Kada Chadema ashinda udiwani akiwa gerezani
Kada mwingine wa Chadema ameukwaa uongozi kwa staili ya aina yake baada ya wananchi kumchagua kuwa diwani wa Kata ya Lusaka akiwa gerezani ambako anatumikia kifungo cha miezi sita kwa kosa la kupigana hadharani.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili19 Apr
Virusi vya corona: Apata maambukizi akiwa gerezani
9 years ago
Global Publishers24 Dec
Simulizi ya AY: Ashinda medali za kuigiza na tenisi akiwa shuleni
MPENDWA msomaji wa simulizi hii tamu, wiki iliyopita tuliishia pale AY alipoamua kufyeka uwanja wa mpira nyuma ya nyumba yao na kuanzisha timu aliyoiita Barcelona kwa mapenzi aliyonayo kwa timu hiyo ya Hispania tangu mwaka 1993 hadi sasa ambapo bado ni shabiki mkubwa.
ENDELEA NAYE…
Ni safari nyingine mwanana naianza ya kwenda kuonana na AY baada ya kutoka nchini Afrika Kusini ‘Sauz’ hivi karibuni, nafika eneo la Mikocheni kulipo na ofisi yao ya Mkasi TV. Namkuta akiwa na waandaaji wa...
10 years ago
Michuzi15 Sep
MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA CHADEMA TAIFA 2014:FREEMAN MBOWE ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI CHADEMA TAIFA, PROFESA ABDALLAH SAFARI MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA BARA
![](https://1.bp.blogspot.com/-VwjPajbyPYM/VBYGNHuHZnI/AAAAAAADDa8/w_3TshBHAoo/s1600/WP_20140914_21_58_12_Pro__highres.jpg)
![](https://4.bp.blogspot.com/-HG5Aa9bQe-c/VBYGNwW5hgI/AAAAAAADDbI/0LaVyaK69RA/s1600/WP_20140914_22_03_19_Pro.jpg)
![](https://4.bp.blogspot.com/-zkazILlqtYY/VBYGORb9FrI/AAAAAAADDbQ/kDW2ga7xEMw/s1600/WP_20140914_22_03_52_Pro__highres.jpg)
9 years ago
Mtanzania04 Sep
kada CCM akiri kuhusika na Chadema ‘feki’
NA ASIFIWE GEORGE, DAR ES SALAAM
KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Didas Masaburi, amekiri kukutana na vijana wanaodaiwa kujifanya wafuasi wa Chadema walioandamana jijini Dar es Salaam kupongeza hatua ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Willibrod Slaa, kuacha siasa na kushambulia chama chake.
Juzi vijana hao waliandamana wakiwa na lengo la kwenda makao makuu ya Chadema kabla ya kutawanywa na wananchi.
Tangu asubuhi ya jana, sauti ya Masaburi ilikuwa ikisambazwa kwenye mitandao ya...
10 years ago
Habarileo26 Jun
Kada Chadema arejesha fomu kuwania Nkwela
KADA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Daniel Ngogo ametangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Nkwela.
11 years ago
Habarileo08 May
Kada maarufu Chadema Iringa afariki dunia
ALIYEKUWA akiandaliwa kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Iringa Mjini, Gervas Kalolo (52) alitarajiwa kuzikwa jana katika makaburi ya Mtwivilla mjini Iringa. Kalolo alifariki dunia usiku wa kuamkia Jumanne jijini Dar es Salaam, alikokuwa ameenda kwa shughuli zake binafsi.
11 years ago
Michuzi11 Feb
MDAU KIZITO ASHINDA MILIONI 10 ZA 'CHAMPIONI MAHELA' AKIWA KWENYE DALADALA
Droo hiyo iliyochezeshwa mbele ya Msimamizi wa Bodi ya Bahati Nasibu, Mrisho Milao kwenye Viwanja vya Mbagala- Zakhem jana Jumanne.
Akizungumza Kizito ambaye ni makazi wa Kawe jijini Dar alipopigiwa simu na muendeshaji wa shughuli hiyo MC Chaku, mshindi huyo alikuwa ndani ya daladala hivyo hakuwa na mengi ya kuongeza zaidi ya kushukuru kwa...
10 years ago
Dewji Blog22 Dec
Kada CCM ajing’oa, kuwania ubunge kupitia Chadema
Mapokezi ya Fransico Kimasa Shejamabu (mwenye gwanda) akielekea katika viwanja vya shule ya msingi Pambalu wilayani Sengerema kuhutubia wananchi. (picha zote na Daniel Makaka wa MOblog, Sengerema).
Na Daniel Makaka, Sengerema.
Aliyekuwa kada wa wa Chama cha Mapinduzi CCM wilaya Sengerema mkoani Mwanza Bw. Fransico Kimasa Shejamabu ametangaza nia ya kuwania ubunge wa jimbo hilo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)ambacho amejiunga nacho.
Kauli hiyo ameitoa mjini hapa...