JK kuzindua nyumba mpya za makazi ya Wanajeshi eneo la Gongolamboto kesho
![](http://1.bp.blogspot.com/-XF9_3PcIuJQ/VK9-z4fXaDI/AAAAAAAG8KU/I3udhpCwCd4/s72-c/download%2B(1).jpg)
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), linatoa taarifa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt Jakaya Mrisho Kikwete atazindua nyumba mpya za makazi ya Wanajeshi eneo la Gongolamboto mnamo tarehe 10 Januari, 2015, Saa 3:00 Asubuhi. Aidha, uzinduzi wa nyumba hizo ni sehemu ya nyumba elfu kumi za mwanzo za makazi ya Maafisa na Askari wa JWTZ zilizojengwa katika mikoa mbalimbali hapa nchini kwa lengo la kuondoa tatizo la nyumba za makazi kwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-TKJ4LewWkMc/VLFdbDdYvjI/AAAAAAAG8jk/ezxVtqxjCaA/s72-c/jw1.jpg)
RAIS KIKWETE AZINDUA NYUMBA ZA KISASA ZA MAKAZI YA WANAJESHI GONGO LA MBOTO
![](http://3.bp.blogspot.com/-TKJ4LewWkMc/VLFdbDdYvjI/AAAAAAAG8jk/ezxVtqxjCaA/s640/jw1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-gsOd-OgtVTY/VLFdsWTp-rI/AAAAAAAG8lQ/6Di1ohelyng/s640/jw3.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-xXDhvxaZ7BI/VLFdugwltrI/AAAAAAAG8lw/SRNqy_Beef0/s72-c/jw8.jpg)
JK AZINDUA NYUMBA ZA KISASA ZA MAKAZI YA WANAJESHI GONGO LA MBOTO, DAR ES SALAAM, LEO
![](http://2.bp.blogspot.com/-xXDhvxaZ7BI/VLFdugwltrI/AAAAAAAG8lw/SRNqy_Beef0/s1600/jw8.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-gsOd-OgtVTY/VLFdsWTp-rI/AAAAAAAG8lQ/6Di1ohelyng/s1600/jw3.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-2VCDOZMJXYU/VAhmNF34IaI/AAAAAAAGd68/A8fZSzzf-ww/s72-c/bangalo%2B2.jpg)
Serikali yaanza kutekeleza mradi wa ujenzi wa nyumba 10,000 kwa ajili ya makazi ya wanajeshi
![](http://2.bp.blogspot.com/-2VCDOZMJXYU/VAhmNF34IaI/AAAAAAAGd68/A8fZSzzf-ww/s1600/bangalo%2B2.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-5CZ0U3Dtdl4/VAhmO5GnQdI/AAAAAAAGd7I/YShZXbOIhJ0/s1600/bangaloo%2B4.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-QJIr7rv9Eao/VAhmJFEbH9I/AAAAAAAGd6g/807l5rxpdfE/s1600/M1.jpg)
10 years ago
Dewji Blog12 Jan
Rais Kikwete azindua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto, Dar es Salaam
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Balozi wa China nchini Mhe Lu Youqing alipowasili kuzindua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es salaam Jumamosi 10, 2015. Wengine ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga taifa Dkt Hussein Mwinyi, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange, na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Mhe Said Meck Sadick,
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana...
10 years ago
Vijimambo10 Jan
RAIS KIKWETE AZINDUA NYUMBA ZA KISASA ZA MAKAZI YA WANAJESHI GOGO LA MBOTO, DAR ES SALAAM, LEO
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F1.bp.blogspot.com%2F-7KFsKS0d9y8%2FVLFP84XqB-I%2FAAAAAAADVJ4%2Fa87r4W1rUog%2Fs1600%2Fjw1.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F4.bp.blogspot.com%2F-59cldv2zpyg%2FVLFQC47rnQI%2FAAAAAAADVLE%2FbLBrZHqWUSw%2Fs1600%2Fjw2.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-6LwrgI5RgFg/XtbL_oCpXFI/AAAAAAALsXU/Lx6jEvk5qlolMFHZLB7zQDBACBxNAlw2gCLcBGAsYHQ/s72-c/u1.jpg)
IDARA YA UHAMIAJI YAKABIDHIWA NYUMBA ZA MAKAZI KWA MAOFISA NA ASKARI WA IDARA YA HIYO ENEO LA IYUMBU, JIJINI DODOMA
![](https://1.bp.blogspot.com/-6LwrgI5RgFg/XtbL_oCpXFI/AAAAAAALsXU/Lx6jEvk5qlolMFHZLB7zQDBACBxNAlw2gCLcBGAsYHQ/s1600/u1.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-wciZdB6toUU/XtbMBvFmsGI/AAAAAAALsXk/dD86z5b3JsYN35-icqqnUNwPp2U3fDTmgCLcBGAsYHQ/s1600/u2.jpg)
9 years ago
MichuziWAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI AZINDUA MPANGO KABAMBE WA MJI MPYA WA KIGAMBONI
![](http://3.bp.blogspot.com/-lZpkJnhJsLw/VfaZTONw_rI/AAAAAAAH4qI/Kiiw7DR9J7s/s640/10.jpg)
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-MtD9VS6Dszg/VRUp-w0n3oI/AAAAAAAAGug/G79Z_8MNQDA/s72-c/P3268891.jpg)
MHE. LUKUVI AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA NYUMBA MPYA ZA MAKAZI ZA NHC MJINI SUMBAWANGA
![](http://3.bp.blogspot.com/-MtD9VS6Dszg/VRUp-w0n3oI/AAAAAAAAGug/G79Z_8MNQDA/s1600/P3268891.jpg)
11 years ago
MichuziWAZIRI WA ARDHI NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI PROFESA ANNA TIBAIJUKA AKUTANA NA WADAU WA MJI MPYA WA KIGAMBONI DAR ES SALAAM