Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kala: Hatutaki watu wa kati kwenye show za makampuni

Kala Jeremiah amefunguka kuhusu yale yanayomkwaza moyoni kuhusiana na muziki wa Tanzania ulipofika. Rapper huyo ameoeneshwa kukerwa na kuendelea kuona wasanii wengi wakiwa maskini kwasababu ya watu wachache wanaohodhi kila kitu. “Kwa ninavyofahamu mimi biashara ya muziki ni biashara kubwa sana na inayoweza kumtoa mhusika kwenye zero na kumpeleka kwenye hero kwa muda wa mwezi […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Kala Jeremiah: Ukifanya video nje huku unategemea show za ndani ni kula hasara

Kala

Kuna baadhi ya wasanii wa Bongo ambao waliwahi kusema hawana mpango wa kwenda kushoot video zao nje ya Tanzania, lakini baadae walibadili mawazo na kwenda kushoot huko.

Kala

Miongoni mwa wasanii waliobadili mawazo ni Ben Pol, ambaye hivi karibuni ameshoot video mpya Afrika Kusini na Justin Campos.

Kala Jeremiah pia aliwahi kusema hafikirii kwenda kushoot video nje, na sababu aliyoitoa ni kutokana na nyimbo zake nyingi zinazungumzia matatizo ya jamii za Kitanzania.

Bongo5 ilimtafuta Kala kutaka...

 

10 years ago

Michuzi

TUZO ZA MAKAMPUNI 100 YA KIWANGO CHA KATI NCHINI KUTOLEWA NCHINI

Tuzo za makampuni 100 ya kiwango cha kati nchini kutolewa hapo kesho katika hafla itakayofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City. Hayo yamebainishwa hii leo katika mkutano uliowakutanisha wadau wote walioshiriki katika mchakato huo pamoja na waandaaji na wadhamini uliofanyika hii leo katika hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es salaam. Mchakato huu uliratibiwa na KPMG na Mwananchi Communications Ltd na kudhaminiwa na Benki M.Mkurugenzi Mkuu wa KPMG Bw. David Gachewa akizungumza katika mkutano...

 

11 years ago

Michuzi

THE MBONI SHOW NA KATI YA LONDON 2014

 Newdeal  Africa   in  collaboration  with  Kass  Grill  and  Didas  Entertainment  brings  to  you the  Mboni  show  who  are  filming  in  London  starting  from  the 24th /2/2014.

Je  we ni  mjasiliamali au  unamafanikio  unayotaka  tuyajuwe  kama  wa Tanzania au  una  hadith  ambayo una  nadhani  ni  mfano  wa  kuigwa?

Basi  wasiliana  nasii  kwenye  simu :

Ayoub: 07960811614

Kassongo: 07404062209

Didas:07556171941

EMAIL: swahilidiaries@yahoo.co.uk

Thank you

Ayoub  Mzee

Chief...

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Runtown, Christian Bella, Navy Kenzo, Peter Msechu na Kala walivyotumbuiza kwenye BSS

Msanii wa muziki kutoka Nigeria, Runtown akisindikizwa na wasanii wa Tanzania, Christian Bella, Navy Kenzo, Peter Msechu, Yamoto Band pamoja na Kala Jeremiah walitumbuiza kwenye fainali za shindano la Bongo Star Search (BSS) zilizofanyika katika ukumbi wa King Solomon uliopo Namanga, jijini Dar es Salaam. Runtown akionyesha maujanja yake Licha ya burudani hizo kutoka kwa […]

 

10 years ago

Bongo5

Kala: Mwaka huu nimeingiza kipato kikubwa kuliko miaka yote. Akanusha kupotea kwenye game

Hit maker wa ‘Dear God’, Kala Jeremiah amepinga vikali kuwa amepotea kwenye game toka alivyohit na wimbo wa ‘Dear God’, huku akidai kuwa huu ndio mwaka ambao ameingiza pesa nyingi kuliko miaka mingine aliyokaa kwenye muziki. Akizungumza na Bongo5 leo, Kala amesema licha ya kutoonekana akifanya show kwa wingi mwaka huu, lakini ameingia mikataba mingi […]

 

9 years ago

Bongo5

Kala Jeremiah kuachia wimbo mpya mwezi ujao, pia aeleza sababu za kumtumia director Pablo kwenye video nyingi

Kala

Baada ya kipindi cha kampeni kupita Kala Jeremiah pia yuko kwenye foleni ya wasanii wanaotaka kutoa kazi mpya za kufungua mwaka.

Kala

Kala ameiambia Bongo5 kuwa tayari video ya kazi mpya imekamilika na anatarajia kuitoa hivi karibuni.

“Video ya wimbo mpya na nimeshoot na PABLO ila nisingependa kwanza kutaja jina la wimbo, lakini mwezi wa 12 lazima itoke”.

Video nne zilizopita za Kala (Nchi ya Ahadi, Usikate Tamaa, Simu Ya Mwisho, Wale Wale) zote zimeongozwa na Pablo, kuhusu kwanini ameamua...

 

11 years ago

BBCSwahili

Waasi waua watu 1000 Afrika ya Kati

Waasi wamewaua watu wapatao elfu moja katika Jamhuri ya Afrika ya Kati katika mapigano ya siku mbili mwezi huu.

 

10 years ago

Mwananchi

Ajali zaua watu 1,078 kati ya Juni na Agosti

Watu 1,078 wamefariki dunia na wengine 3,715 kujeruhiwa katika kipindi cha kuanzia Juni hadi Agosti, kutokana na ajali za barabarani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani