namna ambavyo  madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo watakavyoweza  kutoa huduma kwa wagonjwa hao.
Msimamizi wa kituo cha watu waliopata maambukizi ya virusi vinavyosababisha  ugonjwa wa Corona (COVID – 19)  Dkt. Stanley Binagi...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS OBAMA AKUTANA NA WAFANYAKAZI KITENGO CHA AFYA WHITE HOUSE

Rais wa Marekani Mhe. Barack Obama siku ya Jumanne Oct 14, 2014 alikutana na CDC (Centers for Disease Control and Prevention (CDC), the +U.S. Department of Health and Human Services, and his national security ) kwa ajili ya kupata taarifa ya ugonjwa wa Ebola

 

10 years ago

Michuzi

Rais ateua Katibu Mtendaji wa Mamlaka ya Rufaa za Zabuni za Umma, Kamishna wa Kitengo cha Kudhibiti Biashara ya Fedha Haramu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Kissiok Ole Mbille Lukumay kuwa Katibu Mtendaji wa Mamlaka ya Rufaa za Zabuni za Umma.

Aidha, Rais Kikwete amemteua Bwana Onesmo Hamis Makombe kuwa Kamishna wa Kitengo cha Kudhibiti Biashara ya Fedha Haramu.

Taarifa iliyotolewa Alhamisi, mjini Dar es Salaan na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Balozi Ombeni Sefue, inasema kuwa uteuzi wa maofisa hao wawili ulianza Ijumaa ya Machi 27, 2015.

Kabla ya uteuzi...

 

11 years ago

Michuzi

DKT. BILAL AZINDUA KITUO CHA TIBA, UCHUNGUZI NA MAFUNZO YA MAGONJWA YA SARATANI, MATUMBO NA INI UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI CHAFUNGULIWA MUHIMBILI

Kituo cha uchunguzi na mafunzo ya magonjwa ya saratani, matumbo na ini Ukanda wa Afrika Mashariki kimefunguliwa rasmi mwishoni mwa juma. Sherehe hizo zilifanyika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili mwishoni mwa juma ambapo Mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Rais, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal. Fuatilia katika picha matukio wakati wa ufunguzi. Description: DSC_1474 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akipongezana na Profesa Meinrad Classen wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani