Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kafulila aanguka ubunge

BAADA ya mvutano, hatimaye matokeo ya jimbo la uchaguzi la Kigoma Kusini, wilayani Uvinza mkoa wa Kigoma yametangazwa ambapo mbunge aliyekuwa anatetea jimbo hilo, David Kafulila (NCCR-Mageuzi), ameanguka.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Kafulila kwenda mahakamani kuyapinga matokeo ya Ubunge

Aliyekuwa Mgombea ubunge Jimbo la Kigoma Kusini Kupitia Chama cha NCCR Mageuzi David Kafulila amesema anakusudia kwenda mahakamani kupinga matokeo yaliompa Ushindi Mbunge wa jimbo hilo kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Husna Mwilima kwenye Uchaguzi Mkuu uliofanyika Octoba 25, mwaka huu.

Kafulila amesema amefikia hatua hiyo kwa lengo la kutafuta haki yake baada ya kutoridhishwa na matokeo ya kushindwa na kwamba matokeo yaliyotangazwa katika nafasi hiyo Jimboni kwake ni tofauti na yale aliyonayo...

 

10 years ago

Michuzi

MHE.DAVID KAFULILA ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE TENA KATIKA JIMBO LA KIGOMA KASINI KUPITIA CHAMA CHA NCCR-MAGEUZI

 Mhe Kafulila akihutubia maelfu ya wakazi wa Nguruka mara baada ya kupokea fomu ya kugombea ubunge katika jimbo lake.aliyokabidhiwa na wazee wa jimbo hilo Mhe David Kafulila ikiingia katika viwanja vya shule ya msingi Nguruka kwaajili ya kuchukua fomu ya kugombea ubunge kwa awamu ya pili jimboni kwake.  Mhe Kafulila akiwaaga wananchi wa Nguruka baada ya kumaliza mkutano wake wa hadhara.Baadhi ya wananchi wa Nguruka waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Mhe.David Kafulila na kushuhudia...

 

10 years ago

GPL

WASTARA AANGUKA CHOONI

WAANDISHI WETU NYOTA wa filamu za Kibongo, Wastara Juma ambaye alipata ajali na kusababisha kukatwa kwa mguu wake wa kulia, juzikati alijikuta akianguka chooni akiwa nyumbani kwake Tabata jijini Dar es Salaam  na kuumia mguu wake mzima. Nyota wa filamu za Kibongo, Wastara Juma. Chanzo cha habari kilichokuwepo wakati wa tukio hilo, kililiambia gazeti hili kuwa Wastara alilazimika kuchechemea kwa kutumia mguu wake wa bandia...

 

10 years ago

BBCSwahili

Suge Knight aanguka mahakamani

Mahakama imemuachilia kwa dhamana ya dola millioni 25 msanii wa muziki wa rap Suge Knight ,ambaye aliwagonga wanaume wawili

 

11 years ago

GPL

ADAIWA MSUKULE, AANGUKA PORINI

 Mayasa Mariwata na Shani Ramadhani DUNIA ina mengi, hili nalo moja wapo! Mwanamke mmoja anayekadiriwa kuwa na miaka 35 amekutwa porini akiwa uchi wa mnyama na hawezi kuongea hali iliyozua hofu kwa wananchi na kudai ni msukule. Mwanamke huyo baada ya kupatiwa maji na chakula. Tukio hilo lilijiri hivi karibuni maeneo ya Pugu Mnadani, wilayani Ilala jirani kabisa na Pori la Hifadhi ya Kisarawe mkoani Pwani. Baadhi ya wakazi...

 

10 years ago

Habarileo

Mahanga aanguka, akimbilia Chadema

NAIBU Waziri wa Kazi na Ajira, Dk Milton Mahanga (60), amejiondoa katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) siku moja baada ya kushindwa katika kura za maoni za ubunge katika Jimbo la Segerea mkoani Dar es Salaam, na sasa ameomba uanachama katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mbunge aanguka ghafla bungeni

MBUNGE wa Mbeya Vijijini, Mchungaji Lackson Mwanjali ameanguka ghafla katika eneo la Bunge, mjini hapa jana. Mbunge huyu, alipatwa na mkasa huo jana majira ya saa sita mchana. Walioshuhudia tukio...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Aanguka chooni, afariki dunia

MKAZI wa Kigogo, Anthony Mbezi, anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka kati ya 70-75 amefariki dunia juzi baada ya kuanguka chooni. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura, alisema...

 

11 years ago

GPL

MTOTO AANGUKA TOKA GOROFA YA 11 ANUSURIKA

Mtoto aanguka toka orofa ya11anusurika. Mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja amenusurika kifo baada ya kuanguka kutoka orofa ya 11 ya jengo moja mjini Minnesota Marekani. Vyombo vya habari katika jimbo hilo vimeripoti kuwa Musa Dayib, amevunjika mkono mara mbili na kwa sasa anapumua kwa usaidizi wa mashine japo madaktari wanamtarajia kuishi.
Musa aliteleza katikati ya mianya inayozingira sebule yao katika orofa ya 11 ya mjengo huo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani