KAJALA AMSHTAKI MAMA WEMA!
![](http://api.ning.com:80/files/m9h2OjxKkWetlQU32i3umnnzkBsy12crZWgHCOD8*N9lpYJXC4Af6k9afOVUUCEIQ6bwoM5fbOxttnMfptfbFiQCpXPEj-1j/FRONTAMANI.jpg)
Stori: Mwandishi Wetu KIMENUKA! Habari ya mjini kwa sasa ni bethidei ya Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu kutimiza miaka 26 tangu kuzaliwa, lakini ndani ya tukio hilo, mengine yameibuka! Staa katika tasnia ya filamu Bongo, Kajala Masanja. Miongoni mwa yaliyoibuka kwenye sherehe hiyo iliyofanyika Jumapili iliyopita nyumbani kwa Wema, Mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar es Salaam ni madai ya mama Wema, Mariam Sepetu kudaiwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/OvBA3ExKZn4/default.jpg)
KAJALA AMSHITAKI MAMA WEMA
Stori: Mwandishi WetuKIMENUKA! Habari ya mjini kwa sasa ni bethidei ya Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu kutimiza miaka 26 tangu kuzaliwa, lakini ndani ya tukio hilo, mengine yameibuka!
Miongoni mwa yaliyoibuka kwenye sherehe hiyo iliyofanyika Jumapili iliyopita nyumbani kwa Wema, Mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar es Salaam ni madai ya mama Wema, Mariam Sepetu kudaiwa kupewa nafasi ya kutoa ‘neno la hekima’ lakini akaitumia kumvurumishia...
11 years ago
Bongo Movies19 Jul
Baada ya Kajala kudai Wema ni mnafiki,Wema aamua kujibu mapigo. 'Amlipua' vibaya Kajala
Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya mwigizaji Kajala kudai kuwa mrembo Wema Sepeteu ni Mnafiki, hatimaye Mwanadada Wema Sepetu , amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki, habari ambayo ilisambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya watu wengi kuamini wamepatana, hakuna ukweli kwani rafiki yake huyo ni mnafiki kufuatia kutomthamini na kutokuwa karibu naye kama zamani...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Cmufrv6JsXU/default.jpg)
10 years ago
Bongo Movies27 May
'Wema Sepetu Msamehe Kajala' Mashabiki Wamlilia Wema
Ikiwa ni masaa kadhaa yamepita toka msanii wa filamu nchini Kajala Masanja kufunguka ya moyoni juu ya Wema Sepetu na Petit Man na kueleza kuwa kamwe katika maisha yake ya hapa Duniani hawezi kusahau fadhila na moyo wa upendo ambao
ulioneshwa na watu wao kipindi ambacho alikuwa na matatizo na jinsi walivyoweza kujitolea mpaka kufikia hatua ya kuweza kumsaidia katika matatizo ambayo alikuwa anakabiliana nayo kwa kipindi kile.
Kajala alifunguka hayo kupitia ukurasa wake wa Instgram na...
10 years ago
Bongo523 Jun
Sugu amshtaki mama wa mtoto wake Faiza, anahisi anamharibu mwanae
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eOkD9SMZvVpLvEXI3paQjxMCt4MdCcA*229cIJ921F6NAbRaugVCFCBhOIO4-Fj7lNRnaD5yQLHooav1s*xO7o-DBd5dcb5S/MAMAWEMA.jpg?width=650)
MAMA WEMA USIJISAU, WEWE NI MTU MZIMA!MAMA WEMA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JKksqYJJ9YhWdP-cr7wfUhw39Twj-dI*ziLlgKjytgOccaWavNOZtrNCVlUzgGUOSrJCEwUHH1peJg3TkxBDmxLetzMSJJrO/wema.jpg)
WEMA, KAJALA WAPATANA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/QgF49CmXFSZssDKdUNERmTeOTZfkXf29NNoKMGjVt90Z1XcT0rObFHWioclO5zBgZRdc9k1elLTBob042VqwaId4X6oAqsZM/wikienda.jpg)
KAJALA KUMWAJIRI WEMA