Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kajala: Watu wanaamini sana magazeti, sina utajiri huo wanaousema

Kajala Masanja amedai kuwa maisha yake hayajabadilika sana kama ambavyo magazeti ya udaku yamekuwa yakiandika. Muigizaji huyo wa filamu alisema kuwa tetesi kuwa ana fedha nyingi kiasi cha kuwa na mpango wa kumwajiri Wema Sepetu ni uzushi mtupu. “Mbona maisha yangu ni ya kawaida sana,” Kajala aliiambia Bongo5. “Mimi naona nipo vilevile hakuna kubwa sana […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Kwanini watu wanaamini ni dhana tu?

Kuanzia wasomi hadi kwa wanasiasa, wengi wamewahi kudanganywa kuhusu virusi vya coronavirus. Kwanini watu wanatoa taarifa za kupotosha, na vipi unaweza kujilinda dhidi ya taarifa za kupotosha?

 

11 years ago

GPL

KAJALA: SINA HAMU YA KUISHI BONGO

Stori: Emelder Tarimo
Ohoo! Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja amefunguka kuwa yuko Bongo kwa kuwa ndipo nyumbani kwao lakini hana hamu ya kuendelea kuishi nchini kutokana na kuzushiwa mambo kila kukicha. Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja. Akizungumza na Risasi Mchanganyiko wikiendi iliyopita, mwigizaji huyo alisema anapenda awe na maisha ya furaha na wanawake wenziye kwa kubadilishana mawazo ya hapa na pale...

 

10 years ago

Bongo Movies

LIFE STYLE:Kajala na Binti Yake Paula Wananikosha Sana

Upendo wa mama kwa mtoto wake hauwezi kufananishwa na kitu chochote hapa duniani,kwa hili nadhani hakuna anaebisha.Ila ni ukweli pia wazazi  hutofautiana katika kuonyesha mapezi kwa watoto wao,hapa nazungumzia mahusiano ya wazazi na watoto katika maisha ya kila siku.

Kwa sisi watoto wa maika ya 1980+ wazazi wetu wengi walitufanya tuwaogope na kuwaheshimu hata kwanidhamu ya woga, kitu ambacho mimi nakipinga sana.Leo mambo ni tofauti sana, wazazi wengi wamekuwa wakijitahidi kujenga urafiki na...

 

10 years ago

Bongo Movies

Kajala: Nampenda Sana Wema Ila Bado Ana Chuki na Mimi

Staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja amesema hadhani kama ni rahisi kuwa karibu tena na staa mwenzake Wema Sepetu baada ya kugombana.

Kajala amekiambia kipindi cha The Sporah Show hivi karibuni kuwa bado anampenda Wema na kumheshimu.

“Mimi simchukii Wema, mimi nampenda Wema, kusema ningependa kurudisha urafiki na Wema inakuwa ngumu sana, kwa sababu yeye tayari anachuki na sijui ana chuki kiasi gani? Mimi nataka kusema ni mtu ambaye nampenda na nakaaga nasema namheshimu, ni mtu ambaye...

 

10 years ago

Bongo5

Nampenda sana Wema ila bado ana chuki na mimi — Kajala

Kajala Masanja amesema hadhani kama ni rahisi kuwa karibu tena na Wema Sepetu baada ya kugombana. Kajala amekiambia kipindi cha The Sporah Show hivi karibuni kuwa bado anampenda Wema na kumheshimu. “Mimi simchukii Wema, mimi nampenda Wema, kusema ningependa kurudisha urafiki na Wema inakuwa ngumu sana, kwa sababu yeye tayari anachuki na sijui ana chuki […]

 

10 years ago

Bongo5

Diamond: Sina beef na Davido, watu walinielewa vibaya tu!

Kwa mara ya kwanza Diamond Platnumz amezungumzia kile kinachoaminika kuwa ni beef kati yake na msanii wa Nigeria, Davido iliyotokana na ushindi wa Idris kwenye Big Brother Africa. Akiongea na waandishi wa habari jana baada ya kuwasili jijini Kampala, Uganda kwaajili ya kutumbuiza kwenye party ya mpenzi wake mpya, Zari The Bosslady, Diamond alisema watu […]

 

11 years ago

Bongo Movies

Utajiri wa Irene Uwoya waanza kuwa gumzo, watu wahoji amepata wapi mali zote hizo. Mwenyewe afunguka na haya

Inadaiwa kuwa hali ya hewa imechafuka kwa msanii nyota wa filamu za Bongo Irene Uwoya ambapo ameshindwa kutaja vyanzo vya utajiri wake wa Ghafla, Hivi karibuni Uwoya alikaririwa akisema kuwa hawezi kutaja kazi nyingine anayofanya na utajiri aliokuwa nao kwani wapo baadhi ya watu hawapendi kuona mmoja wao akiendelea ...Alisema kuwa pamoja na magari anayomiliki ya kifahari hawezi sema ni njia gani amepata utajiri huo..Nimefanya Filamu kadhaa ambazo zimenipa hela na cha zaidi ni Jina ambalo...

 

10 years ago

Bongo5

Cpwaa: Kuna umuhimu wa kurudisha ile original Bongo Fleva, watu wanaigana sana

Mfalme wa Bongo Crunk, Cpwaa amesema kuwa mwezi ujao anategemea kuachia wimbo mpya ambao utakua na ladha ya Bongo Fleva ambayo anadai wasanii wengi wameitelekeza kutokana na kuiga muziki wa Nigeria. “Cpwaa bado anafanya muziki, Cpwaa bado ni king wa bongo crunk,na safari hii nikija nakuja kuwapa kile kitu watu ambacho wamekimiss.” Cpwaa ameiambia Bongo5. […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani