WEMA, IDRIS NUSU WAZICHAPE
![](http://api.ning.com:80/files/5wu8U2Maqbh*PmEP14IJIajd2fyEc5BqG0Q7DcE9CwDDNv3Pt3rLEC7OucrIf3kykCw4ptqzkBes8LqjTqrSPadwP5xrtvhF/gggggggggggggr.gif?width=650)
Musa mateja MALKIA anayemiliki Kampuni ya Endless Fame Production, Wema Isaac Sepetu na Mshindi wa Big Brother Africa 2014/15, Idris Sultan ambao wamekuwa marafiki wakubwa katika siku za hivi karibuni, nusu wazichape kavukavu baada ya kupishana kauli huku wivu wa kimapenzi ukitajwa. Malkia anayemiliki Kampuni ya Endless Fame Production, Wema Isaac Sepetu. Tukio hilo lilijiri mwishoni mwa wiki iliyopita nje ya Hoteli ya Hyatt...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NRpz*rV1U-tCGJrEXDA6xBRWxcm1jKmCKr*q7csFvyN7rwrsWVyZU8jfynPxcj1BRQq5zapTNQQpI4p*96iW5ASwgUD2L7Wl/johari.jpg)
JOHARI, CHUCHU NUSU WAZICHAPE TENA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/5W1fGMD3XQTs2bp1B9*le9Ut4V*dS8f0nQUpsGJSxPZ261jJRGJd97eaz6aj5arfTU0fOhoN2z9t1uJBSsF3bScJ0hbJC9Q2/1.jpg?width=650)
WEMA, IDRIS MAHABA NIUE!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Z-JJSpQIZ68Nkfl34Y1v0gHCJgDVsgawvBY6iM1XeGMzrT36qYuB6Tx6K5IRc3ZhJrGNG8bqVDPpWQ97qjmAyUNHaj25OmHO/5001.jpg?width=650)
WEMA,IDRIS WA BBA WAZUA GUMZO
10 years ago
Vijimambo01 Apr
WEMA, IDRIS MAHABA NIUE AU PROJECT
WAANDISHI WA GPLWAPENZI? Kwa mara nyingine Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu amesababisha kichwa cha habari kufuatia kunaswa ‘live’ usiku mnene akiwa na mshindi wa Shindano la Big Brother Hotshots 2014, Idris Sultan wakioneshana vitendo vya ‘nakupenda tu’ mbele ya kadamnasi, Risasi Mchanganyiko lina mkanda kamili.
Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu akiwa na mshindi wa Shindano la Big Brother Hotshots 2014, Idris Sultan.
NI ESCAPE ONE MIKOCHENIWawili hao walinaswa wakioneshana mahaba niue...
10 years ago
Bongo Movies01 Apr
Mpya Kuhusu Wema na Idris, Picha Zajieleza
UBUYU: Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Wema Sepetu akiwa na mshindi wa Shindano la Big Brother Hotshots 2014, Idris Sultan hivi juzi kati wameonekana wakifanya vitendo ambavyo vimepelekea watu kuhisi kuwa wawili hao wapo kwenye mahusiano.
Kwa mujibu wa gazeti la Risasi, wawili hao walinaswa wakiyafanya hayo kwenye Ukumbi wa Escape One, Mikocheni jijini Dar walipokuwa wamekwenda kushuhudia shoo kali ya mpambano kati ya Bendi za The African Stars ‘Twanga Pepeta’ na FM Academia ‘Wazee...
10 years ago
Bongo Movies04 May
Picha za Wema na Idris Zawa Gumzo Mitandaoni
Picha za Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu na mshindi wa BBA 2014, Idris Sultan wakiwa kwenye Instagram party jijini Mwanza zimezua mjadala na maswali mengi kwenye mitandao ya kijamii juu ya ukaribu walionao kwa hivi sasa na picha zao wakiwa ‘batani’.
Kila mtu ana lake kuhusu picha hizi, wapo wanosema hawa ni marafiki tu, huku wengine wakisema Wema anataka kujiweka kwa Idris, wapo wanaosema Wema anafanya hivyo kumrusha roho ‘fulani’.
Lakini yote kwa yote wawili hawa ni marafiki tu , na...
10 years ago
Bongo Movies11 Dec
Baada ya Ile na Lulu Sasa ni Hii ya Wema na Idris
Kweli umbea ndio unaendesha mitandao ya kijamii hapa Bongo.Baada ya ile picha ya zamani ya muigizaji Elizabeth Michael aka Lulu akiwa na mshindi wa BBA 2014, Idris, kupewa vichwa vya habari kuwa mwandada Lulu ameamua kujiweka au kuandaa mazingira ya kuwa karibu na mshindi huyo ili wazipukutishe DOLLAR, eti kisa Lulu aliweka picha hiyo mtandaoni nawatu bila kujiuliza mara mbili wamekuwa wa kiachia comment za ajabu ajabu.
Muda huu tena imeibuka picha hii nayo pia ni yazamani, ya muigizaji...
10 years ago
Bongo Movies27 Mar
Picha: Wema Sepetu Akiwa na Idris Wakifanya ‘Shopping‘
Hizi ni baadhi ya picha za Staa mrembo kutoka Bongo Movies , Wema Sepetu akiwa pamoja na mshindi wa shindano la Big Brother Africa (BBA) 2014, Idris Sultan wakifanya manunuzi kwenye moja ya supermarket hapo bongo.
Wawili hawa wameonekana kuwa ni watu wa karibu sana sio tu kwa muonekano wa picha hizi bali hata kwa maneno ya wema wenyewe, kwani kwenye picha hiyo hapo juu Wema aliandika maneno haya;
“Feels good wen you go to a store and u get everything u can think of.... Oh it feels better...
9 years ago
Bongo506 Oct
Idris Sultan akanusha kuwahi kutoka kimapenzi na Wema Sepetu