Juhudi za kusaka chanjo ya Ebola
Shirika la afya duniani linatarajiwa hii leo kujadili kuhusu njia za kupata fedha za kufadhili miradi ya kutengeza Chanjo za Ebola.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili18 Oct
UN yatetea juhudi za kuangamiza Ebola
Mratibu wa Umoja wa mataifa kuhusu ugonjwa wa ebola Davis Nabarro ametetea juhudi za kimataifa za kupambana na ugonjwa huo.
10 years ago
BBCSwahili06 Nov
Chanjo ya Ebola yatolewa Mali
Kundi la wafanyakazi wa afya nchini Mali leo wanapewa chanjo ya majaribio dhidi ya ugonjwa wa Ebola.
10 years ago
BBCSwahili31 Jul
Chanjo dhidi ya Ebola ? WHO yafurahia
Shirika la afya duniani WHO, limesifia matokeo ya chanjo mpya ugonjwa wa Ebola, ambayo inatoa asilimia 100% ya kinga
10 years ago
BBCSwahili02 Feb
Majaribio ya chanjo ya ebola kuanza
Majaribio makubwa ya chanjo ya ugonjwa hatari wa Ebola, yanapangiwa kuanza hatimaye nchini Liberia.
10 years ago
BBCSwahili06 Mar
Chanjo ya Ebola kujaribiwa Guinea
WHO pamoja na wadau wake, mwishoni mwa wiki hii wanatarajia kuanza majaribio ya ufanisi wa chanjo dhidi ya Ebola nchini Guinea.
10 years ago
BBCSwahili27 Nov
Chanjo ya Ebola yaonesha matumaini
Wanasayansi wamepongeza matokeo ya majaribio ya chanjo dhidi ya ugonjwa wa Ebola.
10 years ago
BBCSwahili27 Nov
Ebola:Chanjo yaleta matumaini
Wanasayansi wamepongeza matokeo ya majaribio ya chanjo dhidi ya ugonjwa wa Ebola, na kusema dawa zinaonesha kuwa salama na itasaidia mfumo wa kinga ya mwili kuvitambua virusi hivyo.
10 years ago
BBCSwahili14 Aug
Canada yatoa Chanjo ya Ebola
Canada imesema itatoa dozi 1,000 za chanjo ya majaribio ya Ebola ili kusaidia kupigana na mlipuko wa ugonjwa huo Afrika magharibi.
10 years ago
BBCSwahili06 Jan
Chanjo dhidi ya Ebola yatolewa
Wanasayansi kutoka Chuo kikuu cha Oxford wameaza kutoa chanjo dhidi ya Ebola kwa binaadamu kwa mara ya kwanza
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania