NAFANYA KAZI KWA NGUVU KWA AJILI YA MWANANGU - WIZKID
![](http://api.ning.com:80/files/-HoKvkav3swXta8D*rumBVsiziFbvOx7-1ZIswUJjySzJFWXAQ4JSCzXmLMz7Ur0rAcPGbhpolrzCJOLNHRn-pjF6AmmVI*x/STARBOY_S35.jpg?width=650)
Mwanamuziki maarufu wa Nigeria, Wizkid. Lagos Nigeria MWANAMUZIKI mwimbaji maarufu wa Nigeria, Wizkid, amesema hataki maisha ya anasa ya kutumia fedha ovyo, bali anataka kuonyesha upendokwa watu wake, jambo ambalo linamlazimu kufanya kazi kwa nguvu. Wizkid akiwa na mwanaye. Pamoja na kwamba ana mpango wa kuanzisha taasisi ya kuwasaidia watu wenye matatizo, mwimbaji huyo amesema hakuna kitu chenye thamani zaidi...
GPL
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Ew9lsJazTC4/Xm_dvnO7KqI/AAAAAAALkAY/JswAr-Zvo78Qi_qGzWBrAYoNgDAPj8w9QCLcBGAsYHQ/s72-c/52190608_303.jpg)
ASASI ZA KIRAIA ZAUNGANA WILAYANI ILALA KWA AJILI YA KUJENGA NGUVU YA PAMOJA ILI KUKABILIANA NA ATHARI ZA MABADILIKO YA TABIANCHI
KUENDELEA kukithiri kwa athari za mabadiliko ya tabia ya nchi wilayani Ilala jijini Dar es Salaam , asasi mbalimbali za kiraia wilayani humo zimeungana kwa ajili ya kujenga nguvu ya pamoja kuhakikisha wanakabiliana na athari zitokanazo na mabadiliko ya tabia yanchi.
Miongoni mwa nguvu wanayotaka kujenga katika wilaya hiyo ni pamoja na kuhakikisha kunakuwa wa kutosha kwa jamii kuhusu mabadiliko ya tabianchi ambapo watapata nafasi na uwezo wa kuripoti...
9 years ago
Raia Mwema02 Sep
Kama chama changu kinataka kushinda, kishinde kwa nguvu ya hoja si kwa nguvu ya dola
Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.
9 years ago
Mwananchi30 Oct
DNA inapatikana wapi na ni kwa ajili ya kazi gani?
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-CAeg5yLwB-E/Xm98UJtslLI/AAAAAAALj5s/KZ9ZZga0yawzO03WPk4-t0SAmiocKChpACLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-16%2Bat%2B3.09.18%2BPM.jpeg)
JAFO AKAGUA UJENZI HOSPITALI YA UHURU, AAGIZA KUONGEZWA KWA NGUVU KAZI
![](https://1.bp.blogspot.com/-CAeg5yLwB-E/Xm98UJtslLI/AAAAAAALj5s/KZ9ZZga0yawzO03WPk4-t0SAmiocKChpACLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-16%2Bat%2B3.09.18%2BPM.jpeg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-o28BEPgB1ys/Xm98bpKF5pI/AAAAAAALj54/PfSktziwcU8EUS42eIA_ciaTNdTN3rr1QCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-16%2Bat%2B3.09.53%2BPM.jpeg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-8ssnWn_Pdnw/Xm98bhk9pBI/AAAAAAALj50/M7-UHJJlQPMperuKZre_6_LfZfLNSNv6gCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-16%2Bat%2B3.10.39%2BPM.jpeg)
Charles James, Globu ya JamiiWAZIRI wa Nchi Ofisi ya...
9 years ago
Dewji Blog17 Dec
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ahaidi kusimamia kazi za Wasanii kwa nguvu zote
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye akiongea na wadau mbalimbali kutoka BASATA,COSOTA,BODI YA FILAMU,CMEA NA WASANII jana jijini Dar es Salaam juu ya kuendelea kusimamia haki ya wasanii na kuhakikisha kila msanii anapata anachostahili kupitia Sanaa yake na kwamba serikali imeweka nguvu kubwa katika eneo hilo.
Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles Mwijage (kulia) akiongea waandishi wa habari kuhusu vyombo vya habari(television na Redio) kuanza kulipia...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-0Qhf4yxOHhA/VCI_XtC3i6I/AAAAAAACrh0/ax0Mkz1a2cc/s72-c/New%2BPicture.png)
TASAF YAANZA MAFUNZO KWA WATAALAMU WA KISEKTA KWA AJILI YA UIBUAJI MIRADI KWA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI
Akifungua warsha ya kuwajengea uwezo wataalamu hao mjini Bagamoyo mkoani Pwani, Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF, Bwana...
9 years ago
Global Publishers02 Jan
Kwa Mwanangu Nitakayemzaa – 38
ILIPOISHIA:
Destiny ameshafuzu kuwa mwandishi wa habari, yuko Kenya akitokea Marekani alikokuwa kimasomo tayari kuzianza harakati zake za kumbadilisha Mtima kijana aliyempenda sana, kwa upande wa kijana huyo na rafiki yake Abdulrahman walizidi kusababisha maafa makubwa kwa kufanya mauaji ya kutisha sehemu tofauti ndani ya nchi ya Somalia na Kenya.TAMBAA NAYO…
TUKIO walilofanya Mtima na Abdulrahman katika kituo cha kulelea watoto yatima kiitwacho Jerusalemu Disabled Children Cares (JDCC),...
9 years ago
Global Publishers26 Dec
Kwa Mwanangu Nitakayemzaa 37
ILIPOISHIA:
Baada ya Destiny kumaliza masomo yake ya uandishi wa habari katika Chuo cha Nothestern kilichopo huko Marekani, alikwenda kujiunga na Kampuni la Habari la Wend Production kwa ajili ya kupata uzoefu ambako huko alikabidhiwa kwa mwandishi wa habari mzoefu Criss Jacquiler.
Tambaa nayo…
KUTOKANA na mafunzo aliyoyapata kutoka kwa Criss Jacquiler, Destiny alijikuta akiipenda mno kazi ya uandishi wa habari ambapo baada ya muda wake wa masomo kumalizika alitakiwa kuondoka Marekani na...
9 years ago
Global Publishers19 Dec
Kwa Mwanangu Nitakayemzaa
ILIPOISHIA:
Huku Mtima na Abdulrahman wakiwa kwenye hali tete ya kuuawa na wanajeshi wa Kenya, Destiny alikuwa amemaliza masomo ya uandishi wa habari chuoni Notheastern, Marekani ambapo alitakiwa kusafiri hadi New York kwa ajili ya kupata ujuzi kwenye kampuni ya habari ya Wend Production.
Tambaa nayo…
MUDA ulipowadia alipanda ndege na kusafiri hadi jijini New York alikopokelewa uwanja wa ndege na mwanaume aliyejitambulisha kwa jina la Kenny Smith.
“Wend yuko wapi?” Ndilo swali la kwanza...