Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAJALA APEWA SIKU 5 ZA KUISHI

IMELDA MTEMA MASIKINI! Staa mkali wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja hivi karibuni amejikuta akiwa katika wakati mgumu na wa hatari kufuatia watu wasiojulikana kuvamia nyumbani kwake na kutoa onyo kwamba wanampa siku tano tu za kuishi, Amani lina mkasa kamili.Ishu hiyo ya kushtusha ilitokea usiku wa saa nane ya kuamkia juzi, Jumanne nyumbani kwa staa huyo, Sinza Mori jijini Dar es Salaam. Staa mkali wa filamu za Kibongo,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

KAJALA: SINA HAMU YA KUISHI BONGO

Stori: Emelder Tarimo
Ohoo! Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja amefunguka kuwa yuko Bongo kwa kuwa ndipo nyumbani kwao lakini hana hamu ya kuendelea kuishi nchini kutokana na kuzushiwa mambo kila kukicha. Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja. Akizungumza na Risasi Mchanganyiko wikiendi iliyopita, mwigizaji huyo alisema anapenda awe na maisha ya furaha na wanawake wenziye kwa kubadilishana mawazo ya hapa na pale...

 

10 years ago

Mwananchi

Kutembea kwa dakika 20 kila siku, huongeza siku za kuishi

Kulingana na maendeleo ya sayansi na teknolojia, mtindo wa maisha umebadilika ikiwamo watu wengi kutumia usafiri wa magari hata kwa safari ya umbali mfupi

 

10 years ago

Mwananchi

Mhandisi apewa siku 14 kukamilisha mradi

Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea, wamempa siku 14 mhandisi wa maji wa halmashauri hiyo, Bathromeo Matwiga awe amekamilisha mradi wa uchimbaji wa visima virefu vya maji wa Kijiji cha Naipanga.

 

10 years ago

Mwananchi

Mrema apewa siku 80 kufanya uchaguzi TLP

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, imetoa siku 80 kwa uongozi wa Chama cha Tanzania Labour (TLP) kuhakikisha kinafanya uchaguzi wake wa ndani wa kuwapata viongozi wapya.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mkurugenzi apewa siku 14 kurejesha fedha za walimu

HALIMASHAURI ya Wilaya ya Geita mkoani hapa imepewa siku 14 kurudisha fedha sh milioni 350 zilizotafunwa na Halimashauri hiyo ambazo walikatwa walimu wa Mkoa huo kwa ajili ya mikopo ambayo...

 

9 years ago

Habarileo

Apewa siku 10 kuondoa mawe kuzuia mawimbi

MKUU wa Mkoa wa Kusini Unguja, Dk Idriss Muslim Hijja ametoa siku 10 kwa mwekezaji anayemiliki hoteli ya kitalii ya Palumbo iliyopo Uroa katika Wilaya ya Kati kuondoa shehena ya mawe aliyoyaweka mbele ya hoteli hiyo kwa ajili ya kuzuia kasi ya mawimbi ya bahari na mmomomnyoko wa ardhi.

 

9 years ago

StarTV

Wahanga wa mgodi nyangarata wasimulia walivyoweza kuishi kwa siku 41 wakila wa dudu

Wahanga wa maafa ya kufukiwa na kifusi kwenye machimbo ya Nyangarata wilayani Kahama mkoani Shinyanga takribani Siku 41 wakiwa chini ya Ardhi wamesema kuwa waliofanikisha kunusuru maisha yao kwa kula wadudu walipokuwa katika shimo hilo.

Hata hivyo kati ya wahanga 6 mmoja aliyetambulika kwa jina la Mussa Supana  alipoteza maisha na watano walinusurika na  kulazwa kwenye Hospitali ya Halmashauri ya mji wa Kahama, huku viungo vyao vikiwa vimekakamaa na hali zao bado taabani kufuatia kukosa...

 

9 years ago

GPL

GWAJIMA APEWA SIKU 14 KUMFUFUA KAKA YAKE AU KUPANDISHWA KIZIMBANI

Shamma Gwajima (kulia) akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) kushoto ni Raphah Gwajima. Watoto hao wakisikiliza kwa makini maswali kutoka kwa waandishi wa habari kabla ya kuyajibu.
Wanahabari wakiuliza maswali.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani