Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mhandisi apewa siku 14 kukamilisha mradi

Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea, wamempa siku 14 mhandisi wa maji wa halmashauri hiyo, Bathromeo Matwiga awe amekamilisha mradi wa uchimbaji wa visima virefu vya maji wa Kijiji cha Naipanga.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

 Katibu tawala Kigoma apewa siku 2 kukamilisha uchunguzi  Tuhuma Za Ubadhirifu

 

Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa ametoa siku mbili kwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma Mhandisi John Ndunguru kukamilisha uchunguzi wake na kumpatia taarifa ya maandishi juu ya tuhuma za ubadhirifu wa fedha za umma unaohusisha uuzwaji wa jengo la KIGODECO na viwanja 12 vya Manispaa ya Kigoma/Ujiji ambao unadaiwa kukiuka taratibu.

Waziri Mkuu Majaliwa Ametoa agizo hilo mjini Kigoma wakati akizungumza na viongozi na watendaji mbalimbali wa mkoa huo alipokuwa akifanya majumuisho ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Malecela: Siku 60 hazitoshi kukamilisha Katiba Mpya

>Waziri Mkuu mstaafu, John Malecela amesema siku 60 zilizotengwa kukamilisha mchakato wa Katiba Mpya kabla ya kupelekwa kwa wananchi hazitoshi kwa kazi hiyo.

 

5 years ago

Michuzi

RC PWANI ATOA SIKU SABA UONGOZI WA HALMASHAURI YA BAGAMOYO KUKAMILISHA HOJA 38 ZA CAG



Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo akizungumza wakati wa kikao maalumu cha baraza la madiwani wa halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo kilichoandaliwa kwa ajili ya kujadili majibu ya hoja za mkaguzi na mdhibiti wa hesabu za serikali CAG

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo akisoma kwa umakini ripoti ya hoja mbali mbali ambazo zimeandikwa katika kitabu maalumu na mkaguzi na mdhibiti wa hesabu za serikali wakati wa kikao hicho cha baraza la madiwani wa halmashauri ya Wilaya...

 

5 years ago

Michuzi

DC ATOA SIKU SABA KWA MHANDISI WA JIJI LA ARUSHA KUWEKA MAJI KWENYE JENGO LA KITUO CHA AFYA MURIET



Mkuu wa wilaya na kamati ya ulinzi na usalama ya Jiji la Arusha wakikagua madarasa kwenye Shule ya Sekondari Sombetini jijini Arusha Jana picha na Ahmed Mahmoud Arusha.
Mkuu wa wilaya ya Arusha Gabriel Daqarro akiongea mara baada ya kukagua ujenzi wa madarasa kwenye Shule ya Sekondari Sombetini na kutoa siku Saba kwa mhandisi kuhakikisha wanaweka maji kwenye kituo Cha Afya huku akipongeza Ujenzi wa madarasa hayo na kutaka yakamilike kwa wakati picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha.

Afisa elimu...

 

10 years ago

GPL

KAJALA APEWA SIKU 5 ZA KUISHI

IMELDA MTEMA MASIKINI! Staa mkali wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja hivi karibuni amejikuta akiwa katika wakati mgumu na wa hatari kufuatia watu wasiojulikana kuvamia nyumbani kwake na kutoa onyo kwamba wanampa siku tano tu za kuishi, Amani lina mkasa kamili.Ishu hiyo ya kushtusha ilitokea usiku wa saa nane ya kuamkia juzi, Jumanne nyumbani kwa staa huyo, Sinza Mori jijini Dar es Salaam. Staa mkali wa filamu za Kibongo,...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mkurugenzi apewa siku 14 kurejesha fedha za walimu

HALIMASHAURI ya Wilaya ya Geita mkoani hapa imepewa siku 14 kurudisha fedha sh milioni 350 zilizotafunwa na Halimashauri hiyo ambazo walikatwa walimu wa Mkoa huo kwa ajili ya mikopo ambayo...

 

9 years ago

Habarileo

Apewa siku 10 kuondoa mawe kuzuia mawimbi

MKUU wa Mkoa wa Kusini Unguja, Dk Idriss Muslim Hijja ametoa siku 10 kwa mwekezaji anayemiliki hoteli ya kitalii ya Palumbo iliyopo Uroa katika Wilaya ya Kati kuondoa shehena ya mawe aliyoyaweka mbele ya hoteli hiyo kwa ajili ya kuzuia kasi ya mawimbi ya bahari na mmomomnyoko wa ardhi.

 

10 years ago

Mwananchi

Mrema apewa siku 80 kufanya uchaguzi TLP

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, imetoa siku 80 kwa uongozi wa Chama cha Tanzania Labour (TLP) kuhakikisha kinafanya uchaguzi wake wa ndani wa kuwapata viongozi wapya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani