Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DEVOTHA AFUMWA AKIUZA NGUO KARIAKOO

Staa wa filamu Devotha Mbaga afumwa akiuza nguo Kariakoo kipindi hiki cha kuelekea sikukuu. (Habari Na Hamida Hassan/GPL)

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Polisi akamatwa akiuza pembe Kenya

Afisa mmoja wa polisi amekamakwa na pembe ya faru ilio na thamani ya dola 40,000.

 

11 years ago

Dewji Blog

Libeneke jipya la habari za Kariakoo ‘Kariakoo Digital’

Screen-Shot-2014-08-20-at-9.10.20-AM

Naomba kutambulisha kwenu tovuti mpya ya  www.kariakootz.com inayofahamika kama Kariakoo Digital Ambayo imejikita katika kukusanya orodha ya maduka ya wafanyabiashara wa Kariakoo pamoja na bidhaa wanazouza, mawasiliano yao na mitaa wanayopatikana na kuyaweka sehemu moja ili kukupa urahisi wa kutafuta bidhaa unayohitaji.

Sasa unawaweza kuokoa muda na pesa zako kwa kutumia tovuti hii mpya ya www.kariakootz.com kupata orodha ya maduka mengi yanayouza bidhaa kariakoo kisha unaweza kuwasiliana...

 

10 years ago

Dewji Blog

Picha iliyobamba: Enzi Mbunge wa Iringa Mjini akiuza Mitumba

Mpendwa msomaji ni matumaini yetu unaendelea kuperuzi  mtandao wako wa kijamii wa Mo dewji blog, siku zote tupo kwa ajili ya kukuletea habari na matukio mbalimbali kwa njia tofauti ambayo yatakuelimisha, kukuburudisha na  kukujenga.

Leo katika picha ya siku ama iliyobamba, ni ya Mbunge wa Iringa, mjini, Mh.Mchungaji Peter Msigwa.

Kwa mujibu wa chanzo cha picha hiyo iliyowekwa na Msigwa mwenyewe, k upitia akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa Facebook na kuipa maelezo haya “Enzi hizo nauza...

 

11 years ago

GPL

KAJALA AFUMWA NA MWANAUME CHINA!

Stori: Musa Mateja Tap! Staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja ‘K’ anadaiwa kufumwa na mwanaume nchini China huku akisusiwa sherehe ya bethidei yake, Ijumaa Wikienda limeinyaka. Staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja ‘K’. Kwa mujibu wa kachero wa Oparesheni Fichua Maovu (OFM) aliyepiga kambi Hong Kong, China, mwishoni mwa wiki iliyopita Kajala alionekana na mwanaume huyo aliyetajwa kwa jina moja la Meddy...

 

11 years ago

GPL

DEVOTHA MBAGA ANASA!

Devota Mbaga. Na Brighton Masalu
MSANII aliyefanya poa kwenye filamu kadhaa ikiweko ya Malaika, Devotha Julius Mbaga ‘The First Born’ yuko katika wakati mgumu kufuatia kunasa ujauzito ambao kwa sasa siyo siri tena. Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni, mmoja wa rafiki wa msanii huyo (jina kapuni) alisema kuwa licha ya msanii huyo kufanya siri juu ya ujauzito huo, lakini kwa sasa dalili zinaonesha kuwepo kwa...

 

11 years ago

GPL

DEVOTHA APATA PIGO

Na Gladness Mallya
MSANII wa filamu aliye pia katibu msaidizi wa Bongo Movie Unity, Devotha Mbaga amepata pigo la baa yake kuteketea kabisa kwa moto. Msanii wa filamu aliye pia katibu msaidizi wa Bongo Movie Unity, Devotha Mbaga Akizungumza kwa njia ya simu Devotha alisema wakati ajali hiyo inatokea hakuwepo kwani yupo nje ya Jiji la Dar ambapo alipata taarifa kutoka kwa wafanyakazi wake kwamba baa yake hiyo iliyopo maeneo ya...

 

11 years ago

Habarileo

Mwalimu afumwa gesti na mwanafunzi wake

MWALIMU wa Shule ya Sekondari ya Muungano iliyopo mji mdogo wa Himo wilayani Moshi, Richard Ndoile (30), anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro, kwa tuhuma za kukutwa gesti na mwanafunzi wake wakifanya mapenzi.

 

10 years ago

GPL

DEVOTHA MBAGA AGEUKIA UFUGAJI

Na Imelda Mtema
Staa wa filamu za Kibongo, Devotha Mbaga baada ya kuona filamu zinazingua ameamua kugeukia ufugaji wa ng’ombe ambapo amejichimbia kijijini maeneo ya Chanika jijini Dar. Staa wa filamu za Kibongo, Devotha Mbaga akimnyunyuzia Ng'ombe dawa ya kuulia wadudu. Akichonga na Ijumaa, Devotha alisema kuwa si kama ameacha kabisa sanaa lakini kutokana na muda mwingi kubaini unapotea kwenye filamu ambayo haimlipi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani