Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Marais wastaafu wakutana

Marais wastaafu barani Afrika wameanza kuweka mikakati ya pamoja ili kulisaidia bara hili namna linavyoweza kukabiliana na changamoto za kiuchumi hasa wakati huu ambako dunia inahimizwa kuwa na ushirikiano wa kimaendeleo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MARAIS WASTAAFU THABO MBEKI, FESTUS MOGAE NA BENJAMIN MKAPA WAKUTANA DAR ES SALAAM

1aMarais wastaafu Thabo Mbeki wa Afrika Kusini na Festus Mogae wa Botswana wakiigia kwenye chumba cha Mkutano katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo wakati wa mkutano wa mwaka wa Africa Readership Forum ulioandaliwa na Taasisi ya Uongozi Institute jijini Dar es salaam ambao ulikuwa unajadili changamoto mbalimbali zinazozikabili nchi za Afrika na kuangalia masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja na hatua za kushughulikia changamoto hizo.2aRais mstaafu wa wa Afrika Kusin Thabo Mbeki ...

 

11 years ago

GPL

MARAIS WASTAAFU THABO MBEKI, FESTUS MOGAE NA BENJAMIN MKAPA WAKUTANA DAR ES SALAAM‏

Marais wastaafu Thabo Mbeki wa Afrika Kusini na Festus Mogae wa Botswana wakiigia kwenye chumba cha Mkutano katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo wakati wa mkutano wa mwaka wa Africa Readership Forum ulioandaliwa na Taasisi ya Uongozi Institute jijini Dar es salaam ambao ulikuwa unajadili changamoto mbalimbali zinazozikabili nchi za Afrika na kuangalia masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja na hatua za kushughulikia...

 

9 years ago

Habarileo

Marais wastaafu watoa hesabu zao

WAKATI Rais Jakaya Kikwete akiaga kuashiria kumaliza uongozi wake wa miaka kumi, huku kampeni za kumpata mrithi wake zikikaribia, wazee wastaafu waliofanya kazi na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere wamezungumzia historia ya uongozi wa nchi yetu, huku marais wastaafu waliomfuatia, wakieleza changamoto walizokabiliana nazo katika miaka kumi ya kila mmoja wao.

 

10 years ago

Mtanzania

Marais wastaafu wakacha sherehe Dodoma

Benjamin Mkapa

Benjamin Mkapa

NA JONAS MUSHI, DAR ES SALAAM

RAIS mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa na Rais mstaafu wa Zanzibar, Aman Abeid Karume hawakuonekana katika sherehe za makabidhiano ya Katiba inayopendekezwa zilizofanyika jana mjini Dodoma.

Kutokuwapo kwao katika sherehe hizo, kunakwenda tofauti na tangazo lililotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk. Rehema Nchimbi aliyesema viongozi wote wastaafu wamealikwa na watakuwapo.

Pamoja na kutokuwapo kwa viongozi hao, haikutolewa taarifa yoyote...

 

9 years ago

Mwananchi

Marais wastaafu igeni mifano ya wenzenu

Tangu CCM ilipozindua kampeni za mgombea wake wa urais, Dk John Magufuli pale Jangwani jijini Dar es Salaam, ‘habari ya mjini’ ni yaliyoibuka kwenye kampeni hizo, hasa kauli ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa kwamba wapinzani wanaodai kutaka kuiokomboa Tanzania ni wapumbavu na malofa kwani Taifa hili lilishakombolewa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Marais wastaafu wajadili uchumi wa Afrika

MARAIS wastaafu sita kutoka barani Afrika walikutana mwishoni mwa wiki katika mdahalo wa kujadili mwelekeo wa uchumi wa nchi za bara hilo na watu wake. Mdahalo huo wa siku moja...

 

11 years ago

Mwananchi

JK, marais wastaafu, Pengo kumkumbuka Sokoine

Rais Jakaya Kikwete na Kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo ni miongoni mwa watu mashuhuri wanaotarajiwa kuhudhuria maadhimisho ya miaka 30 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, hayati Moringe Sokoine yanayofanyika leo nyumbani kwake Monduli Juu, Wilaya ya Monduli mkoani Arusha.

 

9 years ago

Mwananchi

Marais wastaafu Afrika kuongoza waangalizi Uchaguzi Mkuu

Marais wastaafu; Goodluck Jonathan wa Nigeria na Armando Guebuza wa Msumbuji wataongoza jopo la waangalizi wa kimataifa wanaotarajiwa kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25.

 

10 years ago

Mwananchi

MARAIS WASTAAFU : Afrika ikiungana itaharakisha mapinduzi kiuchumi

Siku hizi Afrika iko nyuma kwa kila kitu, kuanzia maendeleo ya viwanda, teknolojia, elimu, afya, kilimo na hata miundombinu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani