kama siku yako haijafika ni haijafika tu… tazama hizi dakika 9 uone watu wanavyokoswakoswa
Ni kumuomba Mungu tu siku zote na kama hajapanga hiyo siku iwe ya mwisho kwako, hata iweje haitakuwa ya mwisho…. kwenye hii video hapa chini kuna mkusanyiko wa matukio ya dakika 9 ya watu waliokoswakoswa haswaaa. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, […]
The post kama siku yako haijafika ni haijafika tu… tazama hizi dakika 9 uone watu wanavyokoswakoswa appeared first on...
MillardAyo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo01 Feb
TANGAZO KWA WATU WALIOSAFIRISHA MIZIGO TANZANIA TOKA USA KWA CONTAINER AMBAYO HAIJAFIKA
![](http://www.devonstorage.co.uk/images/devon_container_storage.jpg)
9 years ago
MillardAyo16 Dec
Unaambiwa hizi ni tabia 8 za watu wapole… hebu tazama ujaribu kulinganisha
Tunaishi kwenye dunia ambayo binadamu wanatofautiana kifikra, kitabia na kwenye vitu vingine… sasa leo December 15 mtaalamu wa saikolojia kutoka Chuo kikuu cha Dar es salaam Chris Mauki ametoa hizi tabia nane za watu wa pole, zitazame uone kama zinakugusa au kumgusa yeyote unaemfahamu. Wanafikiri sana kabla ya kutenda, sio wakurupukaji Ni rahisi kuwaamini Wako […]
The post Unaambiwa hizi ni tabia 8 za watu wapole… hebu tazama ujaribu kulinganisha appeared first on...
9 years ago
MillardAyo16 Dec
Mimi leo nimedata na hizi nyumba mbili tu… kuanzia sebuleni mpaka vyumbani! ( picha )
Kama kwa wengine wanaodata wakiona magari makali au vitu vingine vya dunia, na mtu wako wa nguvu anadata akiona nyumba kali au zilizojengwa kimpangilio….. leo nimekutana nazo hizi nikasema niwaonyeshe na watu wangu tupate ari zaidi ya kuzisaka noti ili tujenge za kwetu nzuri hata kama hatutafikia hizi. HII HAPA CHINI NI NYUMBA NYINGINE Unataka […]
The post Mimi leo nimedata na hizi nyumba mbili tu… kuanzia sebuleni mpaka vyumbani! ( picha ) appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Mwananchi23 Jan
Kutembea kwa dakika 20 kila siku, huongeza siku za kuishi
10 years ago
Bongo Movies27 Dec
PICHA: Hakuna Mtu Anaweza Kuchukua Nafasi Yako Kama Upo Kwenye Nafasi Yako-Lulu
Hayo ni maneno ambayo mwigizaji Elizabeth Michael “Lulu” aliyaandika kwa lungha ya kingereza kabla ya kuzitupia picha hizo hapo juu.
“Cant Nobody Take Your Place If You're In Your Place...!”
Kiukweli, kama utaweka chuki zako pembeni, utakubaliana na mimi kuwa Lulu ni mwigizaji anaependa na kwenda na fasheni kuwashinda waigizaji wote wa hapa bongo.
Jionee picha hizo.
By Mzee wa Ubuyu
9 years ago
MillardAyo16 Dec
Ice Prince kamuweka mpenzi wake kwenye hizi dakika nne za ‘Feelings’ – (Video)!
Mkali wa muziki kutoka Nigeria, Ice Prince Zamani anaziandika headlines kwenye kurasa za burudani. Baada ya kuuweka wazi uhusiano wake na mrembo Maima, staa huyo amekuja na mdundo mwengine kwenye video ambayo mpenzi wake amecheza kama video queen. Wimbo unaitwa ‘Feelings’ na kwa muonekano wa mambo ndani ya video ni wazi kabisa kuwa mtu wetu […]
The post Ice Prince kamuweka mpenzi wake kwenye hizi dakika nne za ‘Feelings’ – (Video)! appeared first on...
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Tazama ndege hizi zisizo na rubani zinavyosaidia uzazi salama Sierra Leone