Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAKOBE- 5

Makala: Elvan Stambuli Naendelea kuwaletea maelezo kuhusu maisha ya Askofu Kakobe baada ya kuokoka na kuanzisha kanisa.Mwandishi: Kuna waliosema kuwa ulianzisha kanisa nchini Marekani na ulikuwa na mpango wa kuhamia huko, je ni kweli? Askofu Kakobe. Askofu Kakobe: Kuhama nchi siwezi lakini ni kweli baada ya maombi ya muda mrefu Aprili 16, 2012 nilifungua kanisa Marekani, hii ni nia ileile ya kuokoa mataifa na kuinua jina la...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KAKOBE -3

ALIVYOANZA MIUJIZA YA UPONYAJI
Makala: Elvan StambuliTunaendelea kuwaletea mfululizo wa mazungumzo kati ya Askofu Zakary Kakobe na mwandishi wetu kuhusu alivyompokea Yesu. Askofu Zakary Kakobe MIUJIZA AMBAYO HAWEZI KUISAHAHU
Mwandishi: Kati ya miujiza hiyo ipi ambayo huwezi kuisahahu?
Askofu Kakobe: Siwezi kuisahau miujiza miwili, mmoja ulitokea katika mkutano nilioufanya Hedaru kwenye viwanja vya sokoni, mkoani...

 

10 years ago

GPL

KAKOBE-6

Makala: Elvan Stambuli Naendelea kuwaletea mahojiano kati yangu na Askofu Kakobe kuhusiana na maisha yake ya wokovu.
Divai aliyoitengeneza Yesu ni karibu mapipa saba!  Divai hii haikuwa kileo au pombe maana aliudhihirisha utukufu wake. Ingekuwa amewapa watu kileo, ingekuwa aibu kwake badala ya utukufu.  Ilikuwa ni divai mpya au divai tamu yaani juisi ya zabibu, tofauti na divai iliyochanganyika au kuchachuka ambayo ni...

 

10 years ago

GPL

KAKOBE- 4

Makala: Elvan Stambuli
Naendelea kuwaletea mazungumzo kati yangu na Askofu Zakary Kakobe baada ya kuanza kufanya mikutano ya uponyaji na kawaida maeneo mbalimbali. Kwa siku 256 tu kuanzia Januari 5, 2007 nikianzia Mlali Morogoro na kumalizia Septemba 17, 2007 huko Ngerengere mkoani Morogoro, baadhi ya mikoa nilikuwa nafanya mikutano hadi mitatu kwa siku.
Mwandishi: Ni mikutano mingi sana, yote ilikuwa ya miujiza? Askofu...

 

11 years ago

TheCitizen

Apologise, Kakobe tells JK

>Full Gospel Bible Fellowship Church (FGBF) Bishop Zachary Kakobe has called on President Jakaya Kikwete to admit that he made a mistake and apologise to Tanzanians for the speech he made during the inauguration of the Constituent Assembly  (CA) in March.

 

10 years ago

GPL

MJUE HUYU KAKOBE -2

Na Elvan Stambuli TUNAENDELEA KUWALETEA MFULULIZO WA MAZUNGUMZO KATI YA ASKOFU KAKOBE NA MWANDISHI WETU kuhusu alipotokewa na yesu, mambo yalikuwaje? Hii ndio nyumba ya Askofu Kakobe aliyoanzishia kanisa. MJADALA NA MKEWE
Askofu Kakobe: Baada ya hapo nilijadiliana na mke wangu Hellen, nilimwambia nitashindwa kuhubiri au kuwa mchungaji. Sina maono kabisa ya kuanzisha shughuli ya kiroho, lengo langu… ...

 

11 years ago

Habarileo

Ukawa wamponza Askofu Kakobe

USHIRIKA wa wachungaji wa Kipentekoste nchini (PPFT) umemtaka Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Askofu Zakaria Kakobe, kuacha tabia ya kutumia mwavuli wa dini kuhubiri chuki na uchochezi kwa wananchi.

 

10 years ago

GPL

KAKOBE ALIWAHI KUWA MWANAMUZIKI

Na Elvan Stambuli
Mjue huyu ni safu mpya ambayo  itakuwa  inahusisha watu maarufu ambao watakuwa wakihojiwa na waandishi wetu wakielezea historia yao tangu wakiwa wadogo hadi kuwa maarufu.  Askofu Mkuu wa  Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (F.G.B.F), Zachary Kakobe. Tunaanza na Askofu Mkuu wa  Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (F.G.B.F), Zachary Kakobe ambaye amefanikiwa kuanzisha kanisa hilo ambalo...

 

11 years ago

Mwananchi

Askofu aungana na Kakobe kutaka Tanganyika

Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge Ngara, Severin NiweMugizi ameungana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, Zachary Kakobe kupigia debe Serikali ya Tanganyika.

 

10 years ago

GPL

KAKOBE ALIVYOANZISHA KANISA NA VIJANA KUMI NA TATU -3

Makala: Elvan Stambuli
Naendelea kuwaletea mazungumzo kati yangu na Askofu Zakary Kakobe kuhusu alivyoanza kufanya miujiza ya uponyaji baada ya kuokoka.Mwandishi: Baada ya watu kutoamini kama ungeweza kumponya kwa maombi yule mama aliyekuwa bubu ulifanya nini? Askofu Zakary Kakobe akihubiri. Askofu Kakobe: Niliwaambia waende mitaani wakawaalike watu wengine ili waje waone miujiza ya Mungu kwani baada ya muda mfupi yule mama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani