Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAJALA AFUMWA NA MWANAUME CHINA!

Stori: Musa Mateja Tap! Staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja ‘K’ anadaiwa kufumwa na mwanaume nchini China huku akisusiwa sherehe ya bethidei yake, Ijumaa Wikienda limeinyaka. Staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja ‘K’. Kwa mujibu wa kachero wa Oparesheni Fichua Maovu (OFM) aliyepiga kambi Hong Kong, China, mwishoni mwa wiki iliyopita Kajala alionekana na mwanaume huyo aliyetajwa kwa jina moja la Meddy...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

KAJALA: KIYOYOZI CHA CHINA KIMENIBADILISHA

Stori: Shakoor Jongo
MWIGIZAJI Kajala Masanja amekanusha vikali suala la kujipodoa badala yake amesema kiyoyozi cha nchini China kimeifanya ngozi yake ibadilike. Kajala Masanja. Akizungumza na paparazi wetu mwishoni mwa wiki iliyopita, Kajala akiwa katika harakati za kuelekea China alisema amekuwa akiipenda nchi hiyo kwani akiwa huko ni ‘full’ kiyoyozi ambacho kimemfanya aonekane mweupe.… ...

 

11 years ago

GPL

KAJALA LAIVU NA MUME WA MTU CHINA

Stori:   Shakoor Jongo na Musa Mateja
HUKU akiendelea kukanusha kutibua ndoa ya shoga’ke kwa macho makavu, mwigizaji wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja hivi karibuni amenaswa laivu akila bata na mume huyo wa shoga’ake huko nchini China. Kajala (kulia) akila bata na mume wa shoga yake nchini China. Kwa mujibu wa chanzo chetu, Kajala amenaswa akijiachia kwenye kumbi mbalimbali za burudani nchini humo...

 

11 years ago

GPL

PATI YA KAJALA YAIBUA MAMBO NCHINI CHINA

Na Musa Mateja
MAKUBWA! Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ameangusha pati nchini China kusherehekea siku yake ya kuzaliwa na kuibua minong’ono juu ya chanzo cha jeuri hiyo ya fedha. Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja Kufuru hiyo ya fedha ilianzia jijini Dar katika bethidei ya mwanaye (Paula) hivi karibuni ambapo awali alikwenda kutoa misaada ya vitu mbalimbali katika Shule ya Sinza Maalum kisha kuangusha...

 

11 years ago

GPL

DEVOTHA AFUMWA AKIUZA NGUO KARIAKOO

Staa wa filamu Devotha Mbaga afumwa akiuza nguo Kariakoo kipindi hiki cha kuelekea sikukuu. (Habari Na Hamida Hassan/GPL)

 

10 years ago

Habarileo

Mwalimu afumwa gesti na mwanafunzi wake

MWALIMU wa Shule ya Sekondari ya Muungano iliyopo mji mdogo wa Himo wilayani Moshi, Richard Ndoile (30), anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro, kwa tuhuma za kukutwa gesti na mwanafunzi wake wakifanya mapenzi.

 

11 years ago

GPL

AFUMWA NA MCHUMBA'KE, AKIMBIA, AGONGWA, AFA

Na Dustan Shekidele, Morogoro
DUNIA ina mambo! Fundi wa magari mkoani Morogoro, Julius Mavella maarufu kama Papa Mavella, Machi 5 mwaka huu, majira ya saa saba usiku, alifariki dunia baada ya pikipiki aliyokuwa akiendesha, kugongana na nyingine, wakati akimkimbia mchumba’ke baada ya kuwa amefumwa akijirusha katika Klabu ya Itigi, iliyopo Msamvu inayodaiwa kutumiwa na machangudoa. Julius Mavella (kulia) akisakata muziki...

 

11 years ago

GPL

SHAROBARO AFUMWA NA MKE WA MTU NDANI YA GARI BOVU

Na Waandishi Wetu
SHABASHIII! Arobaini (40) za mke wa mtu zimetimia baada ya kunaswa ndani ya gari akifanya uzinifu na kijana mmoja mtanashati ‘Sharobaro’ aliyejitambulisha kwa jina la Athumani (26) maeneo ya Bamaga Mwenge, jijini Dar. Sharobaro baada ya kufumwa na mke wa mtu. Tukio hilo lilitokea usiku wa manane Februari 4, baada ya mke  huyo aliyetambulika kwa  jina moja la Husna na sharobaro wake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani