Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JS Kabylie yaadhabiwa kwa kifo cha Ebosse

Klabu ya Algeria, JS Kabylie imepigwa marufuku kushiriki katika mechi za nyumbani hadi mwaka 2015 kufuatia kifo cha mchezaji wa Cameroon Albert Ebosse mwezi jana. Mashabiki wa Kabylie pia wamepigwa marufuku kuhudhuria mechi zozote za nyumbani hadi mwanzoni mwa mwaka 2015. Ebosse alifariki baada ya kugongwa na kombora tarehe 23 mwezi Agosti, baada ya JS Kabilye kushindwa na USM Alger kwa mabao mawili kwa moja katika mechi ya ligi. Marufuku hiyo imetolewa na shirikisho la soka ya kulipwa...

KwanzaJamii

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

JS Kabylie aadhabiwa kwa kifo cha Ebosse

Mchezaji wa Algeria, JS Kabylie hatashirki katika mechi za nyumbani hadi mwaka 2015 kufuatia kifo cha mchezaji wa Cameroon Ebosse

 

10 years ago

BBC

Kabylie punished over Ebosse death

Algeria's JS Kabylie are banned from playing at home for the rest of the season after Cameroon player Albert Ebosse was killed by a stone.

 

5 years ago

BBCSwahili

Kifo cha George Floyd : Maandamano yatanda huku afisa akikamatwa kwa kifo cha raia mweusi wa Marekani

Afisa akamatwa kwa mauaji ya Mmarekani mweusi aliyekuwa amekamatwa na polisi

 

10 years ago

Vijimambo

AY ATUMA SALAM ZA POLE KWA JOSE CHAMELEONE KWA KIFO CHA AK47

Mwanamuziki wa kizazi kipya nchini Tanzania AY amemtumia Jose Chameleone kwa kifo cha kaka yake ambaye pia ni mwamnamuziki nchini Uganda.

Marehemu Emmanuel Mayanja maarufu kwa jina la AK47 amefariki dunia usiku wa kuamkia leo akiwa hospitali baada ya kuanguka akiwa bafuni.

Taarifa zimeeleza kuwa kabla ya mauti kumkuta, AK47 alikuwa katika baa moja ya usiku iliyopo eneo la Kabalagala pamoja na marafiki zake.

Imeelezwa kuwa alidondoka akiwa bafuni wakati akiongea na simu na kukimbizwa katika...

 

11 years ago

GPL

KIFO CHA WAZIRI MGIMWA, KWA NINI...

Na Mwandishi Wetu
WAKATI taifa likiwa katika msiba kufuatia kifo cha Waziri wa Fedha, Mipango na Uchumi, Dk. William Mgimwa, wananchi wameitaka serikali kueleza kwa nini kwa kipindi chote cha kuumwa kwake, ugonjwa uliomuua ulifanywa siri. Marehemu Dk. William Mgimwa. Waziri Mgimwa alifariki dunia Jumatano (juzi) saa 5:20 asubuhi kwa saa za Afrika Kusini (Tanzania saa 6:20) katika Hospitali ya Mediclinic Klooff jijini...

 

10 years ago

BBCSwahili

Dewani mahakani kwa kifo cha mkewe

Familia ya mwanamke aliyeuawa nchini Afrika Kusini akiwa kwenye fungate inasema inataka ukweli mmewe akisimama kizimbani leo

 

9 years ago

Mwananchi

Jela kwa kifo cha ‘mtoto wa boksi’

Mahakama Kuu Kanda ya Morogoro,  imewahukumu watu wawili kutumikia kifungo cha miaka 15 jela kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kumuua bila ya kukusudia  Nasrah Mvungi maarufu kama ‘mtoto wa boksi’ wakati akiwa na umri wa miaka minne.

 

9 years ago

Habarileo

Handeni wahuzunika kwa kifo cha Dk Kigoda

WAKAZI wa Halmashauri ya wilaya ya Handeni wamesema wamepokea kwa masikitiko makubwa msiba wa aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo hilo, Dk Abdallah Kigoda aliyefariki India alikokuwa akipatiwa matibabu.

 

9 years ago

GPL

WANNE MBARONI KWA KUHUSIKA NA KIFO CHA MAWAZO

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoani Geita, Alphonce Mawazo enzi za uhai wake. Jeshi la Polisi mkoani Geita linawashikilia watu wanne wanaodaiwa kuhusika na kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani humo, Alphonce Mawazo. Kifo cha marehemu Mawazo kimetokea jana Jumamosi Novemba 14 majira ya saa sita mchana baada ya kuvamiwa na kundi la watu na kuanza kumshambulia kwa silaha za jadi. ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani