Chanjo dhidi ya Ebola yatolewa
Wanasayansi kutoka Chuo kikuu cha Oxford wameaza kutoa chanjo dhidi ya Ebola kwa binaadamu kwa mara ya kwanza
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili06 Nov
Chanjo ya Ebola yatolewa Mali
Kundi la wafanyakazi wa afya nchini Mali leo wanapewa chanjo ya majaribio dhidi ya ugonjwa wa Ebola.
10 years ago
BBCSwahili31 Jul
Chanjo dhidi ya Ebola ? WHO yafurahia
Shirika la afya duniani WHO, limesifia matokeo ya chanjo mpya ugonjwa wa Ebola, ambayo inatoa asilimia 100% ya kinga
10 years ago
BBCSwahili23 Jan
Chanjo dhidi ya Ebola kuwasili Liberia
Chanjo ya majaribio dhidi ya ugonjwa wa Ebola iko njiani kuelekea nchini Liberia
11 years ago
BBCSwahili01 Jun
Madai ya ufisadi dhidi ya FIFA yatolewa
Madai mapya ya ufisadi yametolewa dhidi ya shirikisho la soka duniani FIFA kuhusiana na maandalizi ya Qatar.
10 years ago
BBCSwahili25 Dec
Marufuku ya ebola yatolewa S.Leone
Serikali ya Sierra Leone imetangaza siku tatu za marufuku kaskazini mwa taifa hilo
10 years ago
Mwananchi08 Oct
Vita dhidi ya ebola ni mapambano dhidi ya adui asiyeonekana
Tangu kuzuka kwa ugonjwa wa ebola nchini Guinea mwezi Machi mwaka huu, watu 2,500 wamefariki dunia kutokana na virusi vyake, zaidi ya nusu ni raia wa Liberia.
10 years ago
Tanzania Daima18 Oct
Kampeni ya chanjo dhidi ya surua, rubella kuzinduliwa leo
KAMPENI ya chanjo dhidi ya ugonjwa surua na rubella kwa watoto wenye umri wa miezi tisa hadi miaka 15 inatarajia kuzinduliwa leo. Katika kampeni hiyo itakayodumu kwa siku saba, watoto...
11 years ago
Mwananchi30 May
Tanzania inavyopania kugundua chanjo dhidi ya ugonjwa wa malaria
>Kama ulidhani simba ni hatari, nyoka na wanyama wengine wakali wa mwituni basi umekosea kwani mdudu mdogo ambaye unaweza kumuua kwa vidole vyako aweza akawa hatari wanyama mwitu waogopwao kama vile simba, chui, nyati na nyoka. Mdudu huyo si mwingine bali ni mbu.
10 years ago
BBCSwahili23 Oct
Juhudi za kusaka chanjo ya Ebola
Shirika la afya duniani linatarajiwa hii leo kujadili kuhusu njia za kupata fedha za kufadhili miradi ya kutengeza Chanjo za Ebola.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania