Afariki dunia porini akitafuta dawa ya kienyeji
Na Nathaniel Limu, Singida
MKAZI wa Kijiji cha Chang’ombe kata, tarafa na wilaya ya Manyoni mkoani Singida Andrew Mlunda (40),amefariki dunia akiwa porini kutafuta na kuchimba dawa ya kienyeji.
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida,SACP, Geofrey Kamwela amesema marehemu aliondoka nyumbani kwake juzi saa 10.00 jioni akiwa amebeba shoka na kuiaga familia yake kuwa anakwenda porini kutafuta dawa yake ya kifua kwani alikuwa anahisi maumivu.
Kamwela amesema kuwa tangu alipoondoka hakurudi...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima06 Apr
‘Wajawazito acheni dawa za kienyeji’
KINA mama wilayani hapa wametakiwa kuacha kutumia dawa za kienyeji ili kuendeleza uchungu wa kujifungua pindi wanapokuwa wajawazito. Wito huo ulitolewa mjini hapa jana na Mratibu wa Afya ya Uzazi...
11 years ago
GPLWANYWA DAWA YA MGANGA WA KIENYEJI, WAUGUA
10 years ago
Habarileo04 Jan
Wajawazito washauriwa kutotumia dawa za uchungu za kienyeji
WAJAWAZITO wilayani Kahama mkoani Shinyanga wameaswa kutojifungulia nyumbani.
11 years ago
Michuzi17 Jun
SUMATRA YAWATAKA ASKARI WA USALAMA BARABARANI KUKAMATA MABASI YANAYOSIMAMA KUCHIMBA DAWA OVYO PORINI
..................................................... ASKARI wa usalama barabarani nchini wamepewa rungu la kuwakamata madereva wa mabasi ya abiria na magari mengine ambayo yatapatikana...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-zBRMwckxg30/XnDFJvIT4XI/AAAAAAALkII/Y4hYrXfBoXMTOKjZe4wvLHKjIl1rsL4VACLcBGAsYHQ/s72-c/4bv70a44aee1aa1m9pj_800C450.jpg)
Waganga wa kienyeji Tunisia wavuna kwa kuuza 'dawa ya Corona'
![](https://1.bp.blogspot.com/-zBRMwckxg30/XnDFJvIT4XI/AAAAAAALkII/Y4hYrXfBoXMTOKjZe4wvLHKjIl1rsL4VACLcBGAsYHQ/s640/4bv70a44aee1aa1m9pj_800C450.jpg)
Katika mji mkuu Tunis, wananchi wameendelea kumiminika katika soka la jadi la Souk el-Blat lenye waganga wa kienyeji kutafuta kinga au tiba ya Corona.
Mbali na kwenda kwa waganga wa kienyeji, baadhi ya...
11 years ago
Mwananchi22 Feb
Mtume aliyetabiri mwisho wa dunia afariki dunia
9 years ago
Mwananchi26 Sep
Mmoja afariki, kambi ya kipindupindu yapungukiwa dawa
10 years ago
CloudsFM21 Oct
MSANII YP AFARIKI DUNIA
Msanii aliyekuwa mkali wa Bongo Fleva, YP kutoka kundi la wanaume Family amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Meneja wa kundi hilo Said Fella amethibitisha kutokea kwa msiba wa msanii huyo, aliyefariki kwa maradhi ya kifua katika hospitali ya Temeke, Dar es Salaam.
10 years ago
CloudsFM20 Feb
Mez B afariki Dunia