Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWANAMUZIKI MIRROR ATEMBELEA GLOBAL TV ONLINE LEO

Mwanamuziki Mirror (kulia) akiwa katika pozi na Mtangazaji wa Global TV Online, Mou Alfah. Mirror, Mou wakiwa kwenye pozi na Mwandishi wa Global Publishers Ltd, Musa Mateja (katikati). MSANII wa Bongo Fleva anayesimamiwa na staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu kupitia Endless Fame, 'Mirror' leo ametembelea studio za Global TV Online na kufanya mahojiano ambayo yataruka hivi karibuni kupitia www.globaltvtz.com Ili kujua kwa undani...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

JUX ATEMBELEA GLOBAL TV ONLINE LEO

Msanii wa muziki wa RnB nchini Tanzania, Jux akipozi katika studio za Global TV Online leo. Mtangazaji wa Global TV, Mourad Alpha (kushoto) akifanya mahojiano na Jux.…

 

10 years ago

GPL

IZZO BIZNESS ATEMBELEA GLOBAL TV ONLINE LEO

Msanii wa muziki wa Hip Hop nchini Tanzania,  Izzo Bizness akipozi katika studio za Global TV Online.  Izzo Bizness akiwa kwenye pozi baada ya kufanya mahojiano.…

 

10 years ago

GPL

MZUNGU KICHAA ATEMBELEA GLOBAL TV ONLINE LEO

Mzungu Kichaa akipozi katika studio za Global TV Online. Mzungu Kichaa akifafanua jambo wakati wa mahojiano na Global TV Online.…

 

10 years ago

GPL

MAD ICE ATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS, ALONGA NA GLOBAL TV ONLINE

Mad Ice akiwa ndani ya studio za Global TV Online leo. Mad Ice akibadilishana mawazo na Mwandishi wa Global, Andrew  Carlos kabla ya mawasiliano.…

 

10 years ago

GPL

KAMANDA WA POLISI KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI NCHINI ATEMBELEA GLOBAL, AHOJIWA NA GLOBAL TV ONLINE

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Mohamed R. Mpinga akiwa katika studio za Global TV Online. ...Kamanda Mpinga akifafanua jambo, mahojiano haya yatasikika kwenye Global Tv on Line na kuchapishwa na Gazeti la Uwazi Jumanne.…

 

10 years ago

GPL

PNC ATEMBELEA GLOBAL TV ONLINE

Msanii wa Bongo Fleva, Pancras Ndaki 'PNC' akiwa katika pozi kabla ya kufanya mahojiano na Global TV Online. PNC akiongea jambo.…

 

10 years ago

GPL

MALAIKA ATEMBELEA GLOBAL TV ONLINE

Msanii wa kike wa muziki wa Bongo Fleva nchini, Diana Malaika Exavery Clavery 'Malaika', akiwa katika pozi wakati wa mahojiano na Global TV Online leo. ...Akiimba wimbo wake wa Sare aliomshirikisha Mesen Selekta.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani