Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MRAJIS AWATAKA MAAFISA USHIRIKA KUIMARISHA USIMAMIZI WA VYAMA VYA USHIRIKA


Mrajis wa Vyama vya Ushirika Tanzania Bara, Dkt. Benson Ndiege (wa sita kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya maafisa ushirika na wajumbe wa bodi ya Chama kikuu cha Ushirika mkoa wa Simiyu(SIMCU) mara baada ya kuhitimisha kikao na wajumbe hao wakati wa ziara yake ya siku moja mkoani humo Juni 09, 2020.
Mrajis wa Vyama vya Ushirika Tanzania Bara, Dkt. Benson Ndiege(kushoto) akizungumza na Maafisa Ushirika wa Mkoa wa Simiyu wakati wa ziara yake mkoani humo Juni 09, 2020

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Kwa hili Mrajis wa vyama vya ushirika amepotoka

OKTOBA  22  mwaka huu, Ofisi ya Mrajis wa vyama vya ushirika nchini, iliitisha mkutano mkuu maalumu wa wanachama wa chama kikuu cha ushirika mkoani Kilimanjaro(KNCU)ambao pamoja na mambo mengine mkutano...

 

9 years ago

StarTV

  Watanzania, taasisi zaaswa kutumia vyama vya ushirika kuimarisha uschumi endelevu

 

Watanzania na taasisi mbalimbali nchini zimeaswa kujenga uchumi imara na endelevu kupitia vyama vya ushirika.

Sera zilizopo hivi sasa nchini zinadaiwa kushindwa kumkomboa mwananchi kiuchumi kutokana na kutozingatia misingi na kanuni za vyama vya ushirika.

Tanzania ni miongoni mwa nchi za Afrika zilizokuwa na ushirika imara lakini kwa sasa ushirika huo unaonekana kudorora kutokana na takwimu zinazoonyesha idadi ya wanachama wa vyama vya ushirika kutoridhisha.

Ufumbuzi wa tatizo hilo...

 

5 years ago

Michuzi

Tuwe na uelewa wa Sheria ya Ushirika –Naibu Mrajis

Naibu Mrajis wa Vyama vya Ushirika Usimamizi na Udhibiti wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Bw. Collins Nyakunga ametoa wito kwa Viongozi na Watendaji wa Vyama vya Akiba na Mikopo (SACCOS) kuwa na uelewa wa Sheria ya Vyama vya Ushirika Na.6 ya mwaka 2013, Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha Na.10 ya mwaka 2018, miongozo na Kanuni husika za Ushirika.

Mrajis ametoa wito huo akiongea na Viongozi pamoja na Watendaji wa Vyama vya Akiba na Mikopo (SACCOS) wakati wa mafunzo ya Sheria Na.10 ya...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

UFISADI VYAMA VYA USHIRIKA


JK: Hatutabeba mizigo ya wezi

Aagiza vigogo kufikishwa kortini harakaAonya fedha za umma sio za kuchezewa
Na Mwandishi Wetu, Tunduru
RAIS Jakaya Kikwete amesema serikali haitalipa madeni ambayo baadhi ya Vyama vya Ushirika nchini vinadaiwa na benki.
Amesema anataka kwanza wezi waliosababisha madeni hayo wakamatwe na kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria.

Aidha, Rais Kikwete amesema ni jambo la kusikitisha kuwa baadhi ya maofisa wa serikali hujidhalilisha kwa kujifanya mawakala wa wanunuzi binafsi...

 

10 years ago

Mwananchi

Viongozi vyama vya ushirika wafundwa

Viongozi nchini wametakiwa kutumia kwa ufanisi rasilimali fedha zinazopangwa katika miradi mbalimbali ya kupambana na madhara ya tabianchi ili iweze kutoa matokeo chanya yatakayookoa vizazi vijavyo.

 

10 years ago

Habarileo

‘Vyama vya ushirika vipige vita ubakaji’

VYAMA vya ushirika nchini vimeombwa kushirikiana na Serikali katika mapambano yake dhidi ya matendo maovu yakiwemo ubakaji, utumiaji wa dawa za kulevya na maambukizi ya Ukimwi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mrajis kikwazo kwa vyama vya ushirika

BAADHI ya wanaushirika nchini wanaichukulia nafasi ya Mrajis wa Vyama vya Ushirika kuwa ipo kuukwamisha ushirika. Pia wapo wanaodhani kwamba cheo hicho kilianzishwa baadaye kabisa, kama moja ya mikakati ya...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

‘Vyama vingi vya ushirika vimejaa walaji’



CHAMA  Cha Mapinduzi (CCM), kimesema vyama vingi vya ushirika hapa nchini vimejaa walaji na hivyo wananchi walio wengi wamekuwa wakidhulumiwa haki zao na vyama hivyo kufa hovyo.Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, alisema hayo alipokuwa akizungumza na wakazi wa Mabogini, katika Wilaya ya Moshi Vijijini. Kinana alisema kumekuwa na ongezeko kubwa la vyama vya ushirika kwa ajili ya kusaidia makundi mbalimbali ya watu hapa nchini.
Alisema pamoja na ongezeko hilo, bado baadhi ya vyama hivyo...

 

11 years ago

Mwananchi

Ufisadi wa kutisha kwenye vyama vya ushirika nchini

Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Godfrey Zambi amekiri kuwepo kwa wizi mkubwa na ufisadi wa kutisha wanaofanyiwa wakulima kwenye vyama vya ushirika nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani