Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JOHARI: SITAKI KUSIKIA HABARI ZA CHUCHU

Stori: Mayasa Mariwata
STAA wa filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amesema kwa sasa hataki kabisa kusikia habari za mwigizaji, Chuchu Hans ambaye wamekuwa wakitifuana mara kwa mara wakidaiwa kugombea penzi la Vincent Kigosi ‘Ray’. Staa wa filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’. Akikitemea cheche kinasa sauti cha paparazi wetu baada ya kuulizwa kuhusiana na hatma ya malumbano yao ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

JK: Sitaki tena kusikia dawa za kulevya zinapita

Rais Jakaya Kikwete ameagiza kuimarishwa kwa udhibiti katika viwanja vya Ndege vya Kimataifa Julius Nyerere (JNIA) na Kilimanjaro (Kia), kutumiwa kupitisha dawa za kulevya kwenda nje na kuingia nchini.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA NISHATI SITAKI KUSIKIA MGAO WA UMEME,AAGIZA ABUBAKARI KUCHULIWA HATUA KALI


Waziriwa nishati Dkt Medard Kalemani akizungumza na waandishi wa habari mkoa wa Iringa katika bwawa la Mtera akitoa katazo la kuwepo kwa mgao wa umeme hapa nchini


Waziriwa nishati Dkt Medard Kalemani akiwa mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela alipofanya ziara katika bwawa la Mtera


NA FREDY MGUNDA,IRINGA.

Waziriwa nishati Dkt Medard Kalemani amepiga marufuku kwa
uongozi wa TANESCO kutoa nishati ya umeme kwa mgao wakati hakuna tatizo lolote la uzalishaji katika vituo vyote...

 

9 years ago

Mtanzania

Johari: Sitaki filamu za mazoea

JOHARINA JANETH MAPUNDA (MSPS)

NYOTA wa filamu nchini, Blandina Chagula ‘Johari’, amesema anajipanga ili akitoa filamu ziwe nzuri zitakazoendana na matakwa ya mashabiki wake.

Johari alisema ukimya wake haumaanishi kuishiwa kisanaa bali ni mbinu anayoitumia kutafakari ili akirudi awe mpya kwa mashabiki na kwenye kiwanda cha filamu kwa ujumla.

“Unajua usifanye kazi kwa mazoea ili uonekane, unatakiwa kufanya kazi zenye hadhi na zikonge nyoyo za Watanzania ndiyo maana nipo kimya kwa muda ili nikirudi...

 

10 years ago

CloudsFM

Chuchu: Ray na Johari si Wapenzi

Mwigizaji wa filamu za Kibongo,Chuchu Hans amefunguka kwa mara ya kwanza kuwa mpenzi wake ambaye pia ni staa wa filamu,Vincent Kigosi,’Ray’ hana uhusiano wa kimapenzi na msanii mwenzake Blandina Chagula’Johari’ kama ambavyo watu wanadhani.

Chuchu amefunguka kupitia Movie Leo na Zamaradi Mketema kuwa watu wamekuwa wakidhani Ray na Johari wana uhusiano wa kimapenzi lakini yeye anavyojua hawana uhusiano bali ni wanafanya kazi kwenye kampuni moja kama wakurugenzi(RJ Film).‘’Ninachojua mimi Ray...

 

11 years ago

GPL

JOHARI AMTUPIA CHUCHU VIJEMBE MSIBANI

Stori: Mwandishi Wetu STAA wa Bongowood, Blandina Chagula ‘Johari’ anadaiwa kumtupia vijembe kiaina msanii mwenzake, Chuchu Hans ambaye ‘anabanjuka kimalovee’ na mkurugenzi mwenza wa Kampuni ya RJ, Vincent Kigosi ‘Ray The Greatest’. Staa wa Bongowood, Blandina Chagula ‘Johari’. Tukio hilo lilichukua nafasi kwenye msiba wa mwigizaji Sheila Haule ‘Recho’...

 

10 years ago

GPL

JOHARI, CHUCHU NUSU WAZICHAPE TENA

Stori: Hamida Hassan na Imelda Mtema
Mastaa wa filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ na Chuchu Hans  ambao wamekuwa katika bifu kwa muda mrefu kutokana na uhusiano wa kimapenzi na Vincent Kigosi ‘Ray’, hivi karibuni nusu wazichape kwa mara nyingine baada ya kurushiana matusi mazito ya nguoni. Staa wa filamu Bongo, Chuchu Hans. Tukio  hilo lilijiri juzikati katika hoteli moja iliyopo Sinza...

 

11 years ago

GPL

JOHARI AWARUSHA ROHO RAY, CHUCHU!

Stori: Erick Evarist
WATU bwana! Picha zilizosambaa mitandaoni zikimuonesha staa wa sinema za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ akiwa kwenye pozi tata na Ostaz Juma Namusoma zimetafsiriwa kuwa zililenga kuwarusha roho wapendanao; Vincent Kigosi ‘Ray’ na Chuchu Hans. Johari. Hiyo imekuja baada ya kuvuja habari za Ray kumpangia Chuchu nyumba ya gharama maeneo ya Mwananyamala jijini Dar hivyo Johari...

 

11 years ago

GPL

JOHARI: RAY HAWEZI KUMUOA CHUCHU

Na Musa Mateja
Blandina Chagula ‘Johari’, juzikati alifunguka kwamba watu waachane na kusikiliza habari za matapeli wa mapenzi, maana suala la Vicent Kigosi ‘Ray’, kumvisha pete mchumba wake wa sasa Chuchu Hans si la kweli na kwamba huo ni utapeli. Staa wa sinema za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’. Akizungumza Ijumaa Mei 13, mwaka huu Johari alisema hana taarifa zozote za Ray kumvisha...

 

11 years ago

GPL

JOHARI AWARUSHA ROHO RAY, CHUCHU HANS

Stori: SHAKOOR JONGO
HUKU Ray na Chuchu Hans wakionekana penzi lao limepamba moto, mpenzi wa zamani wa  Ray, Blandina Chagula ‘Johari’ ameonekana kuwarusha roho wawili hao baada ya kutupia mtandaoni picha inayomuonesha kidoleni amevaa pete ya ndoa. Johari. Wakizungumza na Ijumaa baadhi ya watu waliobahatika kuiona picha hiyo wamesema kuwa kitendo cha Johari kuweka picha hiyo ni sawa na kuwarusha roho wawili hao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani