Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JOYCE KIRIA: NILIAMUA KUOLEWA KWA KUKOSA KODI YA NYUMBA

Leo kwenye safu hii tunaye mwanaharakati na Mtangazaji wa Kipindi cha Wanawake Live, Joyce Kiria. Amefunguka mengi kutokana na maswali kumi aliyobanwa na Mwandishi Wetu Hamida Hassan. Ijumaa: Wewe ni mwanaharakati ambaye muda mwingi unakuwa mbali na familia yako, vipi malezi ya watoto?  Joyce: Wanalelewa na dada ambaye huwafanyia kila kitu. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1hmHaAa ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

JOYCE KIRIA ATOA KAULI KUHUSU KUKAMATWA KWA BLOGGER MANGE KIMAMBI ‪


‪#TAHADHARI‬! Wizara ya Mambo ya Ndani kupitia Jeshi la Polisi, Tanzania Human Rights Defenders, Tawla, Wlac, Legal Human Right Center, Wildaf, Tume ya Haki za Binadam, Tamwa, Tgnp, Wananzania wote wapenda Maendeleo ya Halali, msaidieni huyu Mwanaharakati aliyethubutu Kujitosa mithili ya Swala katikati ya msitu ulojaa Simba wenye njaa, Mpiganaji wa kweli aliyejaaliwa Kipawa cha kusema bila kumumunya, ambae amejitokeza kupigania Haki za Binadamu kwa kupiga vita Madawa ya kulevya nchini...

 

11 years ago

GPL

JOYCE KIRIA ANANGWA!

Stori: Paparazi Wetu SOO! Mtangazaji anayedili zaidi na mambo ya haki za wanawake Bongo, Joyce Kiria amenagwa na watu mbalimbali mitandaoni kwa kile kinachoonekana kuingilia sakata la mwimbaji wa Injili nchini, Flora Mbasha na mumewe Emmanuel Mbasha, akionekana zaidi kumtetea Flora. Mtangazaji anayedili zaidi na mambo ya haki za wanawake Bongo, Joyce Kiria. Mmoja wa watoa maoni katika mtandao wake aliandika: “Joyce acha...

 

10 years ago

GPL

JOYCE KIRIA NA PATI YA WANANDOA

Hamida Hassan MWANAHARAKATI na mtangazaji wa Kipindi cha Wanawake Live, Joyce Kiria kwa kutambua adha wanazokutana nazo akina mama kwenye ndoa zao, ameandaa pati maalum kwa ajili ya kuwafunda, Risasi Jumatano linakupasha.. ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1glgyiP

 

10 years ago

GPL

JOYCE KIRIA AKWAA SKENDO YA UTAPELI

Hosti wa Kipindi cha Wanawake Live kupita Televisheni ya EATV, Joyce Kiria. Why Joyce? Hosti wa Kipindi cha Wanawake Live kupita Televisheni ya EATV, Joyce Kiria yupo kwenye wakati mgumu baada ya kukwaa skendo ya utapeli kwa marafiki zake (majina yanahifadhiwa kwa sasa) akidaiwa kuwashawishi kuingia kwenye biashara ya Mtandao ya Telexfree Network Marketing. Kwa mujibu wa sosi makini, ishu hiyo imeibuka juzikati ambapo Joyce...

 

11 years ago

GPL

BONGO MOVIES YA JOYCE KIRIA YARUDI

 Msanii Pastor Myamba akiwa na crew ya Bongo Movies wakionesha alama ya 5 kama ishara ya kutua EATV hivi karibuni.…

 

10 years ago

GPL

JOYCE KIRIA ADAIWA MILLION 500

Hamida Hassan na Gladness Mallya/Uwazi
MTANGAZAJI wa Kipindi cha Wanawake Live, Joyce Kiria amepokea samansi ya mashtaka kutoka kwa Mbunge wa Jimbo la Dimani, Zanzibar, Abdallah Sharia Ameir (CCM) ambaye amedai amlipe fidia ya kumdhalilisha sh. Milioni 500 au amuombe radhi kupitia  kipindi chake. Mtangazaji wa Kipindi cha Wanawake Live, Joyce Kiria. Akiongea na Uwazi, Joyce Kiria alisema kuwa amepokea barua hiyo kwa mikono...

 

11 years ago

GPL

JOYCE KIRIA AFICHUA SIRI YA NDOA ZAKE

Ndoa ya pili ya Joyce Kiria na Henry Kilewo. Na Mwandishi Wetu
MTANGAZAJI wa Runinga ya Channel 5, Joyce Kiria amefunguka na kufichua siri ya ndoa zake mbili alizofunga, Risasi Mchanganyiko lina habari kamili. Ndoa ya kwanza ya Joyce na DJ…

 

10 years ago

Tanzania Daima

JOYCE KIRIA: Changamoto zimefanikisha ndoto yangu

‘UGUMU wa Maisha ni Kipimo cha Akili’ Huu ni usemi uliozoeleka katika maisha ya jamii hasa kwenye miaka ya sasa ambapo hali ya uchumi imekuwa ikizidi kuwa ngumu. Ugumu huo...

 

9 years ago

GPL

KUANGUKA MUMEWE KWAMPA KIWEWE! JOYCE KIRIA

‘Host’ wa Kipindi cha Wanawake Live, Joyce Kiria . Na Imelda Mtema ‘HOST’ wa Kipindi cha Wanawake Live, Joyce Kiria ameonekana kuwewesekea matokeo ya uchaguzi baada ya mumewe aliyekuwa akigombea Ubunge Jimbo la Mwanga kushindwa. Baada ya matokeo kutangazwa, Joyce alijikuta akiandika waraka mzito kwenye ukurasa wake wa Facebook akieleza jinsi alivyoyapokea matokeo hayo kwa maumivu. Akizungumza na Ijumaa, Joyce alisema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani