‘Vyama vingi vya ushirika vimejaa walaji’
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema vyama vingi vya ushirika hapa nchini vimejaa walaji na hivyo wananchi walio wengi wamekuwa wakidhulumiwa haki zao na vyama hivyo kufa hovyo.Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, alisema hayo alipokuwa akizungumza na wakazi wa Mabogini, katika Wilaya ya Moshi Vijijini. Kinana alisema kumekuwa na ongezeko kubwa la vyama vya ushirika kwa ajili ya kusaidia makundi mbalimbali ya watu hapa nchini.
Alisema pamoja na ongezeko hilo, bado baadhi ya vyama hivyo...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-wLvlG0P4Zf8/XuG7j46sAlI/AAAAAAAEHlg/Pm3R3n-AeLAWBZva6ZIPX7gwBnej6MovQCLcBGAsYHQ/s72-c/PICHA-8-2-768x458.jpg)
MRAJIS AWATAKA MAAFISA USHIRIKA KUIMARISHA USIMAMIZI WA VYAMA VYA USHIRIKA
![](https://1.bp.blogspot.com/-wLvlG0P4Zf8/XuG7j46sAlI/AAAAAAAEHlg/Pm3R3n-AeLAWBZva6ZIPX7gwBnej6MovQCLcBGAsYHQ/s640/PICHA-8-2-768x458.jpg)
Mrajis wa Vyama vya Ushirika Tanzania Bara, Dkt. Benson Ndiege (wa sita kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya maafisa ushirika na wajumbe wa bodi ya Chama kikuu cha Ushirika mkoa wa Simiyu(SIMCU) mara baada ya kuhitimisha kikao na wajumbe hao wakati wa ziara yake ya siku moja mkoani humo Juni 09, 2020.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/PICHA-1-4.jpg)
Mrajis wa Vyama vya Ushirika Tanzania Bara, Dkt. Benson Ndiege(kushoto) akizungumza na Maafisa Ushirika wa Mkoa wa Simiyu wakati wa ziara yake mkoani humo Juni 09, 2020
11 years ago
Uhuru Newspaper![](http://4.bp.blogspot.com/-L3m8i9Xkz7E/U8_QsqV5n7I/AAAAAAAABa4/yJjia4RR-tQ/s72-c/jakaya_kikwete.jpg)
UFISADI VYAMA VYA USHIRIKA
JK: Hatutabeba mizigo ya wezi
Aagiza vigogo kufikishwa kortini harakaAonya fedha za umma sio za kuchezewa
Na Mwandishi Wetu, Tunduru
RAIS Jakaya Kikwete amesema serikali haitalipa madeni ambayo baadhi ya Vyama vya Ushirika nchini vinadaiwa na benki.
Amesema anataka kwanza wezi waliosababisha madeni hayo wakamatwe na kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria.
![](http://4.bp.blogspot.com/-L3m8i9Xkz7E/U8_QsqV5n7I/AAAAAAAABa4/yJjia4RR-tQ/s1600/jakaya_kikwete.jpg)
Aidha, Rais Kikwete amesema ni jambo la kusikitisha kuwa baadhi ya maofisa wa serikali hujidhalilisha kwa kujifanya mawakala wa wanunuzi binafsi...
10 years ago
Mwananchi15 Oct
Viongozi vyama vya ushirika wafundwa
11 years ago
Tanzania Daima08 Apr
Mrajis kikwazo kwa vyama vya ushirika
BAADHI ya wanaushirika nchini wanaichukulia nafasi ya Mrajis wa Vyama vya Ushirika kuwa ipo kuukwamisha ushirika. Pia wapo wanaodhani kwamba cheo hicho kilianzishwa baadaye kabisa, kama moja ya mikakati ya...
10 years ago
Habarileo05 Jul
‘Vyama vya ushirika vipige vita ubakaji’
VYAMA vya ushirika nchini vimeombwa kushirikiana na Serikali katika mapambano yake dhidi ya matendo maovu yakiwemo ubakaji, utumiaji wa dawa za kulevya na maambukizi ya Ukimwi.
10 years ago
Mwananchi03 Oct
Vyama vya ushirika vyapewa mkopo Sh2 bilioni
10 years ago
Tanzania Daima18 Nov
Kwa hili Mrajis wa vyama vya ushirika amepotoka
OKTOBA 22 mwaka huu, Ofisi ya Mrajis wa vyama vya ushirika nchini, iliitisha mkutano mkuu maalumu wa wanachama wa chama kikuu cha ushirika mkoani Kilimanjaro(KNCU)ambao pamoja na mambo mengine mkutano...
11 years ago
Mwananchi10 Jun
Serikali ndiyo inalea wezi vyama vya ushirika
11 years ago
Mwananchi03 Jun
Ufisadi wa kutisha kwenye vyama vya ushirika nchini
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10