JK: Vyama vingi vimepanua wigo wa kisiasa
![](http://3.bp.blogspot.com/-D6ze-PCHC0s/U6WUJ8oBVnI/AAAAAAAFsIY/n6zJH1bjawM/s72-c/Screen+Shot+2014-06-21+at+5.17.07+PM.png)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa mfumo wa vyama vingi vya siasa ni mzuri, umeleta matumaini kwa kupanua wigo na kufungua zaidi uwanja wa kisiasa pamoja na kuiwajibisha Serikali.
Hata hivyo, Rais Kikwete amesema kuwa ili mfumo huo uboreshwe zaidi na uweze kuimarisha misingi mikuu ya maendeleo ni lazima uendeshwa kwa watu kufuata sheria na wala siyo kuingiza matumizi ya nguvu ambayo yanaweza kuvuruga nchi.
Rais Kikwete ambaye pia ni...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo22 Jun
Kikwete akunwa na vyama vingi
RAIS Jakaya Kikwete amesema mfumo wa vyama vingi vya siasa ni mzuri, umeleta matumaini kwa kupanua wigo na kufungua zaidi uwanja wa kisiasa na kuiwajibisha Serikali.
10 years ago
Uhuru Newspaper25 Mar
‘Vyama vingi vya ushirika vimejaa walaji’
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema vyama vingi vya ushirika hapa nchini vimejaa walaji na hivyo wananchi walio wengi wamekuwa wakidhulumiwa haki zao na vyama hivyo kufa hovyo.Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, alisema hayo alipokuwa akizungumza na wakazi wa Mabogini, katika Wilaya ya Moshi Vijijini. Kinana alisema kumekuwa na ongezeko kubwa la vyama vya ushirika kwa ajili ya kusaidia makundi mbalimbali ya watu hapa nchini.
Alisema pamoja na ongezeko hilo, bado baadhi ya vyama hivyo...
9 years ago
Habarileo22 Sep
Zitto: Vyama vingi vimepoteza sifa ya kuzungumzia ufisadi
CHAMA cha ACT-Wazalendo kimetamba kwamba ndicho chama pekee cha upinzani kinachoweza kuzungumzia ufisadi ambao ni tatizo kubwa la maendeleo nchini mbele ya wananchi.
10 years ago
Dewji Blog30 Apr
Wanazuoni wajadili mustakabali wa Tanzania demokrasia ya vyama vingi
Jaji Francis Mtungi akifungua mkutano wa wadau wa siasa wa uimarishaji demokrasia ya vyama vingi.
Na Modewji Blog team
Dk. Benson Bana wa Chuo Kikuu cha Dare s salaam ambaye amebobea katika masuala ya siasa amewataka wadau wa siasa na wananchi kwa ujumla kuzuia uvunjifu wa amani kuelekea uchaguzi mkuu kwa kufuata Sheria na kutobeza mamlaka.
Dk Bana alisema hayo jana akijibu swali la msimamizi wa mdahalo wenye lengo la kuimarisha demokrasia ya vyama vingi ulioandaliwa na Msajili wa Vyama...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/04/Jaji-Francis-Mtungi-akifunguja-mkutano-wa-wadau-wa-siasa-wa-uimatishaji-demokrasia-ya-vyama-vingi.jpg?width=640)
WANAZUONI WAJADILI MUSTAKABALI WA TANZANIA DEMOKRASIA YA VYAMA VINGI
10 years ago
Raia Mwema05 Aug
‘chama kimoja, vyama vingi, chama cha mtu mmoja’
NINAANDIKA makala hii nikiwa na masikitiko makubwa mno.
Evarist Chahali
10 years ago
Michuzi27 Apr
11 years ago
Tanzania Daima24 Feb
Vodacom yaendelea kupanua wigo wa huduma
WATEJA wa Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom wameendelea kukumbushwa kupata huduma katika maduka mapya yanayoendelea kufunguliwa maeneo mbalimbai karibu na makazi yao, ili kuepuka gharama na usumbufu usio wa lazima...