Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Wajawazito acheni dawa za kienyeji’

KINA mama wilayani hapa wametakiwa kuacha kutumia dawa za kienyeji ili kuendeleza uchungu wa kujifungua pindi wanapokuwa wajawazito. Wito huo ulitolewa mjini hapa jana na Mratibu wa Afya ya Uzazi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wajawazito washauriwa kutotumia dawa za uchungu za kienyeji

WAJAWAZITO wilayani Kahama mkoani Shinyanga wameaswa kutojifungulia nyumbani.

 

11 years ago

GPL

WANYWA DAWA YA MGANGA WA KIENYEJI, WAUGUA

Bibi Zaina Athumani. Stori: Makongoro Oging’
HII nayo ni kali na haijawahi kutokea. Wakazi wawili wa Vingunguti kwa Simba Mbili jijini Dar akiwemo mwenye nyumba wamekimbizwa hospitalini na polisi baada ya kunyweshwa dawa na mganga wa kienyeji waliyemleta ili azindike nyumba yao. Tukio hilo lilitokea wiki iliyopita Vingunguti nyumbani kwa Zaina Athumani,70, ambaye ndiye mwenye nyumba aliyeleta mganga huyo ili azindike...

 

11 years ago

Dewji Blog

Afariki dunia porini akitafuta dawa ya kienyeji

Na Nathaniel Limu, Singida

MKAZI wa Kijiji cha Chang’ombe kata, tarafa na wilaya ya Manyoni mkoani Singida Andrew Mlunda (40),amefariki dunia akiwa porini kutafuta na kuchimba dawa ya kienyeji.

Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida,SACP, Geofrey Kamwela amesema marehemu aliondoka nyumbani kwake juzi saa 10.00 jioni akiwa amebeba shoka na kuiaga familia yake kuwa anakwenda porini kutafuta dawa yake ya kifua kwani alikuwa anahisi maumivu.

Kamwela amesema kuwa tangu alipoondoka hakurudi...

 

5 years ago

Michuzi

Waganga wa kienyeji Tunisia wavuna kwa kuuza 'dawa ya Corona'

Katika hali ambayo hakuna dawa mjarabu ya kutibu ugonjwa wa Corona iliyotangazwa rasmi au kuidhinishwa na Shirika la Afya Duniani (WHO), lakini waganga wa kienyeji nchini Tunisia wameendelea kupata faida kubwa kutokana na mauzo ya mitishamba na dawa za kiasili wanazodai kuwa zinatibu Corona.

Katika mji mkuu Tunis, wananchi wameendelea kumiminika katika soka la jadi la Souk el-Blat lenye waganga wa kienyeji kutafuta kinga au tiba ya Corona.

Mbali na kwenda kwa waganga wa kienyeji, baadhi ya...

 

10 years ago

Habarileo

Dawa za kuongeza uchungu hatari kwa wajawazito

MATUMIZI ya dawa za kienyeji kwa ajili ya kuongeza uchungu na kujifungua mapema, imeelezwa kuchangia zaidi vifo kwa wajawazito.

 

5 years ago

Michuzi

WATAALAMU WA KUTOA DAWA ZA USINGIZI KUPUNGUZA VIFO VYA KINA MAMA WAJAWAZITO WAKATI WA UPASUAJI

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Dkt. Salum Manyata  amewahasa wataalamu wa kutoa dawa za usingizi nchini kuwa wana jukumu kubwa la kuboresha utoaji wa huduma wa dawa za usingizi kwa kina mama wajawazito wakati wa upasuaji ili kupunguza athari zinazoweza kujitokeza wakati wa utoaji huduma hiyo.

Dkt. Manyata ameyasema leo wakati akifungua mafunzo elekezi ya utoaji dawa za usingizi salama wakati wa upasuaji kwa kina mama wajawazito yanayofanyika jijini Mbeya kwa siku tatu na kushirikisha wataalamu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM acheni kupiga mayowe, acheni wananchi waamue

MAPENDEKEZO ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba inayoongozwa na  Jaji Joseph Warioba, yanaonekana kuwatia kiwewe baadhi ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliopo visiwani Zanzibar. Ukizisikiliza kauli zao juu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kumbe Kingunge ni mganga wa kienyeji!

TUME ya Mabadiliko ya Katiba iliyoundwa na Rais Jakaya Kikwete chini ya uenyekiti wa mstaafu Jaji Joseph Warioba imeshirikisha makundi mbalimbali ya wananchi ingawa kuna mengine yaliyosahauliwa. Nilivutiwa na jina...

 

9 years ago

GPL

SHOGA, UONJWE WE POMBE YA KIENYEJI?

Jamani hebu nitumieni basi mvuke salama, hivi muoaji wa kweli humuonja mwanamke ndipo amuoe kweli? Mmh! Simpendi jamani mwanamke kugeuzwa chungu cha mboga kuingiza mkono na kuonja. Utaonjwa na wangapi mwisho wa siku unabaki kituko cha mtaa. Najua utashangaa kuona nimeanza na gia kubwa bila hata kutanguliza salamu, kwa kweli jambo linaloniudhi salamu kwangu si muhimu, kama kulizungumzia lililouchefua moyo wangu. Juzi nilipata...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani