Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAJALA AWA BALOZI WA WANAWAKE BONGO

Stori:IMELDA MTEMA
Staa maarufu wa filamu hapa Bongo, Kajala Masanja hivi karibuni alipata shavu la nguvu baada ya kuibuka kuwa balozi wa wanawake Tanzania nzima kupitia taasisi ya Women Connect iliyopo jijini Dar. Staa maarufu wa filamu hapa Bongo, Kajala Masanja. Akizungumza na Ijumaa, mkurugenzi wa taasisi hiyo, Hafsa Semdaiya alisema wameamua kumchagua Kajala kwa kuamini ni kioo cha jamii na ni staa wa kwanza kuonesha...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Haule awa Balozi Kenya

RAIS Jakaya Kikwete amemteua John Haule kuwa Balozi mpya wa Tanzania nchini Kenya.

 

10 years ago

Habarileo

Mmarekani awa Balozi wa Mlima Kilimanjaro

TANZANIA imempa hadhi ya Ubalozi wa Mlima Kilimanjaro, raia wa Marekani, Macon Dunnagan, baada ya kutambua mchango wake katika kuutangaza mlima huo nchini mwake.

 

11 years ago

GPL

KAJALA: SINA HAMU YA KUISHI BONGO

Stori: Emelder Tarimo
Ohoo! Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja amefunguka kuwa yuko Bongo kwa kuwa ndipo nyumbani kwao lakini hana hamu ya kuendelea kuishi nchini kutokana na kuzushiwa mambo kila kukicha. Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja. Akizungumza na Risasi Mchanganyiko wikiendi iliyopita, mwigizaji huyo alisema anapenda awe na maisha ya furaha na wanawake wenziye kwa kubadilishana mawazo ya hapa na pale...

 

9 years ago

Global Publishers

Mtoto wa H-Baba awa balozi wa duka la EBM

h-baba (1)

H-Baba akimsaidia kukata keki ya sherehe mwanaye Tanzanite.

h-baba (2)

Tanzanite akimlisha keki baba yake H-Baba huku mama yake mzazi akishuhudia kwa karibu tukio hilo.

h-baba (3)

Muigizaji wa filamu Davina akilishwa keki na Tanzanite.

h-baba (4)

Mmiliki wa duka lililomteua Tanzanite kuwa balozi wake, Ernest Makulilo, akilishwa keki hiyo.

h-baba (5)

Mdhamini wa shughuli hiyo ambaye ni Mkurugenzi wa The Fadhagate Sanitarium Clinic Child akilishwa keki.

h-baba (6)

Davina akiwakabidhi tuzo ya Wanandoa Bora H-Baba na mkewe Flora Mvungi.

h-baba (7)

 

10 years ago

Michuzi

JUMA KASEJA AWA BALOZI MPYA WA NSSF

Golikipa wa timu ya Yanga, Juma Kaseja, ambaye ni mwanachama wa Hiari wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) akikabidhiwa mkataba kutoka kwa  Mwanasheria wa NSSF, Chedrick Komba kuwa Balozi rasmi wa Shirika hilo katika Huduma Mbalimbali zitolewazo na NSSF.
Golikipa wa Yanga, Juma Kaseja, ambaye ni mwanachama wa Hiari wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) akisaini mkataba wa kuwa balozi wa NSSF katika huduma mbalimbali zitolewazo na Shirika hilo. Kushoto ni Mkurugenzi wa...

 

10 years ago

GPL

WASTARA AWA BALOZI WA MEDO KATIKA KUCHANGIA ELIMU

Meneja wa mradi huo, Bertha Gama (kushoto) na mwenyekiti wake Silas Masui (katikati) wakiwa na Wastara Juma. Afisa mahusiano wa mradi huo, Jimmy James na Bertha Gama wakisikiliza jambo.…

 

9 years ago

Dewji Blog

Barbara Kambogi wa MultiChoice Tanzania awa mkuu mpya wa Channel ya Maisha Magic Bongo!

wpid-IMG_1530

Aliyekuwa Meneja Uhusiano wa MultiChoice Tanzania, Barbara Kambogi ambaye sasa ni Mkuu wa Chaneli ya Maisha Magic Bongo, akiwa katika moja ya shughuli za Dstv hapa nchini  Na Andrew Chale, Modewjiblog

Aliyekuwa Meneja Uhusiao wa MultiChoice Tanzania, Barbara Kambogi amepata  nafasi ya juu katika kampuni ya MultiChoice na kuwa Mkuu mpya wa Channeli ya Maisha Magic Bongo.

Katika taarifa yake kwa waandishi wa habari iliyotumwa leo, Barbara Kambogi amewashukuru na kuwapongeza wanahabari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani