JUX ATEMBELEA GLOBAL TV ONLINE LEO
Msanii wa muziki wa RnB nchini Tanzania, Jux akipozi katika studio za Global TV Online leo. Mtangazaji wa Global TV, Mourad Alpha (kushoto) akifanya mahojiano na Jux.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLIZZO BIZNESS ATEMBELEA GLOBAL TV ONLINE LEO
Msanii wa muziki wa Hip Hop nchini Tanzania, Izzo Bizness akipozi katika studio za Global TV Online.  Izzo Bizness akiwa kwenye pozi baada ya kufanya mahojiano.…
10 years ago
GPLMWANAMUZIKI MIRROR ATEMBELEA GLOBAL TV ONLINE LEO
Mwanamuziki Mirror (kulia) akiwa katika pozi na Mtangazaji wa Global TV Online, Mou Alfah. Mirror, Mou wakiwa kwenye pozi na Mwandishi wa Global Publishers Ltd, Musa Mateja (katikati). MSANII wa Bongo Fleva anayesimamiwa na staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu kupitia Endless Fame, 'Mirror' leo ametembelea studio za Global TV Online na kufanya mahojiano ambayo yataruka hivi karibuni kupitia www.globaltvtz.com Ili kujua kwa undani...
10 years ago
GPLMZUNGU KICHAA ATEMBELEA GLOBAL TV ONLINE LEO
Mzungu Kichaa akipozi katika studio za Global TV Online. Mzungu Kichaa akifafanua jambo wakati wa mahojiano na Global TV Online.…
10 years ago
GPLMAD ICE ATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS, ALONGA NA GLOBAL TV ONLINE
Mad Ice akiwa ndani ya studio za Global TV Online leo. Mad Ice akibadilishana mawazo na Mwandishi wa Global, Andrew  Carlos kabla ya mawasiliano.…
10 years ago
GPLKAMANDA WA POLISI KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI NCHINI ATEMBELEA GLOBAL, AHOJIWA NA GLOBAL TV ONLINE
Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Mohamed R. Mpinga akiwa katika studio za Global TV Online. ...Kamanda Mpinga akifafanua jambo, mahojiano haya yatasikika kwenye Global Tv on Line na kuchapishwa na Gazeti la Uwazi Jumanne.…
10 years ago
GPLMALAIKA ATEMBELEA GLOBAL TV ONLINE
Msanii wa kike wa muziki wa Bongo Fleva nchini, Diana Malaika Exavery Clavery 'Malaika', akiwa katika pozi wakati wa mahojiano na Global TV Online leo. ...Akiimba wimbo wake wa Sare aliomshirikisha Mesen Selekta.…
10 years ago
GPLPNC ATEMBELEA GLOBAL TV ONLINE
Msanii wa Bongo Fleva, Pancras Ndaki 'PNC' akiwa katika pozi kabla ya kufanya mahojiano na Global TV Online. PNC akiongea jambo.…
10 years ago
GPLKADJA NITO ATEMBELEA GLOBAL TV ONLINE
Msanii wa Bongo Fleva, Kadja Nito akiwa katika pozi kabla ya kufanya mahojiano na Global TV Online. Kadja Nito akiwasikiliza wanahabari wa Global Publishers (hawapi pichani) wakati wa maswali. (PICHA: GLOBAL TV…
11 years ago
GPLCHAZ BABA ATEMBELEA GLOBAL TV ONLINE
Chaz Baba akizungumza na waandishi na wahariri wa Global Publishers (hawapo pichani). Akisikiliza maswali kutoka kwa waandishi na wahariri wa Global (hawapo pichani).…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania