JOYCE KIRIA ATOA KAULI KUHUSU KUKAMATWA KWA BLOGGER MANGE KIMAMBI ‪

#TAHADHARI! Wizara ya Mambo ya Ndani kupitia Jeshi la Polisi, Tanzania Human Rights Defenders, Tawla, Wlac, Legal Human Right Center, Wildaf, Tume ya Haki za Binadam, Tamwa, Tgnp, Wananzania wote wapenda Maendeleo ya Halali, msaidieni huyu Mwanaharakati aliyethubutu Kujitosa mithili ya Swala katikati ya msitu ulojaa Simba wenye njaa, Mpiganaji wa kweli aliyejaaliwa Kipawa cha kusema bila kumumunya, ambae amejitokeza kupigania Haki za Binadamu kwa kupiga vita Madawa ya kulevya nchini...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
MANGE KIMAMBI ACHUKUA FOMU NA KUKAMATWA KWA 'CYBERBULLYING'

Mange alipokwenda kuchukua fomu ya Ubunge wa Kinondoni kabla ya Kukamatwa na Kupelekwa Rumande na Anasubiri Kufikishwa Mahakamani wakati wowote kuanzia kesho

10 years ago
GPL18 Aug
10 years ago
GPL
JOYCE KIRIA: NILIAMUA KUOLEWA KWA KUKOSA KODI YA NYUMBA
11 years ago
GPL
JOYCE KIRIA ANANGWA!
10 years ago
GPL
JOYCE KIRIA NA PATI YA WANANDOA
10 years ago
GPLJOYCE KIRIA AKWAA SKENDO YA UTAPELI
11 years ago
GPL
BONGO MOVIES YA JOYCE KIRIA YARUDI
10 years ago
GPL
JOYCE KIRIA ADAIWA MILLION 500
10 years ago
GPL
KUANGUKA MUMEWE KWAMPA KIWEWE! JOYCE KIRIA