Tembo, faru hatarini kutoweka
VITENDO vya ujangili vinavyoendelea kushamiri nchini, vimechangia taifa kukumbwa na hatari ya kutoweka kwa wanyamapori wakiwemo tembo na faru. Kauli hiyo ilitolewa mjini hapa na Profesa Davis Mwamfupe wa Chuo...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo24 May
Tembo hatarini kutoweka
TANZANIA inapoteza tembo 39 kila siku kutokana na matukio ya ujangili. Hali hiyo inatishia uwepo wa tembo hao ifikapo mwaka 2026.
11 years ago
Habarileo07 May
Korongo hatarini kutoweka
VIUMBE hai vinavyotumia maji katika ziwa Manyara lililopo ndani ya mbuga ya Hifadhi ya Taifa ya Manyara wakiwemo ndege aina ya korongo huenda wakatoweka kwa kufa kufuatia kunywa maji yanayodaiwa kuwa na kemikali yenye sumu ambayo hutiririka katika ziwa hilo kutoka katika mito inachimbwa na kuchekechwa madini ya dhahabu.
9 years ago
BBCSwahili23 Nov
Faru walio hatarini wasalia 3 pekee Kenya
10 years ago
Habarileo08 Apr
Kisiwa Zanzibar hatarini kutoweka
JUHUDI za haraka zinahitajika kuchukuliwa ili kukihami kisiwa kidogo cha Mnemba kilichopo Matemwe mkoa wa Kaskazini Unguja, kutokana na kasi ya maji kuvamia maeneo ya nchi kavu, kutokana na mabadiliko ya tabia ya nchi.
10 years ago
CloudsFM19 Nov
BWAWA LA MTERA HATARINI KUTOWEKA
KINA cha maji katika Bwana ambalo ni moja kati ya vyanzo vya uzalishaji wa umeme nchini lina hali mbaya baada ya maji kukauka na sasa kilomita 10 zaidi zageuka ukame.Uchunguzi uliofanywa na mtandao huu wa umebaini kuwepo kwa kasi kubwa ya bwawa hilo kuendelea kupoteza sifa ya kuendelea kuitwa bwawa baada ya maji kuendelea kukauka na kulifanya sasa bwawa hilo kuwa na hadhi ya mto .
Mmoja kati ya wavuvi katika bwawa hilo Frank Mvili alisema kuwa kupungua kwa kina cha maji katika bwawa hilo...
9 years ago
Mtanzania09 Nov
Misitu ya asili hatarini kutoweka
Na Safina Sarwatt, Moshi
MISITU ya asili nchini ipo hatarini kutoweka kutokana na uharibifu wa mazingira unaofanywa na binadamu na kuongezeka kwa joto.
Kutokana na hali hiyo imeelezwa kuwa kuna ya kuibuka kwa kasi magonjwa ya milipuko yanayosababishwa na athari za mabadiliko ya tabianchi.
Balozi wa Mabadiliko ya Tabianchi nchini, Mchungaji Profesa Aidani Msafiri alikuwa akizungumza katika kongamano la vijana na viongozi wa dini mjini Moshi.
Alisema kuwa uoto wa asili nchini umetoweka kwa...
11 years ago
Habarileo25 Feb
Muhogo hatarini kutoweka Dodoma
ZAO la muhogo ambalo kwa miaka mingi limekuwa mkombozi kwa wanavijiji wengi mkoani Dodoma kama zao la kinga ya njaa liko hatarini kutoweka kwa sababu ya kukumbwa na magonjwa hatari ya batobato na wadudu waitwao vidung’ata na vidumba.
10 years ago
BBCSwahili29 Apr
Kahawa ya Tanzania hatarini kutoweka
11 years ago
Mwananchi11 Feb
Mto Ruaha Mkuu hatarini kutoweka