Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RIPOTI MAALUM: Wafungwa waagiza nyama ya porini

>Katika tovuti hii wiki iliyopita tuliwaletea sehemu ya pili ya mfululizo wa Ripoti Maalumu kuhusu kubainika kuwapo kwa mtandao wa uhalifu unaowawezesha baadhi ya watu kuratibu matukio  ya uhalifu wakiwa gerezani katika mikoa ya Kanda ya Ziwa. Leo tunaendelea.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Ripoti Maalumu; Wafungwa waagiza nyamapori gerezani

Katika gazeti hili jana tulianza kuwaletea mfululizo wa Ripoti Maalumu kuhusu kubainika kuwapo kwa mtandao wa uhalifu ambao unawawezesha baadhi ya watu kuratibu matukio ya uhalifu wakiwa gerezani katika mikoa ya Kanda ya Ziwa.

 

10 years ago

Mwananchi

RIPOTI MAALUM: Wafungwa waendesha uhalifu wakiwa gerezani

Wakati Serikali ikihaha kukabiliana na vitendo vya uhalifu, imebainika kuwapo kwa mtandao wa uhalifu ambao unawawezesha baadhi ya watu waliofungwa kuratibu matukio ya uhalifu wakiwa gerezani katika mikoa ya Kanda ya Ziwa.

 

10 years ago

Vijimambo

RIPOTI MAALUM:Muhimbili hali ni mbaya

  Huduma zazidi kuzorota
  Wagonjwa wakosa matumainiHali ya huduma za tiba katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) ni mbaya kutokana na tatizo kubwa la bajeti ya kuwezesha wagonjwa kutibiwa kwa wakati na kupata dawa na vifaa tiba, jambo ambalo hata uongozi wa hospitali hiyo umelithibitisha.

Kukosekana kwa fedha za kutosha za kuendesha hospitali hiyo huku ikielemewa na madeni mengi ya watoa huduma, kumefanya ubora wa huduma za kitabibu zinazotolewa kuwa duni kiasi cha kwamba mgonjwa asiye...

 

11 years ago

Michuzi

kamati za bunge maalum la katiba zaanza kukabidhi ripoti

 Profesa  Nehemia Ossoro (wa tatu kulkia) ambaye ni mwataaluma  aliyeko  Taasisi ya Utafiti ya Umoja wa  Vyuo Vikuu vya Afrika ya Mashariki na Kusini  (ESAURP akifafanua kuhusu suala la gharama ya serikali tatu(shirikishi) leo  kutokana kuwa haina vyanzo vya mapato kwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe Samia Suluhu Hassan, ambaye hayupo pichani.  Mwenyekiti wa Kamati namba tisa ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Kidawa Hamid Salehe( kulia)akimkabidhi Makamu Mwenyekiti wa...

 

10 years ago

Mwananchi

RIPOTI MAALUM: Wanafunzi shule ya msingi washiriki ujangili

>Inawezekana likawa jambo ambalo siyo la kawaida, lakini ndiyo hali ilivyo ya ujangili nchini hivi sasa, baada ya kubainika kuwa baadhi ya wanafunzi wa shule za msingi na sekondari zilizopo kando kando ya hifadhi na mapori ya akiba Wilaya ya Serengeti mkoani Mara wameacha masomo na kushiriki ujangili wa wanyamapori kwa ajili ya kujipatia kipato.

 

11 years ago

Mwananchi

RIPOTI MAALUM: Magugu ya ajabu yashambulia Hifadhi Serengeti, yaua misitu

>Maisha ya wanyamapori katika Hifadhi ya Serengeti na wanaoishi katika maeneo ya Mikoa ya Mara na Mwanza yapo hatarini kutokana na kugundulika kwa mmea hatari maarufu kwa jina la maguguvamizi na unaua majani na mimea mingine inayoota karibu yake.

 

11 years ago

GPL

RIPOTI MAALUM:WAGANGA WA KIENYEJI WANAVYOFANYA KAZI NA WACHEZAJI YANGA, SIMBA

Kuku wawili, mweusi kuzima nyota ya mpinzani, nyeupe kujing'arisha. Saleh Ally na Sweetbert Lukonge
SUALA la ushirikina katika soka limekuwa likizungumzwa kama hadithi za kufikirika, wako ambao wanasema mambo hayo hayatokei, lakini wako ambao wamekuwa wakithibitisha kuwa hali hiyo inatokea.…

 

10 years ago

Dewji Blog

RIPOTI MAALUM: Mabadiliko ya tabianchi yanavyo athiri wakulima nchini Kenya

DSC_0419Dk. Paul Andre Calatayud ambaye ni miongoni mwa wanasayansi wanaofanya utafiti wa wadudu katika taasisi ya wadudu ya ICIPE kwenye mradi wa CHIESA (Climate Change Impacts on Ecosystem Services and Food security) iliyopo Kenya akionyesha wandishi wa habari waliotembelea katika eneo la Taita-Taveta, wakati wa utafiti huo.

Na Andrew Chale, Taita-Taveta, Kenya

[Taita Taveta, Kenya] Ni safari ya zaidi ya masaa  saba (7), kwa gari kutoka mji mkuu wa Kenya, Nairobi kuelekea  hadi Kaunti ya Taita...

 

10 years ago

GPL

MATUKIO YA UJAMBAZI BENKI; USALAMA BADO NI MDOGO! OFM YAJA NI RIPOTI MAALUM!

Stori: Chande Abdallah, Mayasa Mariwata, Shani Ramadhani na Denis Mtima/ Ijumaa Wikienda
WAKATI kukiwa na dhana ya baadhi ya wafanyakazi na wateja wa mabenki nchini kuvujisha taarifa za wateja wanaotoa kiasi kikubwa cha fedha kwa majambazi ambapo mwishowe wateja hao huvamiwa na kuporwa, Oparesheni Fichua Maovu (OFM) imetinga ndani ya benki kadhaa jijini Dar na kugundua udhaifu mkubwa katika ulinzi, Ijumaa Wikienda limeshika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani