Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Marais wastaafu wakacha sherehe Dodoma

Benjamin Mkapa

Benjamin Mkapa

NA JONAS MUSHI, DAR ES SALAAM

RAIS mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa na Rais mstaafu wa Zanzibar, Aman Abeid Karume hawakuonekana katika sherehe za makabidhiano ya Katiba inayopendekezwa zilizofanyika jana mjini Dodoma.

Kutokuwapo kwao katika sherehe hizo, kunakwenda tofauti na tangazo lililotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk. Rehema Nchimbi aliyesema viongozi wote wastaafu wamealikwa na watakuwapo.

Pamoja na kutokuwapo kwa viongozi hao, haikutolewa taarifa yoyote...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

ONLY IN TANZANIA: RAIS MAGUFULI AKIWA NA MARAIS WASTAAFU BUNGENI DODOMA

Andika caption ya taswira hii kwenye sehemu ya maoni. Ikivutia  zaidi ya zote utapata zawadi ya fulana ya #HAPAKAZITU.Mwisho wa kutuma caption ni Kesho Jumapili saa sita usiku.

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI PAMOJA NA MARAIS WASTAAFU WAWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA OFISI ZA IKULU YA CHAMWINO MKOANI DODOMA.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshika Chepe ili kuweka zege na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benja min Mkapa kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi Ujenzi Ofisi za Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 30 Mei 2020.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS DKT. MAGUFULI PAMOJA NA MARAIS WASTAAFU WAWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA OFISI ZA IKULU YA CHAMWINO MKOANI DODOMA.




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshika Chepe ili kuweka zege na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benja min Mkapa kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi Ujenzi Ofisi za Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 30 Mei 2020.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Awamu...

 

11 years ago

Mwananchi

Marais wastaafu wakutana

Marais wastaafu barani Afrika wameanza kuweka mikakati ya pamoja ili kulisaidia bara hili namna linavyoweza kukabiliana na changamoto za kiuchumi hasa wakati huu ambako dunia inahimizwa kuwa na ushirikiano wa kimaendeleo.

 

9 years ago

Habarileo

Marais wastaafu watoa hesabu zao

WAKATI Rais Jakaya Kikwete akiaga kuashiria kumaliza uongozi wake wa miaka kumi, huku kampeni za kumpata mrithi wake zikikaribia, wazee wastaafu waliofanya kazi na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere wamezungumzia historia ya uongozi wa nchi yetu, huku marais wastaafu waliomfuatia, wakieleza changamoto walizokabiliana nazo katika miaka kumi ya kila mmoja wao.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Marais wastaafu wajadili uchumi wa Afrika

MARAIS wastaafu sita kutoka barani Afrika walikutana mwishoni mwa wiki katika mdahalo wa kujadili mwelekeo wa uchumi wa nchi za bara hilo na watu wake. Mdahalo huo wa siku moja...

 

9 years ago

Mwananchi

Marais wastaafu igeni mifano ya wenzenu

Tangu CCM ilipozindua kampeni za mgombea wake wa urais, Dk John Magufuli pale Jangwani jijini Dar es Salaam, ‘habari ya mjini’ ni yaliyoibuka kwenye kampeni hizo, hasa kauli ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa kwamba wapinzani wanaodai kutaka kuiokomboa Tanzania ni wapumbavu na malofa kwani Taifa hili lilishakombolewa.

 

11 years ago

Mwananchi

JK, marais wastaafu, Pengo kumkumbuka Sokoine

Rais Jakaya Kikwete na Kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo ni miongoni mwa watu mashuhuri wanaotarajiwa kuhudhuria maadhimisho ya miaka 30 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, hayati Moringe Sokoine yanayofanyika leo nyumbani kwake Monduli Juu, Wilaya ya Monduli mkoani Arusha.

 

9 years ago

Mwananchi

Marais wastaafu Afrika kuongoza waangalizi Uchaguzi Mkuu

Marais wastaafu; Goodluck Jonathan wa Nigeria na Armando Guebuza wa Msumbuji wataongoza jopo la waangalizi wa kimataifa wanaotarajiwa kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani