Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105

POPULAR ON YOUTUBE

KABARI KWA DIAMOND PLATINUMZ

Vijimambo

Read more

Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

DIAMOND PLATINUMZ ATUA JIJINI MWANZA KWA KISHINDO LEO

 Umati ulioijitokeza kumpokea Diamond Platinumz jijini Mwanza leo alipowasili na kundi lake la Wasafi tayari kusindikiza kwa burudani uzinduzi wa Radio Jembe FM jijini humo  Diamond aliwa na meneja wake Babu Tale (chini kushoto) baada ya kutua Mwanza Mashabiki wakimlaki Diamond Jiji la Mwanza lilisimama kwa muda. Picha zote kwa hisani ya G. Sengo

10 years ago

Michuzi

10 years ago

GPL

HAPPY BIRTHDAY DIAMOND PLATINUMZ

Staa wa muziki wa Bongo Flava Nasibu Abdul 'Diamond Platunumz'. Leo, Octoba 2,  Staa wa muziki wa Bongo Flava Nasibu Abdul 'Diamond Platunumz' anasherehekea siku yake ya kuzaliwa akiwa anatimiza umri wa miaka 25. Mpenzi wake, Wema  Sepetu ambaye wengi wanasubiri kusikia atasema nini au atatoa zawadi gani kwa Diamond ambaye alimpa gari aina ya Nissan Murano, ameandika machache kwenye Instagram na kueleza kuwa anajipanga...

11 years ago

Michuzi

newdeal afrika and ben TV sa thank you to diamond platinumz

 The  management  of  Newdeal  Africa  and  Ben television in  London want  to  the  thank  Tanzania's  greatest  hero,  singer  and song writer Diamond Platinumz. Our  producers  here say  that you  are  among  the  greatest in  the  modern Music  industry Tanzania  has  produced.Keep it  up.It  was  great  to  work  with  you. Thank  you.

11 years ago

CloudsFM

10 years ago

Vijimambo

Diamond Platinumz aibukia programu ya Mziiki

Nyota wa muziki wa bongo flava nchini Diamond Platinumz amewataka wasanii wa Tanzania kusambaza nyimbo zao kwa njia ya teknolojia kama vile Mziiki iliyozinduliwa hivi karibuni ili ziweze kuwafikia watu wengi na kwa wakati huohuo wanamuziki pia kunufaika na jasho lao.
Diamond anasema kuwa  ameamua kazi zake kuziingiza sokoni tofauti na kazi zake za nyuma ambapo baada ya  kushauriana na wadau anaoshirikiana nao kikazi ameamua aingie sokoni kwa njia ya kidigitali kupitia programu ya Mziiki...

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani