ADAIWA MSUKULE, AANGUKA PORINI
![](http://api.ning.com:80/files/dzJVcnA3Xm3hv03q0ZsSTfWOQ6IOPl4XTC0WteS1NGXgkWONKPui5GIhXQKLd4b0Nn23Xk9dK4xn8u7Lz5AY3wSl8n00mPqv/TFABORA.gif?width=650)
 Mayasa Mariwata na Shani Ramadhani DUNIA ina mengi, hili nalo moja wapo! Mwanamke mmoja anayekadiriwa kuwa na miaka 35 amekutwa porini akiwa uchi wa mnyama na hawezi kuongea hali iliyozua hofu kwa wananchi na kudai ni msukule. Mwanamke huyo baada ya kupatiwa maji na chakula. Tukio hilo lilijiri hivi karibuni maeneo ya Pugu Mnadani, wilayani Ilala jirani kabisa na Pori la Hifadhi ya Kisarawe mkoani Pwani. Baadhi ya wakazi...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XswnwlaLlAh92Nn5-xKrvxXM6tMarG-Ir8P0aMBGPKaDy-wi*t5y6baPFzM*MbAEuK3R52VnM3XmSvt-zl16hn7tu1LURJkY/3.jpg?width=650)
SNURA ADAIWA ADAIWA KUPORA MUME WA DAVINA
10 years ago
Mwananchi11 Oct
Wagonjwa walazimika kujisaidia porini
11 years ago
Habarileo13 Mar
Wachinja mifugo porini washughulikiwe
ONYO lililotolewa na Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk Titus Kamani kwamba serikali itaanza kuwafungia moja kwa moja wafanyabiashara wa nyama, wanaofanya uchinjaji holela, halina budi kuungwa mkono kwa kila hali ili kulinda afya ya walaji.
11 years ago
Mwananchi05 Jul
Mbaroni kwa kutupa kichanga porini
10 years ago
Habarileo12 Dec
Mama atupa watoto watatu porini
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, mama wa watoto watatu, mkazi wa wilayani hapa, mwanzoni mwa wiki hii aliwatekeleza porini watoto hao, akiwemo mwenye umri wa miezi mitatu.
10 years ago
Mwananchi25 Oct
RIPOTI MAALUM: Wafungwa waagiza nyama ya porini
11 years ago
Tanzania Daima27 Mar
Amuua mchumba wake, afukia mwili porini
MKAZI wa Kijiji cha Kiroreli, wilayani Bunda, Wambura Magonze, ameuawa na mchumba wake na kisha mwili wake kufukiwa porini. Tukio hilo lilitokea Machi 22 mwaka huu, saa 3 asubuhi katika...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-2MN-fR40TvA/VIsQimHJnPI/AAAAAAAG2t0/-PINyFVOVqo/s72-c/MMGM0878.jpg)
Mtu mmoja akutwa amekufa porini leo
Hali ya sintofahamu iliendelea kutanda katika eneo hilo huku kila alieweza kufika katika eneo hilo la tukio akiwa na mshangao wa kipi kilichomsibu mtu huyo mpaka kufikwa na mauti ya aina hiyo.
Akizungumza mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo ambaye...
11 years ago
Dewji Blog21 May
Afariki dunia porini akitafuta dawa ya kienyeji
Na Nathaniel Limu, Singida
MKAZI wa Kijiji cha Chang’ombe kata, tarafa na wilaya ya Manyoni mkoani Singida Andrew Mlunda (40),amefariki dunia akiwa porini kutafuta na kuchimba dawa ya kienyeji.
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida,SACP, Geofrey Kamwela amesema marehemu aliondoka nyumbani kwake juzi saa 10.00 jioni akiwa amebeba shoka na kuiaga familia yake kuwa anakwenda porini kutafuta dawa yake ya kifua kwani alikuwa anahisi maumivu.
Kamwela amesema kuwa tangu alipoondoka hakurudi...