JK, marais wastaafu, Pengo kumkumbuka Sokoine
Rais Jakaya Kikwete na Kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo ni miongoni mwa watu mashuhuri wanaotarajiwa kuhudhuria maadhimisho ya miaka 30 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, hayati Moringe Sokoine yanayofanyika leo nyumbani kwake Monduli Juu, Wilaya ya Monduli mkoani Arusha.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog13 Apr
Familia ya Edward Moringe Sokoine wafanya misa ya kumkumbuka baba yao
Familia aliye kuwa waziri mkuu wa Tanzania hayati Edward Moringe Sokoine wakiwa katika ibada maalumu ya maadhimisho ya kifo chake nyumbani kwake Monduli juu, siku ambayo huadhimishwa April 12 kila mwaka.
Wake wa aliye kuwa Waziri mkuu wa Tanzania hayati Edward Moringe Sokoine, wakiweka mashada ya maua kwenye kaburi la mume wao nyumbani kwake eneo la Monduli Juu wilayani Monduli mkoani Arusha wakati wa maadhimisho ya siku ya kifo chake siku ambayo huadhimishwa April 12 kila...
11 years ago
Mwananchi16 Mar
Marais wastaafu wakutana
11 years ago
Tanzania Daima18 Mar
Marais wastaafu wajadili uchumi wa Afrika
MARAIS wastaafu sita kutoka barani Afrika walikutana mwishoni mwa wiki katika mdahalo wa kujadili mwelekeo wa uchumi wa nchi za bara hilo na watu wake. Mdahalo huo wa siku moja...
9 years ago
Mwananchi27 Aug
Marais wastaafu igeni mifano ya wenzenu
9 years ago
Habarileo16 Aug
Marais wastaafu watoa hesabu zao
WAKATI Rais Jakaya Kikwete akiaga kuashiria kumaliza uongozi wake wa miaka kumi, huku kampeni za kumpata mrithi wake zikikaribia, wazee wastaafu waliofanya kazi na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere wamezungumzia historia ya uongozi wa nchi yetu, huku marais wastaafu waliomfuatia, wakieleza changamoto walizokabiliana nazo katika miaka kumi ya kila mmoja wao.
10 years ago
Mtanzania09 Oct
Marais wastaafu wakacha sherehe Dodoma
Benjamin Mkapa
NA JONAS MUSHI, DAR ES SALAAM
RAIS mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa na Rais mstaafu wa Zanzibar, Aman Abeid Karume hawakuonekana katika sherehe za makabidhiano ya Katiba inayopendekezwa zilizofanyika jana mjini Dodoma.
Kutokuwapo kwao katika sherehe hizo, kunakwenda tofauti na tangazo lililotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk. Rehema Nchimbi aliyesema viongozi wote wastaafu wamealikwa na watakuwapo.
Pamoja na kutokuwapo kwa viongozi hao, haikutolewa taarifa yoyote...
9 years ago
Mwananchi08 Oct
Marais wastaafu Afrika kuongoza waangalizi Uchaguzi Mkuu
10 years ago
Mwananchi13 Aug
MARAIS WASTAAFU : Afrika ikiungana itaharakisha mapinduzi kiuchumi
9 years ago
MichuziONLY IN TANZANIA: RAIS MAGUFULI AKIWA NA MARAIS WASTAAFU BUNGENI DODOMA