Kamati ya Bunge yamfukuza Magufuli
Patricia Kimelemeta Jonas Mushi, Dar es Salaam
KAMATI ya Bunge ya Miundombinu, imemfukuza Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli baada ya kushindwa kutoa maelezo ya namna Serikali itakavyoweza kulipa madeni ya wakandarasi yanayofikia Sh trilioni moja.
Dk. Magufuli alikumbana na kibano hicho cha kamati hiyo ambayo inaongozwa na Mwenyekiti wake Peter Serukamba, ambaye pia ni Mbunge wa Kigoma Mjini.
Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya kamati hiyo kiliambia MTANZANIA jana kuwa wakati wa kikao...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-yNZmJ19nHPI/U5q8yWo2WBI/AAAAAAAFqTI/C7wIacKNYF0/s72-c/unnamed+(83).jpg)
KAMATI YA UONGOZI YA BUNGE YAKUTANA NA SERIKALI PAMOJA NA KAMATI YA BUNGE YA BAJETI MJINI DODOMA LEO
![](http://3.bp.blogspot.com/-yNZmJ19nHPI/U5q8yWo2WBI/AAAAAAAFqTI/C7wIacKNYF0/s1600/unnamed+(83).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-4ouihL5xM_w/U5q83LeHuCI/AAAAAAAFqTg/8xPEzL_8dm0/s1600/unnamed+(80).jpg)
10 years ago
MichuziKAMATI YA BUNGE YA PAC YAPATA UGENI KUTOKA BUNGE LA SUDANI KUSINI
10 years ago
VijimamboMAKINDA AONGOZA KAMATI YA UONGOZI YA BUNGE, KIKAO CHA BUNGE KUANZA JANUARI 27
10 years ago
VijimamboSPIKA KIFICHO AMSHUKURU MJUMBE WA KAMATI YA BUNGE LA ULAYA YA USHIRIKIANO WA BUNGE LA ULAYA NA TANZANIA
11 years ago
Michuzi05 Aug
11 years ago
BBCSwahili16 Dec
Tottenham yamfukuza kocha Boas
9 years ago
BBCSwahili07 Oct
Burundi yamfukuza mwanabalozi wa Rwanda