JOHARI, CHUCHU NUSU WAZICHAPE TENA
![](http://api.ning.com:80/files/NRpz*rV1U-tCGJrEXDA6xBRWxcm1jKmCKr*q7csFvyN7rwrsWVyZU8jfynPxcj1BRQq5zapTNQQpI4p*96iW5ASwgUD2L7Wl/johari.jpg)
Stori: Hamida Hassan na Imelda Mtema Mastaa wa filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ na Chuchu Hans ambao wamekuwa katika bifu kwa muda mrefu kutokana na uhusiano wa kimapenzi na Vincent Kigosi ‘Ray’, hivi karibuni nusu wazichape kwa mara nyingine baada ya kurushiana matusi mazito ya nguoni. Staa wa filamu Bongo, Chuchu Hans. Tukio hilo lilijiri juzikati katika hoteli moja iliyopo Sinza...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/5wu8U2Maqbh*PmEP14IJIajd2fyEc5BqG0Q7DcE9CwDDNv3Pt3rLEC7OucrIf3kykCw4ptqzkBes8LqjTqrSPadwP5xrtvhF/gggggggggggggr.gif?width=650)
WEMA, IDRIS NUSU WAZICHAPE
10 years ago
CloudsFM10 Feb
Chuchu: Ray na Johari si Wapenzi
Mwigizaji wa filamu za Kibongo,Chuchu Hans amefunguka kwa mara ya kwanza kuwa mpenzi wake ambaye pia ni staa wa filamu,Vincent Kigosi,’Ray’ hana uhusiano wa kimapenzi na msanii mwenzake Blandina Chagula’Johari’ kama ambavyo watu wanadhani.
Chuchu amefunguka kupitia Movie Leo na Zamaradi Mketema kuwa watu wamekuwa wakidhani Ray na Johari wana uhusiano wa kimapenzi lakini yeye anavyojua hawana uhusiano bali ni wanafanya kazi kwenye kampuni moja kama wakurugenzi(RJ Film).
‘’Ninachojua mimi Ray...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pVOWqi0dq18M4GcHRwiqOJn-UolCJ8sepqY*KNdUuwKgsOpzlyygpFXWM8fchNYCeANyK55LLBhCU6tX6e*HeB8r6p1V4ewD/joharii.jpg?width=650)
JOHARI AWARUSHA ROHO RAY, CHUCHU!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YWMj-J29SNz-1-jGh3mihXudit9WzLIkYGhLP4U8IjbmCTXmSrgXdTKHSlyscmP7HEqx7FCWlVsYjmJuOOf8PUlVgDEF0avH/johari.jpg)
JOHARI AMTUPIA CHUCHU VIJEMBE MSIBANI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TtwBo078M6hxhZgRqqyWHIKMH22Ifsy0IRMe535nXDhO4XQv0sZCeOCJqrCHy7Wc0soXJ6ioUUJVsx4n09DK0i9hcernIs0N/chuchu.jpg)
JOHARI: SITAKI KUSIKIA HABARI ZA CHUCHU
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JHS5fnHuLYk*l598Lp0sfNDra*GH7-TdQtvFYNXZI89G1HKDn0AOiQf2*evw5qRmmWjrWEPSnC4echhksYDlPswdyxGLR7*q/JOHARI.jpg)
JOHARI: RAY HAWEZI KUMUOA CHUCHU
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3I-9LvQkoOSYXxVKYjn6oqZ9P35XLnWZQk3Wr6Xc-IW-GNPcTrq0dxRzwNlnFcS8m4ZQKQWztB0CAFtZ683SCd0vMTRDdLaa/johari.jpg?width=650)
JOHARI AWARUSHA ROHO RAY, CHUCHU HANS
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cDEmeB8bWGTXDEHRlqt*i5gz2sd8D0J-*qJL3JWRa1ixPlNiSzUwfi5P5GP38v7OWNrOcmftue1xOq6kq6pX9xfzZKt*PBsx/chuchu.jpg?width=650)
PENZI LA RAY, CHUCHU CHALI JOHARI MENO 32 NJE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-3i3rVffQH3yt-bwxjSjM*1MQyjWrRhOZa6C3jW1UVtFmUa9SV6WGnjwxFWZyWF1ETRjwmZAAjpw2k*reDMTA97bybvahBU5/MAMAWEMA.jpg?width=650)
JOHARI, CHUCHU HUU KAMA SIYO USHAMBA NI NINI?