Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAJALA: SINA HAMU YA KUISHI BONGO

Stori: Emelder Tarimo
Ohoo! Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja amefunguka kuwa yuko Bongo kwa kuwa ndipo nyumbani kwao lakini hana hamu ya kuendelea kuishi nchini kutokana na kuzushiwa mambo kila kukicha. Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja. Akizungumza na Risasi Mchanganyiko wikiendi iliyopita, mwigizaji huyo alisema anapenda awe na maisha ya furaha na wanawake wenziye kwa kubadilishana mawazo ya hapa na pale...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KAJALA APEWA SIKU 5 ZA KUISHI

IMELDA MTEMA MASIKINI! Staa mkali wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja hivi karibuni amejikuta akiwa katika wakati mgumu na wa hatari kufuatia watu wasiojulikana kuvamia nyumbani kwake na kutoa onyo kwamba wanampa siku tano tu za kuishi, Amani lina mkasa kamili.Ishu hiyo ya kushtusha ilitokea usiku wa saa nane ya kuamkia juzi, Jumanne nyumbani kwa staa huyo, Sinza Mori jijini Dar es Salaam. Staa mkali wa filamu za Kibongo,...

 

9 years ago

GPL

KOLABO ZINASUBIRIWA KWA HAMU BONGO

Ben Pol na Avril.  Andrew Carlos MUZIKI wa Bongo Fleva kila kukicha unazidi kupaa kimataifa na hii imeleta hamasa kwa wasanii wengi kupata upenyo wa kufanya kazi nyingi kwa kushirikiana na wanamuziki wa kimataifa.Zipo kolabo za wasanii wa Bongo walizozifanya na wasanii wengine wa kimataifa kama vile KCEE na Shetta, Diamond na Davido, Diamond na Mr Flavour na nyingine kibao ambazo zimefanya vizuri. Ali Kiba na Ne-Yo.  Kwa hivi...

 

10 years ago

Bongo5

Kajala: Watu wanaamini sana magazeti, sina utajiri huo wanaousema

Kajala Masanja amedai kuwa maisha yake hayajabadilika sana kama ambavyo magazeti ya udaku yamekuwa yakiandika. Muigizaji huyo wa filamu alisema kuwa tetesi kuwa ana fedha nyingi kiasi cha kuwa na mpango wa kumwajiri Wema Sepetu ni uzushi mtupu. “Mbona maisha yangu ni ya kawaida sana,” Kajala aliiambia Bongo5. “Mimi naona nipo vilevile hakuna kubwa sana […]

 

10 years ago

Tanzania Daima

Okwi: Sina mpango wa kurudi Bongo

WAKATI uongozi wa Yanga ukidai hauna muda kuendelea kulijadili suala la mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda, Emmanuel Okwi, mshambuliaji huyo naye amesema hana mpango wa kurudi kucheza soka Tanzania. Akizungumza...

 

10 years ago

GPL

SHAMSA FORD: SINA RAFIKI STAA BONGO MOVIES!

Stori: Imelda Mtema STAA wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford amefunguka kuwa hana rafiki yeyote maarufu ndani ya Bongo Movies. Staa wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford. Akizungumza na paparazi wetu, Shamsa alisema kuwa tangu huko nyuma alishawafuta marafiki wote ambao ni wasaliti na badala yake mtu pekee ambaye ni rafiki yake ni mwigizaji mwenzake, Wellu Sengo ambaye anachipukia. “Unajua ni bora uwe hata na rafiki mmoja...

 

11 years ago

GPL

KAJALA AWA BALOZI WA WANAWAKE BONGO

Stori:IMELDA MTEMA
Staa maarufu wa filamu hapa Bongo, Kajala Masanja hivi karibuni alipata shavu la nguvu baada ya kuibuka kuwa balozi wa wanawake Tanzania nzima kupitia taasisi ya Women Connect iliyopo jijini Dar. Staa maarufu wa filamu hapa Bongo, Kajala Masanja. Akizungumza na Ijumaa, mkurugenzi wa taasisi hiyo, Hafsa Semdaiya alisema wameamua kumchagua Kajala kwa kuamini ni kioo cha jamii na ni staa wa kwanza kuonesha...

 

10 years ago

Bongo Movies

Mastaa wa Bongo Movies, Kajala na Riyama Wamuunga Mkono Mabeste

“WAUNGWANA wangu wapendwa wangu Naomba kwahisani yako Pitia uzuri hayo maelezo ktk bango hakikisha haikupiti hii kama kweli wewe ni mzalendo pia onesha kuguswa na mtihani ambao unamkabili sasahivi kakayetu ndugu yetu mwenzetu Mabeste halafu sema hata mimi ni binadamu nisie kamilika matatizo mitihani na maradhi nimeumbiwa mimi.
Mimi nilishayabeba Haya kua kwaupende wangu maumivu niliopata hayaelezeki nikapata jibu kua pengine asingekua yeye leo hii ningeweza kua mimi ndio mwenye mtihani huu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani