JK ZANZIBAR KWENYE KAMPENI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt.Jakaya Kikwete akizungumza na Maelfu ya wanachama wa chama cha Mapinduzi CCM na wananchi wa Kisiwani Pemba katika mkutano wa kufunga kampeni za Chama hicho katika uwanja wa Gombani yakale leo na kuwaombea kura wagombea wote wa CCMRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Viongozi wa CCM wakati alipowasili katika uwanja wa Gombani yakale katika...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo518 Sep
Wakazi: Mil20 za kufanya kampeni si kitu ukilinganisha na sera nzuri zitakazonipa mil200’, adai hashangai wasanii kutumika kwenye kampeni (Video)
9 years ago
GPLMGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AENDELEA NA MIKUTANO YAKE YA KAMPENI ZANZIBAR
9 years ago
MichuziMkutano wa Kampeni Mgombea Urais wa CCM Zanzibar Dk Shein, Viwanja vya Bungi Zanzibar
9 years ago
VijimamboMGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AENDELEA NA MIKUTANO YAKE YA KAMPENI KATIKA VIWANJA CHA GARAGARA MTONI ZANZIBAR,
11 years ago
CloudsFM11 Jun
WASANII WAMWALIKA RAIS KWENYE UZINDUZI WA KAMPENI YA ‘NAIAMINIA TANZANIA’,JUMAMOSI HII KWENYE UWANJA WA JAMHURI, DODOMA
Naiminia Tanzania ndiyo habari ya mjini, weekend hii siku ya Jumamosi ndani ya uwanja wa Jamhuri,Mkoani Dodoma wasanii wa fani mbalimbali hapa nchini wameandaa ufunguzi wa kampeni kubwa inayoitwa ‘Naiaminia Tanzania’.
Ambayo ni muendelezo wa ile ngoma yao ya miaka 50 ya tanzania, ambayo waliirekodi wasanii 50, wakashuti na video.Msanii wa Bongo Fleva,Mwana FA pamoja na Nikki Wa Pili watatoa speech mbele ya mgeni rasmi, Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, rais wa...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Yoxb_aT2G2g/U_CZS74XDhI/AAAAAAAGALQ/1H1BN-u3tQI/s72-c/504.jpg)
Mke wa Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar mgeni rasmi kwenye hafla ya kuwaaga wanafunzi wa Zanzibar wanaosoma chuo Kikuu cha Kiislamu Morogoro
Mama Asha Suleiman Iddi alisema hayo wakati wa hafla maalum ya kuagana kwa wana jumuiya ya wanafunzi wa Zanzibar wanaosoma chuo Kikuu cha Kiislamu Morogoro wa ZAMUMSA ambao wanatarajiwa kumaliza mafunzo yao mwezi Novemba mwaka huu...
9 years ago
Habarileo10 Sep
Wataka wakalimani kwenye kampeni
WATU wenye ulemavu nchini wamevitaka vyama vya siasa kuhakikisha vinaweka wakalimani wa lugha za alama kwenye kampeni za wagombea urais, kutoa fursa kwa kundi hilo kujua sera na ahadi zinazotolewa na wagombea wafanye uamuzi sahihi.
9 years ago
Habarileo13 Sep
CCM kuzindua kampeni Zanzibar leo
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) visiwani hapa kinazindua kampeni leo mjini hapa, huku mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho, Dk Ali Mohamed Shein akitarajiwa kuhutubia.
10 years ago
Mwananchi13 Dec
Kampeni tatu za Katiba zaibuka Zanzibar