Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jumba la Big Brother Africa lateketea kwa moto, uzinduzi wa msimu mpya waahirishwa

Moto mkubwa umezuka kwenye jumba la Big Brother Africa Hotshots katika studio za Sasani jijini Johannesburg, Afrika Kusini na hivyo kuahirishwa kwa kuanza msimu mpya uliokuwa uzinduliwe Jumapili hii, September 7. Jumba la Big Brother likitekea kwa moto Hakuna aliyeumia kutokana na moto huo uliotokea kwenye studio hizo zilizopo Highlands North jijini Johannesburg Jumannne hii. […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Uchambuzi: Kwanini tunahisi habari ya moto katika jumba la Big Brother Africa ni ‘kiki’

Ni kweli jumba la Big Brother Africa lililopo jijini Johannesburg, Afrika Kusini limeungua? Ni kweli msimu wa tisa uitwao Hotshots hautazinduliwa Jumapili kama ilivyopangwa? Hayo ni maswali mawili makubwa wapenzi wa shindano hilo maarufu barani Afrika wanaendelea kujiuliza hadi sasa bila kupata majibu. Uhalisia ni kwamba wengi wameiamini habari hii hasa kwakuwa imeandikwa na vyombo […]

 

10 years ago

Vijimambo

MPIGIE KURA IDRIS KUBAKI KWENYE JUMBA LA BIG BROTHER AFRICA

BOFYA HAPO JUU VOTE AU PIGA KURA KISHA CHAGUA JINA LA IDRIS PIGA KURA YAKO HAPO MOJA KWA MOJA. PIA UNAWEZA KUMPIGIA KURA KWA UJUMBE MFUPI WA MAANDISHI YAANI SMS ANDIKA NENO VOTE IDRIS TUMA KWENDA NAMBA 15426 MPIGIE KURA MARA NYINGI UWEZAVYO

 

10 years ago

Bongo5

Diamond kutumbuiza kwenye uzinduzi wa Big Brother Africa, Jumamosi

Diamond Platnumz atakuwa miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza kwenye uzinduzi wa msimu mpya wa shindano la Big Brother Africa utakayofanyika Jumamosi hii, September 7 nchini Afrika Kusini. Akizungumza na bongo5 leo, meneja wa staa huyo, Babu Tale amesema Diamond atarejea leo akitokea nchini Ujerumani ili kujianda ya na show hiyo. “Diamond anarudi leo saa tano usiku […]

 

10 years ago

Bongo5

Big Brother Africa ‘Hot Shots’ kufanyika Uingereza kwenye nyumba ya ‘Big Brother ya UK’?

Kuna habari mpya zinazosema kuwa kuna uwezekano shindano la Big Brother Africa ‘Hot Shots’ likahamishiwa jijini London, Uingereza baada ya nyumba ya Afrika Kusini iliyokuwa imeandaliwa kwaajili ya msimu wa tisa kuungua wiki iliyopita na kupelekea uzinduzi uliokuwa umepangwa kufanyika Jumapili iliyopita (September 7) kuahirishwa. Taarifa hiyo ambayo bado haijathibitishwa imetolewa kupitia ukurasa rasmi wa […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani