KAKOBE ALIWAHI KUWA MWANAMUZIKI
![](http://api.ning.com:80/files/YkTQKvQouuqIlZgVLeAB8JpZv3WKpOkpcSN63ix1oS4HlYJ9Ln5vC0Yu1rm1Fdvxle25zXVsi6nDvYrngzteq4E6zw76dtO9/KAKOBE.jpg)
Na Elvan Stambuli Mjue huyu ni safu mpya ambayo itakuwa inahusisha watu maarufu ambao watakuwa wakihojiwa na waandishi wetu wakielezea historia yao tangu wakiwa wadogo hadi kuwa maarufu. Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (F.G.B.F), Zachary Kakobe. Tunaanza na Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (F.G.B.F), Zachary Kakobe ambaye amefanikiwa kuanzisha kanisa hilo ambalo...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo518 Nov
Adele akanusha kuwa aliwahi kukataa kufanya collabo na Beyonce
![](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Adele-na-Beyonce-300x194.jpg)
Wiki iliyopita jarida la Heat liliandika taarifa kuwa mwanamuziki wa Uingereza, Adele aliwahi kumkatalia Beyonce Knowles ombi la kufanya naye collabo, baada ya Bey kujaribu kumshawishi kwa mwaka mzima wafanye kazi.
Hit maker wa ‘Hello’, single iliyovunja rekodi mbalimbali amekanusha taarifa hizo.
Adele (27) amesema hawezi kumkosea heshima kiasi hicho Beyonce (34), kwasababu kwanza yeye ni shabiki wake.
“There’s a rumor going round that I turned Beyonce down. Just to clear up, I would never...
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Danile Moi: Je wajua rais mstaafu aliwahi kuwa mchungaji wa mbuzi?
10 years ago
Mwananchi14 Sep
Fundi bomba mwenye ndoto ya kuwa mwanamuziki mashuhuri
9 years ago
Bongo529 Dec
Mzee Yusuf: Nimeshachoka kuwa mwanamuziki wa Tanzania pekee
![Mzee Yusuf](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Mzee-Yusuf-300x194.jpg)
Staa wa muziki wa Taarab, Mzee Yussuf amesema tayari ameshafanya yote makubwa katika muziki wake hapa nyumbani hivyo anaanza kutanua muziki wake kimataifa zaidi.
Muimbaji huyo aliyeshoot video ya wimbo wake mpya Hewala aliomshirikisha Vanessa Mdee nchini Afrika Kusini, ameiambia Bongo5 kuwa kazi hiyo anaihesabu kama ndiyo kazi yake ya kwanza katika safari yake ya mafanikio.
“Tayari kila kitu nimeshafanya hapa nyumbani na Tanzania inanitambua,” alisema.
“Nimesema niache hapo nilipoishia...
5 years ago
BBCSwahili19 Mar
Coronavirus: Mwanamuziki wa Bongo Flava nchini Tanzania athibitisha kuwa na maambukizi ya virusi
11 years ago
Bongo Movies21 Jun
Mwanamuziki Msami akiri kuwa mpenzi wa Uwoya, azungumzia tofauti ya umri na mipango yao
Mkali wa Sound Track ambaye pia ni mkali wa kuvunja (dancer) amezungumzia uhusiano wake na muigizaji mrembo wa Bongo Movies, Irene Uwoya.
Akiongea na tovuti ya Times Fm, Msami alizunguka sana mbuyu kutaka kutoa maelezo kuhusu ukweli wa mambo kati ya wawili hao lakini kwa mara ya kwanza aliamua kuiambia tovuti ya Times Fm kauli yake kutokana na jinsi alivyoulizwa.
“Kaongea kwa upole huyu jamaa, kaapproach ili apate jibu. Ni kweli (kicheko)…nimekuridhisha lakini, nimeamua kukuridhisha.”...
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Abigail Chamungwana: Mwanamuziki mwenye umri mdogo aliye na ndoto ya kuwa Daktari bingwa wa upasuaji moyo wa watoto
5 years ago
BBCSwahili14 Feb
Idara ya usalama ya Rwanda imethibitisha kuwa inamshikilia mwanamuziki nyota nchini Rwanda, Kizito Mihigo
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LB6l9Yyl8LBLpIbXCAr6KtfK9U8p8OhH8sDaLa3KRHQLzch*tzTLzXYs0sL-r6mExYOGv2TdxJcxqxczwttvJWZZEp6rS*TO/kakobe700.jpg?width=650)
KAKOBE- 4