Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mzee Yusuf: Nimeshachoka kuwa mwanamuziki wa Tanzania pekee

Mzee Yusuf

Staa wa muziki wa Taarab, Mzee Yussuf amesema tayari ameshafanya yote makubwa katika muziki wake hapa nyumbani hivyo anaanza kutanua muziki wake kimataifa zaidi.

Mzee Yusuf

Muimbaji huyo aliyeshoot video ya wimbo wake mpya Hewala aliomshirikisha Vanessa Mdee nchini Afrika Kusini, ameiambia Bongo5 kuwa kazi hiyo anaihesabu kama ndiyo kazi yake ya kwanza katika safari yake ya mafanikio.

“Tayari kila kitu nimeshafanya hapa nyumbani na Tanzania inanitambua,” alisema.

“Nimesema niache hapo nilipoishia...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Mwanamuziki wa Bongo Flava nchini Tanzania athibitisha kuwa na maambukizi ya virusi

Mwanamuziki wa Bongo Flava nchini Tanzania Mwana FA amesema aligundulika kuwa ana maambukizi baada ya kurudi kutoka Afrika Kusini.

 

10 years ago

Michuzi

Diamond na Mzee Yusuf kuwasha moto Dar Live Krismas katika tamasha la wafalme chini ya Vodacom Tanzania, Moto mwingine wa burudani utakuwa Coco beach

Wapenzi wa burudani  ya muziki wa kizazi kipya na muziki wa taarabu watapata burudani ya funga mwaka kutoka kwa gwiji wa muziki wa kizazi kipya ambaye anatamba kwa vipao mbalimbali vipya Diamond Platnumz na mfalme wa muziki wa taarabu Mzee Yusuf  na kundi lake la Jahazi Modern Taarab watapanda jukwaa moja katika”Tamasha Wafalme”litakalofanyika katika ukumbi wa Dar Live,Mbagala jijini Dar es Salaam.Tamasha hili  la wafalme ambalo limeanza kuwa gumzo la  jiji kutokana na kuwa na burudani za...

 

11 years ago

GPL

TUZO ZA MZEE YUSUF ZATEKWA

Shabiki aliyeteka tuzo za Mzee Yusuf akibishana na watu wa karibu wa Mzee Yusuf. Stori: Shakoor Jongo
KITUKO! Shabiki mmoja ambaye jina lake halikupatikana mara moja, alifanya jaribio la kuteka moja ya tuzo za Mfalme wa Muziki wa Taarab Bongo, Mzee Yusuf katika ukumbi wa Mlimani City, Dar ambapo shughuli za utolewaji wa tuzo hizo kwa wasanii zilifanyika wikiendi iliyopita. Mzee aliye Mkurugenzi wa Bendi ya Jahazi Modern...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mzee Yusuf kutikisa na filamu

MFALME wa Muziki wa taarabu Nchini, Mzee Yusuf, anatarajia kuachia filamu yake ya kwanza mwezi huu itakayokwenda kwa jina la ‘Nitadumu naye’ ikiwa ni nyimbo iliyowahi kutamba  nayo mwaka 2006....

 

11 years ago

TheCitizen

Diamond is No. 1, ‘seconded’ by Mzee Yusuf

We start with taking a look at the way scribblers misdirect themselves by using inappropriate or even wrong words. It exposes our limitedness in vocabulary.

 

9 years ago

GPL

BAUNSA WA MZEE YUSUF ALIVYOPIGWA RISASI

Mayasa Mariwata na Gabriel Ng’osha
HATARI! Jamaa maarufu kwa jina la Hassan Baunsa ambaye ni baunsa wa mwanamuziki wa Taarab Bongo, Mzee Yusuf ‘Mfalme’, amenusurika baada ya kupigwa risasi na shabiki aliyefahamika kwa jina mmoja la Kev, Ijumaa Wikienda lina mkanda kamili.  Hassan Baunsa akiwa hospitali. Tukio hilo la kutisha lilijiri juzikati kwenye Ukumbi wa Hugos uliopo mjini Moshi mkoani Kilimanjaro...

 

10 years ago

GPL

MZEE YUSUF KUACHIA MPYA DAR LIVE

Mfalme wa muziki wa taarab Mzee Yusuf. MFALME Mzee Yusuf amerudi tena ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar ambapo Aprili 25, mwaka huu anatarajia kuachia ngoma mpya. Akizungumza na Over The Weekend, Mzee Yusuf anayebamba kunako miondoko ya Taarab alisema kuwa anawashukuru mashabiki kwa kuweza kumudu kwenye muziki kwa muda mrefu na zawadi kubwa atakayoitoa siku hiyo ni wimbo mpya uitwao...

 

10 years ago

Mtanzania

Mzee Yusuf: Sikuwahi kumkimbia Khadija Kopa

Mzee Yusuf new.jpg 2NA RHOBI CHACHA
MFALME wa muziki wa taarabu, Mzee Yusuf, ameibuka na kuweka wazi kwamba hakuwahi kumkimbia Malkia wa muziki huo, Khadija Kopa, anayedai kwamba amekataa kushirikiana naye katika wimbo aliotaka.
Mzee Yusuf aliongeza kwamba ameshafanya nyimbo mbili na Kopa za kushirikiana, lakini Kopa anadai nyimbo hizo walikutanishwa na mashirika yaliyotaka kazi hizo zifanywe nao na si vinginevyo.
“Unajua mie nashangaa sana hizi habari, Khadija hajawahi kuniambia tufanye wimbo wa pamoja na...

 

10 years ago

Mwananchi

Diamond na Mzee Yusuf kuumana Dar Live

 Wapenzi wa burudani ya muziki wa kizazi kipya na muziki wa taarabu watapata burudani ya funga mwaka kutoka kwa gwiji wa muziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz na mfalme wa muziki wa taarabu, Mzee Yusuf watapanda jukwaa moja katika ‘Tamasha Wafalme’ litakalofanyika katika Ukumbi wa Dar Live, Mbagala.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani