Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kabaka awataka wanahabari kujiunga NSSF

WAZIRI wa Kazi na Ajira, Gaudencia Kabaka, amewataka wanahabari nchini kuhakikisha wanajiunga na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), ili kujihakikishia maisha ya amani na utulivu baada ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kabaka awaasa wanahabari

Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka amezitaka timu za vyombo vya habari kuzingatia nidhamu ya ndani na nje ya uwanja kwenye michuano ya kombe la mfuko wa hifadhi ya jamii (NSSF).

 

9 years ago

Michuzi

MAKONDA AWAHIMIZA WASANII KUJIUNGA NA BIMA YA AFYA: Awataka kutumia taaluma yao kuhamasisha wengine kujiunga

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda amesema wakati sasa umefika kwa wasanii kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, badala ya kuendelea kuchangishana fedha za matibabu kila wanapougua.
Amesema kutokana na kupanda kwa gharama za maisha hivi sasa zikiwemo za matibabu, wasaani wana kila sababu ya kuona umuhimu wa kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ili wanapougua watibiwe kwa kutumia kadi badala ya kuhangaika kutafuta fedha taslimu.
Makonda alikuwa akizungumza wakati wa ufunguzi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kagera wahimizwa kujiunga NSSF

WANANCHI mkoani Kagera, wametakiwa kujiunga na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), ili waweze kupata mafao bora ikiwemo bima ya afya bure kwa familia. Wito huo ulitolewa mjini...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanafunzi CBE washauriwa kujiunga NSSF

WANAFUNZI wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) wameaswa kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) ili wanufaike na mafao ya muda mrefu na mfupi yanayotolewa. Meneja...

 

11 years ago

Michuzi

NSSF YATOA WITO KWA WANACHAMA WA HIARI KUJIUNGA NA UANACHAMA

Na Francis Dande
SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), limewataka wafanyakazi wasio katika sekta isiyo rasmi kujiunga na NSSF ili kuboresha maisha yao ya sasa na baadae.
Akizungumza wakati wa Bonanza la Michezo kwa Makampuni, ambapo NSSF ilikuwa ni miongoni mwa wadhamini Ofisa Uhusiano Mwandamizi wa NSSF, Said Malawi alisema kuwa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), imekuwa ikitoa elimu kwa wanachama wa kupitia huduma ya NSSF Mobile kwenye M-PESA.
Kwa kuwajali wanachama...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wanahabari Mkoa wa Singida (Singpress) wahimizwa kujiunga na mfuko wa afya wa NHIF!

IMG_0623

Kaimu meneja wa NHIF mkoa wa Singida,Adamu Salum,akiongea na waandishi wa habari kwenye banda la mfuko huo lililopo viwanja vya peoples klabu kwenye maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani ambayo yalikuwa yafanyike mkoani hapa kitaifa.Imedaiwa maadhimisho hayo yalifutwa na orais John Pombe Magufuli.Picha zote na Nathaniel Limu. Na Nathaniel Limu [SINGIDA] Wanachama wa klabu ya waandishi wa habari (Singpress) mkoa wa Singida, wamehimizwa kujiunga na mfuko wa Taifa wa bima ya afya (NHIF),...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Bendera awataka wanahabari kuunga mkono jitihada za TMA


NA WILLIAM SHECHAMBO
MKUU wa mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, amewataka wanahabari nchini kutumia nafasi waliyonayo kuunga mkono jitihada zinazofanywa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), kwa manufaa ya taifa.
Amesema jitihada hizo, ambazo ni utoaji wa taarifa za mabadiliko ya hali ya hewa kwa wakati na uhakika, haziwezi kuwafikia walengwa bila kuwepo vyombo vya habari ambavyo huunganisha jamii, serikali na taasisi binafsi.
Bendera alitoa rai hiyo jana mkoani Morogoro, wakati akifungua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani