Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MARAIS WASTAAFU THABO MBEKI, FESTUS MOGAE NA BENJAMIN MKAPA WAKUTANA DAR ES SALAAM

1aMarais wastaafu Thabo Mbeki wa Afrika Kusini na Festus Mogae wa Botswana wakiigia kwenye chumba cha Mkutano katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo wakati wa mkutano wa mwaka wa Africa Readership Forum ulioandaliwa na Taasisi ya Uongozi Institute jijini Dar es salaam ambao ulikuwa unajadili changamoto mbalimbali zinazozikabili nchi za Afrika na kuangalia masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja na hatua za kushughulikia changamoto hizo.2aRais mstaafu wa wa Afrika Kusin Thabo Mbeki ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MARAIS WASTAAFU THABO MBEKI, FESTUS MOGAE NA BENJAMIN MKAPA WAKUTANA DAR ES SALAAM‏

Marais wastaafu Thabo Mbeki wa Afrika Kusini na Festus Mogae wa Botswana wakiigia kwenye chumba cha Mkutano katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo wakati wa mkutano wa mwaka wa Africa Readership Forum ulioandaliwa na Taasisi ya Uongozi Institute jijini Dar es salaam ambao ulikuwa unajadili changamoto mbalimbali zinazozikabili nchi za Afrika na kuangalia masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja na hatua za kushughulikia...

 

11 years ago

Michuzi

Mbeki, Mogae, Obasanjo to grace regional leadership forum in Dar

Former Presidents Thabo Mbeki from South Africa, Olusegun Obasanjo of Nigeria and Festus Mogae of Botswana are set to arrive in Dar today to attend the African Leadership Forum to be held on July 31st, 2014.
The forum, which has been convened by H.E. Benjamin William Mkapa, former President of the United Republic of Tanzania and coordinated by UONGOZI Institute will be kick started with a plenary session with H.E. Thabo Mbeki as the keynote speaker. 
The plenary will also feature a panel...

 

11 years ago

Mwananchi

Marais wastaafu wakutana

Marais wastaafu barani Afrika wameanza kuweka mikakati ya pamoja ili kulisaidia bara hili namna linavyoweza kukabiliana na changamoto za kiuchumi hasa wakati huu ambako dunia inahimizwa kuwa na ushirikiano wa kimaendeleo.

 

10 years ago

Michuzi

RAIS MSTAAFU WA BOTSWANA MH. FESTUS MOGAE ATEMBELEA TAASISI YA UONGOZI

Rais mstaafu wa Botswana Mh. Festus Mogae (kushoto) akipokelewa na Afisa Mtendaji Mkuu wa UONGOZI Institute Profesa Joseph Semboja pale kiongozi huyo mstaafu alipotembelea ofisi hiyo iliyo chini ya Ofisi ya Rais jana Masaki, jijini Dar es Salaam.Afisa Mtendaji Mkuu wa UONGOZI Institute Profesa Joseph Semboja (wa pili kushoto) akimuelezea Rais mstaafu wa Botswana Mh. Festus Mogae (kulia) kuhusu mradi wa ujenzi wa taasisi ya mafunzo ya UONGOZI Institute unaoendelea katika mji wa Bagamoyo,...

 

10 years ago

GPL

SAKATA LA FIFA, THABO MBEKI AHUSISHWA NA TUHUMA ZA RUSHWA

Rais wa zamani wa Afrika kusini, Thabo Mbeki. Waziri wa Michezo wa Afrika Kusini, Fikile Mbalula, amesema rais wa zamani wa Afrika kusini, Thabo Mbeki, ndiye aliyeruhusu ulipwaji wa dola milioni 10 kwa FIFA, hela ambazo sasa zinadaiwa zilikuwa rushwa. Serikali ya Afrika Kusini imekuwa ikisisitiza kwamba fedha hizo zilikuwa ni sehemu ya mchango wa kusaidia kukuza soka katika nchi za Caribbean lakini waendesha mashtaka wa Marekani...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Yoweri Museveni afungua mkutano wa marais wastaafu katika hoteli ya Serena jijini Dar

????????????????????????????????????

Mh. Rais Yoweri Museveni wa Uganda akifungua rasmi mkutano wa Marais wastaafu wa Afrka AFRICA LEADERSHIP FORUM unaofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam Mkutano huo unaojumuisha marais wastaafu Benjamin Mkapa wa Tanzania , Olusegun Obasanjo wa Nigeria, Hifikepunye Lucas Pohamba wa Namibia, Festus Mogaye wa Botswana, Bakili Muluzi wa Malawi na Jerry Rowlings wa Ghana unajadili masuala mbalimbali ya maendeleo katika bara la Afrika na Changamoto zinazokabili barahilo na...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS YOWERI MUSEVEN AFUNGUA MKUTANO WA MARAIS WASTAAFU KATIKA HOTELI YA SERENA JIJINI DAR

????????????????????????????????????Mh. Rais Yoweri Museveni wa Uganda akifungua rasmi mkutano wa Marais wastaafu wa Afrka AFRICA LEADERSHIP FORUM unaofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam Mkutano huo unaojumuisha marais wastaafu Benjamin Mkapa wa Tanzania , Olusegun Obasanjo wa Nigeria, Hifikepunye Lucas Pohamba wa Namibia, Festus Mogaye wa Botswana, Bakili Muluzi wa Malawi na Jerry Rowlings wa Ghana unajadili masuala mbalimbali ya maendeleo katika bara la Afrika na Changamoto zinazokabili barahilo na...

 

10 years ago

Vijimambo

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani