Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kahawa ya Tanzania hatarini kutoweka

Zao la Kahawa nchini Tanzania huenda likatoweka kabisa kutokana na mabadiliko ya tabia ya nchi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

TABIANCHI (CLIMATE CHANGE):Yaweka Hifadhi za Tanzania Hatarini kutoweka

UD ONEMwanahabari na blogger wa mtandao wa modewjiblog.com, Andrew Chale akiwa katika geti  kuu la kuingilia katika ofisi za Hifadhi ya Taifa ya Udzungwa zilizopo eneo la Mang’ula, Wilaya ya Kilombero, Mkoani Morogoro, Tanzania. Alipokuwa katika habari za Utafiti jinsi  ya Mabadiliko ya Tabianchi yanavyoathiri mbuga na hifadhi za Taifa nchini (How  Climate Change Effect The National Parks in Tanznia) hivi karibuni (Picha na modewjiblog).

TABIANCHI YAWEKA HIFADHI ZA TANZANIA HATARINI

Na Andrew...

 

11 years ago

Habarileo

Korongo hatarini kutoweka

VIUMBE hai vinavyotumia maji katika ziwa Manyara lililopo ndani ya mbuga ya Hifadhi ya Taifa ya Manyara wakiwemo ndege aina ya korongo huenda wakatoweka kwa kufa kufuatia kunywa maji yanayodaiwa kuwa na kemikali yenye sumu ambayo hutiririka katika ziwa hilo kutoka katika mito inachimbwa na kuchekechwa madini ya dhahabu.

 

11 years ago

Habarileo

Tembo hatarini kutoweka

TANZANIA inapoteza tembo 39 kila siku kutokana na matukio ya ujangili. Hali hiyo inatishia uwepo wa tembo hao ifikapo mwaka 2026.

 

10 years ago

Habarileo

Kisiwa Zanzibar hatarini kutoweka

Kisiwa cha MnembaJUHUDI za haraka zinahitajika kuchukuliwa ili kukihami kisiwa kidogo cha Mnemba kilichopo Matemwe mkoa wa Kaskazini Unguja, kutokana na kasi ya maji kuvamia maeneo ya nchi kavu, kutokana na mabadiliko ya tabia ya nchi.

 

9 years ago

Mtanzania

Misitu ya asili hatarini kutoweka

Na Safina  Sarwatt, Moshi

MISITU ya asili nchini ipo hatarini kutoweka  kutokana na uharibifu wa mazingira unaofanywa na binadamu   na kuongezeka kwa joto.

Kutokana na hali hiyo imeelezwa kuwa kuna ya kuibuka kwa kasi magonjwa ya milipuko yanayosababishwa na athari za mabadiliko ya tabianchi.

Balozi wa Mabadiliko ya Tabianchi nchini, Mchungaji Profesa Aidani Msafiri alikuwa akizungumza katika kongamano la vijana na viongozi wa dini mjini Moshi.

Alisema kuwa uoto wa asili nchini umetoweka kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tembo, faru hatarini kutoweka

VITENDO vya ujangili vinavyoendelea kushamiri nchini, vimechangia taifa kukumbwa na hatari ya kutoweka kwa wanyamapori wakiwemo tembo na faru. Kauli hiyo ilitolewa mjini hapa na Profesa Davis Mwamfupe wa Chuo...

 

11 years ago

Habarileo

Muhogo hatarini kutoweka Dodoma

ZAO la muhogo ambalo kwa miaka mingi limekuwa mkombozi kwa wanavijiji wengi mkoani Dodoma kama zao la kinga ya njaa liko hatarini kutoweka kwa sababu ya kukumbwa na magonjwa hatari ya batobato na wadudu waitwao vidung’ata na vidumba.

 

10 years ago

CloudsFM

BWAWA LA MTERA HATARINI KUTOWEKA

KINA cha maji katika Bwana ambalo ni moja kati ya vyanzo vya uzalishaji wa umeme nchini lina hali mbaya baada ya maji kukauka na sasa kilomita 10 zaidi zageuka ukame.Uchunguzi uliofanywa na mtandao huu wa umebaini kuwepo kwa kasi kubwa ya bwawa hilo kuendelea kupoteza sifa ya kuendelea kuitwa bwawa baada ya maji kuendelea kukauka na kulifanya sasa bwawa hilo kuwa na hadhi ya mto .
Mmoja kati ya wavuvi katika bwawa hilo Frank Mvili alisema kuwa kupungua kwa kina cha maji katika bwawa hilo...

 

11 years ago

Mwananchi

Mto Ruaha Mkuu hatarini kutoweka

Uhai wa Hifadhi ya Taifa ya Ruaha (RUNAPA) unategemea sana uwapo wa Mto Ruaha Mkuu unaokatisha katika hifadhi hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani