Kamati ya maji yajiuzulu kukwepa aibu
MRADI wa maji unaofadhiliwa na Benki ya Dunia (WB) kwenye Kijiji cha Ambreni/Moivaro, wilayani Arumeru, Arusha umeingia dosari na kusababisha Kamati ya Maji ya mradi huo kujiuzulu. Sababu za kujiuzulu...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji Yatembelea Miradi ya Maji Tanzania Bara
10 years ago
MichuziKAMATI YA BUNGE YA KILIMO, MAJI NA MIFUGO YARIDHISHWA NA MIRADI YA MAJI ILIYOTEKELEZWA NCHINI
Kamati ya Maji, Mifugo na Uvuvi imeridhishwa na miradi mbalimbali ya Maji iliyotekelezwa kwa kipindi cha miaka 10 ya kuwapatia wananchi huduma ya Majisafi na kupunguza tatizo la uhaba wa Maji hapa nchini.
Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa kamati ndogo ya Maji Mh. Selemani Kakoso Wakati wa ziara ya kamati katika kuangalia...
10 years ago
Dewji Blog21 Jan
Kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji yaridhishwa na miradi ya maji ya Kibiti, Ikwiriri
Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Nurdin Babu (kushoto) akimuongoza Kiongozi wa Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji, Amina Makilagi aliyeambatana na wajumbe wengine wa kamati hiyo baada ya kuwasili ofisi za Mradi wa Maji Kibiti ulioko wilayani humo mkoani Pwani kabla ya kuukagua.Ukaguzi wa mradi huo ni sehemu ya ziara ya ukaguzi wa miradi ya maji katika mikoa ya Pwani, Lindi na Mtwara inayofanywa na wajumbe wa Kamati hiyo.
Hussein Makame, MAELEO, Pwani
KAMATI ya Bunge ya Kilimo,...
11 years ago
MichuziKAMATI YA MAJI KING'ONGO DAR WAKAGUA UJENZI WA MRADI WAO WA MAJI ULIOFADHILIWA NA TBL
10 years ago
BBCSwahili22 Jan
Serikali ya Yemen hatimaye yajiuzulu
10 years ago
Habarileo23 Jan
Kamati ya Bunge yatembelea miradi ya maji
WIZARA ya Maji imelazimika kuwapeleka wabunge wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Klimo, Mifugo na Maji katika miradi mbalimbali ya maji Tanzania bara, ili kujionea hali ya utekelezaji wa miradi hiyo.
10 years ago
MichuziKAMATI YA KILIMO, MIFUGO NA MAJI YATEMBELEA SUDAN
Lengo la ziara hiyo ni kupata uelewa wa pamoja kuhusu ushirikiano uliopo katika kusimamia na kuendeleza rasilimali za Bonde la Mto Nile kati ya Nchi wanachama, huku Tanzania na Sudan zikiwa ni miongoni mwao.
Katika ziara hiyo Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe ambaye ameambatana na...
11 years ago
Mwananchi31 Mar
Yanga, Simba aibu yetu, aibu yao...
9 years ago
Habarileo06 Jan
Kamati ya maji Matarawe yatakiwa kujipima kama inafaa
DIWANI wa kata ya Matarawe mjini hapa Leonard Robert aliitaka kamati ya maji katika kitongoji cha Lulambo na Kipika kujipima kama inatosha vinginevyo wananchi waiadhibu kwa kuchagua kamati nyingine inayoweza kwenda na kasi ya ‘Hapa Kazi Tu’ .