JKT yataka mabadiliko kidato cha sita
JESHI la Kujenga Taifa (JKT) limeiomba Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kuangalia upya muda wa kidato cha sita kumaliza masomo yao ili kuepusha muingiliano wa muda wa kuingia katika mafunzo ya kijeshi kwa mujibu wa sheria.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-v2_XIJ9S1Ug/VeARqSfYtZI/AAAAAAAH0l8/ZYMzXcWZXHc/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-08-28%2Bat%2B10.44.17%2BAM.png)
Tangazo kwa wahitimu wa kidato cha nne, sita na JKT ambao wamechaguliwa kujiunga na mafunzo ya awali ya Polisi
![](http://1.bp.blogspot.com/-v2_XIJ9S1Ug/VeARqSfYtZI/AAAAAAAH0l8/ZYMzXcWZXHc/s640/Screen%2BShot%2B2015-08-28%2Bat%2B10.44.17%2BAM.png)
KILA MMOJA ATATAKIWA KUWA NA NAULI YA KUMWEZESHA KUSAFIRI TOKA MAKAO MAKUU YA MKOA ANAKOANZIA KUSAFIRI HADI SHULE YA POLISI MOSHI NA ATAREJESHEWA NAULI ATAKAPOFIKA...
10 years ago
Michuzi10 Nov
KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA AHMED .Z. MSANGI-SACP ANAWATANGAZIA WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA MWAKA 2014 NA KIDATO CHA NNE MWAKA 2013 WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI BAADA YA USAILI KUKAMILIKA
10 years ago
Mwananchi16 Jul
Kidato cha sita watamba
11 years ago
Uhuru Newspaper22 Jul
KUBORONGA KIDATO CHA SITA
Serikali yazijia juu Tambaza na Iyunga
NA MOHAMMED ISSA
SERIKALI imesema imechukizwa na matokeo mabaya ya kidato cha sita kwa sekondari za Tambaza Dar es Salaam na Iyunga, Mbeya.
Imesema kutokana na matokeo hayo katika shule hizo kongwe za serikali nchini, imetoa mwezi mmoja kwa walimu wakuu kujieleza sababu za kufanya vibaya kabla ya hatua zaidi kuchukuliwa.
Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Jumanne Sagini, alisema hayo ofisini kwake mjini Dar...
10 years ago
Mwananchi05 May
Kidato cha sita wasota vituoni
10 years ago
Mtanzania05 May
Mitihani kidato cha sita yaanza
Grace Shitundu na Michael Sarungi, Dar es Salaam
MTIHANI wa kidato cha Sita ulioanza jana nchini kote umeendelea licha ya mgomo wa madereva uliofanyika na kusababisha tatizo la usafiri.
Mtanzania ilifanikiwa kuzunguka katika baadhi ya shule zilizopo katikati ya jiji la Dar es Salaam ambazo ni Tambaza, Jangwani na Azania na kukuta wanafunzi wakiendeleea na mitihani yao.
Hata hivyo baadhi ya walimu waliliambia gazeti hili kuwa kuna baadhi ya wanafunzi wamechelewa kufika katika chumba cha...
10 years ago
Habarileo16 Jul
Ufaulu kidato cha sita juu
WATAHINIWA 38,853 kati ya watahiniwa 40,753 waliofanya mtihani wa Kidato cha Sita kwa mwaka 2015, wamefaulu mitihani yao ikiwa ni ongezeko la asilimia 1.67 ukilinganisha na matokeo ya mwaka jana.
11 years ago
Tanzania Daima17 Jul
Zanzibar hoi kidato cha sita
WAKATI watahiniwa 38,905 sawa na asilimia 95.98 ya waliofanya mtihani wa kidato cha sita 2014 wakifaulu, Zanzibar imeangukia pua kwa kutoingiza shule hata moja kumi bora, badala yake shule zake...
11 years ago
Mwananchi19 Jul
‘Matokeo kidato cha sita yanatia shaka’