Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kama chama changu kinataka kushinda, kishinde kwa nguvu ya hoja si kwa nguvu ya dola

Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.

Mwandishi Wetu

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Bunge la Katiba lijadili nguvu ya hoja si hoja za nguvu

BUNGE la kujadili katiba mpya limepangwa kuanza rasmi Februari 18 mwaka huu, pale Makao Makuu ya Tanzania, mjini Dodoma. Mijadala itaendeshwa kwa siku 70. Ikibidi zitaongezwa tena siku nyingine 20...

 

9 years ago

Raia Mwema

Tuone kweli kama ni nguvu ya soda au nguvu ya jua

Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.

Hidaya

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Pinda : Tutaunganisha nguvu kwa mgombea urais atakayeteuliwa na chama

IMG_4287

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwahutubia wananchi wa tarafa ya Pawaga leo.

IMG_4281

Waziri Mkuu Pinda akiwapungia mikono wananchi wa tarafa ya Pawaga leo.

IMG_4280

Wananchi wa tarafa ya Pawaga wakimshangilia Waziri Mkuu Pinda leo.

IMG_4249

Wananchi  wa tarafa ya Pawaga, Iringa wakimsikiiza Waziri Mkuu Mizengo Pinda.

Na Matukiodaima Blog

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amewataka watanzania hasa wana Chama wa cha Mapinduzi ( CCM) kuwa na subira katika kumpata mwanachama atakayefaa kusimama kugombea urais kupitia CCM mwaka...

 

9 years ago

Vijimambo

PONGEZI KWA CHAMA CHANGU

Loveness Mamuya, mratibu wa CCM Marekani
Baada ya kuangalia na kufuatilia mikutano ya kampeni kama kada wa chama cha mapinduzi anachukua nafasi hii kukipongeza Chama chake Chama Cha Mapinduzi kwa kuendesha kampeni zilizofuata misingi ya demokrasia, pia nawapongeza mh Dr John P. Magufuri na mama Samia Suluhu kwa kuweza kuzunguka Tanzania nzima kuwafikia watanzania wote kila kona, Ali Shein pia kwa upande wa Zanzibar. Nachukua nafasi hii kuwakumbusha watanzania wenzangu kujitokeza kuwapigia...

 

10 years ago

Vijimambo

PROGRAMU YA MAFUNZO KUKIANDAA CHAMA KUSHINDA DOLA, KUONGOZA SERIKALI

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, Salum Mwalim akizindua mafunzo ya timu za kampeni, viongozi wa chama na viongozi wa serikali za mitaa wanaotokana na CHADEMA kwa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini (Njombe, Ruvuma, Rukwa, Mbeya na Iringa) ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya chama kwenda kushinda dola na kuongoza serikali katika uchaguzi mkuu ujao

 

9 years ago

Vijimambo

Haujatimia...Je Nguvu za Binadamu zinaweza Kuzuia Nguvu za Mungu...


Naleta kwenu msaswali machache ili mpate kunisaidia. Katika tabiri nyingi zilizopata kutabiriwa ndani ya vitabu vitakatifu kama BIBLIA na vinginevyo zimekuwa zikitimia pasipi shaka.Siku za nyuma kidogo huyu nabii anaye itwa TB Joshua Kutoka Nigeria alimtabiria mheshikiwa Edward kuwa ndiye raisi ajaye sasa kila mtu anajua kilicho tokea ni kitugani muda mfupi ulio pita.
SASA NAULIZA HIVI, JE BINADAMU ANAYO MAMLAKA AU NGUVU YOYOTE KATIKA KUBATILISHA KILE KINACHO TAJWA KUWA NI UTABIRI AMBAO...

 

10 years ago

GPL

NAFANYA KAZI KWA NGUVU KWA AJILI YA MWANANGU - WIZKID

Mwanamuziki maarufu  wa Nigeria, Wizkid. Lagos Nigeria
MWANAMUZIKI  mwimbaji maarufu  wa Nigeria, Wizkid, amesema hataki maisha ya anasa ya kutumia fedha ovyo, bali anataka kuonyesha upendokwa watu wake, jambo ambalo linamlazimu kufanya kazi kwa nguvu. Wizkid akiwa na mwanaye.
Pamoja na kwamba ana mpango wa kuanzisha taasisi ya kuwasaidia watu wenye matatizo, mwimbaji huyo amesema hakuna kitu chenye thamani zaidi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani