Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jumbe Nne Alizozidondosha Wolper Zawaacha Watu Njia Panda Mtandaoni!!!!

Mrembo na mwigizaji mwenye mvuto wa aina yake, Jackline Massawe “Wolper” toka jana amekuwa anaachia picha na jumbembalimbali  mtandaoni zenye maneno mazito  ambayo  yamepelekea wengi kuhisi labda kuna kitu kimemkuta mwandada huyu na sasa ameamua kupunguzia” stree” zake mtandaoni, huku wengine wakamini kuwa hizi ni jumbe za kawaida tu na hakuna kinachomsibu.

 Mrembo huyu alianza na hizi jana;

“Your enemy can be your friend and your best friend can be your worst enemy**rising”

“A true friend...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Picha Hizi Za Wastara Za Kulazwa Hospitali Zawaacha Mashabiki Njia Panda

Picha hizi za muigizaji, Wastara Juma,akiwa hospitali amelazwa baada ya kufanyiwa vipimo zimewaacha mashabiki katika njia panda, wengine wakiamini anaumwa na kuanza kuampa pole huku wengine wakiamini yupo kazini yaani anatengeneza filamu.

Picha hizi aliziweka Wastara mwenyewe mtandaoni bila ya kuandika chochote, na hadi sasa ajajibu hata comment moja kutoka kwa followers wake ambao wanataka athibitisha kama kweli ni mgojwa.

Bongomovies.com haikufanikiwa kumpata Wastara kwa njia ya simu...

 

10 years ago

Bongo Movies

Lulu Awaacha Watu Njia Panda…..Je ni Kweli Mjamzito?

Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewacha njia panda  mashabiki na wafuasi wake kwenye mtandao wa INSTAGARM baada ya hapo jana usiku kubadika picha ya mwanamke mwenye ujauto na kuandika maneno ambayo hayaelezi wazi kuwa ni yeye.

“Happy New Month Lovies….Si ruksa kuitana wala ku munch”-Lulu aliandika.

Kitendo cha Lulu kuchimba mkwala akiwata watu wasiitane  kuja kuona wala kufanya kijiwe cha  kujadiliana juu ya picha hiyo (Kama inavyoonekana hapo juu) ndio kuliamsha...

 

10 years ago

Raia Mwema

CCM njia panda

IKIWA imesalia wiki moja kabla ya watangaza nia wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kukamilisha mchakato

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Mtanzania

Nchi njia panda

saada mkuyaFredy Azzah na Elias Msuya
NCHI inapita katika kipindi kigumu kwa sasa kulingana na matukio mbalimbali yanayotokea wakati tukielekea katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Kulingana na hali hiyo, lugha yenyepesi inayoweza kutumika katika kufafanua ni kusema kwamba, nchi ipo njia panda.
Baadhi ya mambo hayo ni yale yaliyotokea na kuigusa nchi kama taifa, huku mengine yakigusa maisha ya wananchi moja kwa moja.
Katiba mpya
Moja ya mambo yanayoumiza vichwa vya Watanzania ni kuhusu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TANESCO njia panda

WAKATI Watanzania wakiendelea kutaabika kwa bei mpya za umeme, hali ya kiutendaji ya Shirika la Ugavi wa Umeme (TANESCO) iko njia panda kutokana na msuguano uliopo kati ya Wizara ya...

 

11 years ago

GPL

ZITTO NJIA PANDA

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe.(Picha na GPL) MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe ameuweka njia panda uanachama wake ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kukubali pingamizi lake la kuizuia Kamati Kuu (CC) ya chama hicho isimjadili hadi kesi yake ya msingi itakapokuwa imesikilizwa. Kwa uamuzi huo, Zitto sasa atabaki kuwa mwanachama kwa nguvu ya mahakama...

 

10 years ago

Mwananchi

Lipumba njia panda CUF

Sintofahamu imeendelea kukigubika Chama cha Wananchi (CUF), baada ya kauli ya mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba kuwaacha wafuasi wa chama hicho katika giza nene juu ya hatima yake kisiasa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kombe la Dunia 2022 njia panda

Rais wa Uefa, Michel Platini amesema fainali za kombe la dunia 2022 nchini Qatar lazima zichezwe kipindi cha majira ya baridi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Marekani na EU njia panda kuhusu Ukraine

Marekani imejipata taabani baada ya mazungumzo ya wanadiplomasia wake wakuu kubainisha kuwa inapendelea upinzani Ukraine

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani